Siwema
๐ต 1392 characters
โฑ๏ธ 4:40 duration
๐ ID: 10038173
๐ Lyrics
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema
Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli
Nakumbe nimepatikana na mambo ya ajabu
Nia na madhumuni yako nimeshavitambua Siwema kaka
Siwema kaka, ah ah ah
Unajitapa mbele ya rafiki zako
Kwamba mimi sina la kusema mbele yako
Umeniweka kwenye kiganja mama
Unalotaka ndilo ninalofanya
Sababu wewe ni mzuri sana
Siwezi kupata mwingine kama wewe
Siwema kaka, unajidang'anya
Wema wangu ndio ulioniponza
Fadhila zote, kumbe kwako ni bure
Malipo yake, kunifanya mjinga oh ooh
Hayo yote ni makosa yangu
Lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa
Najiepusha nawe mama aah
Nimezunguka Tanzania bara
Unguja na Pemba nimefika aah
Nimewaona vijana wenye sifa aah
Wenye kujipamba wakapambika, aah
Nimezunguka Tanzania bara aah
Unguja na Pemba nimefika aah
Nimewaona vijana wenye sifa aah
Wenye kujipamba wakapambika, aah
Kwahiyo nielewe brother
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Sibabaishwi na sura yako
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Usifikiri mimi rimbukeni sana
(Aah, sura napenda tabia njema)
Nilikupenda kimapenzi
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Ukaniona mimi sugamami lako
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Tabia njema ndio silaha yako
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Kila mtu atakupenda kaka

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:18.97] Siwema usinipe mateso ya moyo
[00:27.75] Na sasa nimechoka kweli nasema
[00:36.73] Siwema usinipe mateso ya moyo
[00:45.80] Na sasa nimechoka kweli nasema
[00:55.15] Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli
[01:04.01] Nakumbe nimepatikana na mambo ya ajabu
[01:13.47] Nia na madhumuni yako nimeshavitambua Siwema kaka
[01:19.12] Siwema kaka, ah ah ah
[01:23.79]
[01:33.17] Unajitapa mbele ya rafiki zako
[01:37.48] Kwamba mimi sina la kusema mbele yako
[01:42.09] Umeniweka kwenye kiganja mama
[01:46.48] Unalotaka ndilo ninalofanya
[01:49.90] Sababu wewe ni mzuri sana
[01:52.93] Siwezi kupata mwingine kama wewe
[01:55.62] Siwema kaka, unajidang'anya
[02:00.84]
[02:09.42] Wema wangu ndio ulioniponza
[02:14.09] Fadhila zote, kumbe kwako ni bure
[02:18.60] Malipo yake, kunifanya mjinga oh ooh
[02:23.26] Hayo yote ni makosa yangu
[02:26.26] Lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa
[02:32.15] Najiepusha nawe mama aah
[02:37.35]
[02:45.45] Nimezunguka Tanzania bara
[02:50.18] Unguja na Pemba nimefika aah
[02:54.42] Nimewaona vijana wenye sifa aah
[02:59.32] Wenye kujipamba wakapambika, aah
[03:03.93] Nimezunguka Tanzania bara aah
[03:08.39] Unguja na Pemba nimefika aah
[03:12.64] Nimewaona vijana wenye sifa aah
[03:17.40] Wenye kujipamba wakapambika, aah
[03:20.82] Kwahiyo nielewe brother
[03:23.43] (Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
[03:29.99] Sibabaishwi na sura yako
[03:32.58] (Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
[03:39.26] Usifikiri mimi rimbukeni sana
[03:41.59] (Aah, sura napenda tabia njema)
[03:48.34] Nilikupenda kimapenzi
[03:50.78] (Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
[03:57.66] Ukaniona mimi sugamami lako
[03:59.95] (Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
[04:06.73] Tabia njema ndio silaha yako
[04:08.86] (Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
[04:15.64] Kila mtu atakupenda kaka
[04:18.00] (Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
[04:35.66]