Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Diamond Platnumz - Lala Salama (Official Audio Song) - Diamond Singles

๐Ÿ‘ค Diamond Platnumz โ€ข ๐ŸŽผ Diamond Platnumz โ€ข โฑ๏ธ 3:38
๐ŸŽต 1366 characters
โฑ๏ธ 3:38 duration
๐Ÿ†” ID: 10089865

๐Ÿ“œ Lyrics

Ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipigie simu yangu

Ukii, ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo chuki lawama
Vumilia mpenzi wangu

Najua wivu ndo mapenzi
Ila chunga usizidi
Si ninajua kwako sijiwezi
Ila dhiki imebidi

Mi nili tamani sana mi kuwa nawe
Tuwe wote usiku na mchana
Kilichofanya mi nipagawe
Sina chochote chakuwalisha wana

Niliupokea kwa unyonge msiba wa kaka Bona
Ilee barua yako ya mwisho
Ilinitonesha vidonda
Usije ni lie kipenzi changu

Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana ya kesho niombee

Ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipigie simu simu yangu

Ukii, ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu

Ile kua uone nilidhani maghorofa
Aah akumbe mwana ukome
Hakuna cha kuokota
Mi bado nakaza moyo changu kipenzi

Ila naumia kwakua mwenyewe
Natamani ila siwezi nazitafuta nije kula nawewe
Msalimu mama nyumbani
Usiseme kama nahenya

(Nchai)
Mfiche mpe imani karibu ntakuoa chema
Usije ni lie kipenzi changu
Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe

Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana ya kesho niombee
Ukilala lala salama kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu

Ukii, ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.04] Ukilala lala salama
[00:23.59] Kumbatia picha yangu
[00:25.99] Kama ukinikumbuka sana
[00:28.93] Nipigie simu yangu
[00:30.80] Ukii, ukilala lala salama
[00:34.17] Kumbatia picha yangu
[00:36.69] Matatizo chuki lawama
[00:39.57] Vumilia mpenzi wangu
[00:42.19] Najua wivu ndo mapenzi
[00:45.34] Ila chunga usizidi
[00:47.60] Si ninajua kwako sijiwezi
[00:50.31] Ila dhiki imebidi
[00:52.89] Mi nili tamani sana mi kuwa nawe
[00:55.51] Tuwe wote usiku na mchana
[00:58.82] Kilichofanya mi nipagawe
[01:00.80] Sina chochote chakuwalisha wana
[01:04.33] Niliupokea kwa unyonge msiba wa kaka Bona
[01:09.35] Ilee barua yako ya mwisho
[01:11.60] Ilinitonesha vidonda
[01:14.33] Usije ni lie kipenzi changu
[01:17.32] Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
[01:19.95] Mambo bado magumu kwangu
[01:22.32] Afadhali hata ya jana ya kesho niombee
[01:25.16] Ukilala lala salama
[01:27.50] Kumbatia picha yangu
[01:30.29] Kama ukinikumbuka sana
[01:32.95] Nipigie simu simu yangu
[01:35.18] Ukii, ukilala lala salama
[01:38.39] Kumbatia picha yangu
[01:41.05] Matatizo, chuki, lawama
[01:43.74] Vumilia mpenzi wangu
[01:47.04] Ile kua uone nilidhani maghorofa
[01:51.64] Aah akumbe mwana ukome
[01:54.14] Hakuna cha kuokota
[01:56.48] Mi bado nakaza moyo changu kipenzi
[02:00.24] Ila naumia kwakua mwenyewe
[02:02.81] Natamani ila siwezi nazitafuta nije kula nawewe
[02:07.87] Msalimu mama nyumbani
[02:10.02] Usiseme kama nahenya
[02:13.02] (Nchai)
[02:14.14] Mfiche mpe imani karibu ntakuoa chema
[02:18.26] Usije ni lie kipenzi changu
[02:21.37] Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
[02:24.29] Mambo bado magumu kwangu
[02:26.18] Afadhali hata ya jana ya kesho niombee
[02:29.12] Ukilala lala salama kumbatia picha yangu
[02:34.22] Kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
[02:39.08] Ukii, ukilala lala salama
[02:42.78] Kumbatia picha yangu
[02:44.90] Matatizo, chuki, lawama
[02:47.40] Vumilia mpenzi wangu
[03:06.86]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings