Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Amen

๐Ÿ‘ค Mathias Walichupa โ€ข ๐ŸŽผ Mathias Walichupa โ€ข โฑ๏ธ 3:51
๐ŸŽต 1120 characters
โฑ๏ธ 3:51 duration
๐Ÿ†” ID: 10102707

๐Ÿ“œ Lyrics

Ninayo sababu ya kusimama
Mbele za watu
Kwa ujasiri
Mmmh
Niziseme shuhuda zako BWANA wangu
Jinsi
We ulivyo nisitiri
Nakama ungeniacha
Mi nisingeweza
Ningeli angamia
Angamia
Kwa neema yako
Nimeweza
Maana umenisimamia
Simamia
Aaah aaa
Najitabiria
Mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la YESU
Ninakiri
Kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU
Oohuoo
Ooh
Instrumental Playing
Kama ni mali Fedha na Dhahabu mimi
Nitavipata tu
Ambavyo wazazi wangu Hawakuvipata
Nitavipata tu
Kuongezeka imani niyashinde majaribu
Nitafanikiwa
Kuishi utakatifu niione Mbingu
Nitafanikiwa
Najua
Hali ngumu
Zinakikomo
Siza kudumu
Ila
Neno la MUNGU
Na mipango yake
Inadumu milele
Najitabiria
Mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la YESU
Ninakiri
Kupokea ushindi
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Inatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU
Oohuoo
Ooh
Instrumental Playing
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya YESU
Oohuoo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.18] Ninayo sababu ya kusimama
[00:12.87] Mbele za watu
[00:15.22] Kwa ujasiri
[00:18.48] Mmmh
[00:20.72] Niziseme shuhuda zako BWANA wangu
[00:23.66] Jinsi
[00:24.80] We ulivyo nisitiri
[00:30.08] Nakama ungeniacha
[00:33.83] Mi nisingeweza
[00:36.06] Ningeli angamia
[00:39.16] Angamia
[00:41.31] Kwa neema yako
[00:44.89] Nimeweza
[00:46.33] Maana umenisimamia
[00:49.93] Simamia
[00:52.07] Aaah aaa
[00:54.62] Najitabiria
[00:58.03] Mabaya yote hayana nafasi
[01:05.74] Kwa jina la YESU
[01:08.24] Ninakiri
[01:09.80] Kupokea ushindi
[01:13.29] Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
[01:16.19] Nikitamka (Amen)
[01:19.46] Inatimia (Amen)
[01:21.27] Sawa sawa na kusudi lako
[01:24.43] Atakama sioni dalili (Amen)
[01:27.34] Nina imani nawe (Amen)
[01:30.64] Utafanya YESU
[01:33.42] Oohuoo
[01:34.88] Ooh
[01:37.89] Instrumental Playing
[01:46.20] Kama ni mali Fedha na Dhahabu mimi
[01:49.55] Nitavipata tu
[01:51.71] Ambavyo wazazi wangu Hawakuvipata
[01:54.97] Nitavipata tu
[01:57.07] Kuongezeka imani niyashinde majaribu
[02:00.38] Nitafanikiwa
[02:02.27] Kuishi utakatifu niione Mbingu
[02:05.63] Nitafanikiwa
[02:07.40] Najua
[02:09.73] Hali ngumu
[02:12.20] Zinakikomo
[02:14.73] Siza kudumu
[02:18.34] Ila
[02:19.95] Neno la MUNGU
[02:22.14] Na mipango yake
[02:24.41] Inadumu milele
[02:30.86] Najitabiria
[02:33.38] Mabaya yote hayana nafasi
[02:41.26] Kwa jina la YESU
[02:44.19] Ninakiri
[02:47.67] Kupokea ushindi
[02:49.46] Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
[02:52.69] Nikitamka (Amen)
[02:54.85] Inatimia (Amen)
[02:58.33] Sawa sawa na kusudi lako
[02:59.92] Atakama sioni dalili (Amen)
[03:05.28] Nina imani nawe (Amen)
[03:06.38] Utafanya YESU
[03:09.04] Oohuoo
[03:10.47] Ooh
[03:12.96] Instrumental Playing
[03:31.95] Atakama sioni dalili (Amen)
[03:34.90] Nina imani nawe (Amen)
[03:38.26] Utafanya YESU
[03:41.42] Oohuoo
[03:44.37]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings