Yalah
๐ต 1159 characters
โฑ๏ธ 3:14 duration
๐ ID: 10119409
๐ Lyrics
(Ayo, Lizer)
Nimesadiki ya wahenga
Penzi lina raha yake
Mzigo kwa tenga
Kimfaacho mtu chake
Denge nimekatwa ngenga
Ah, umate mate najinyenga nyenga
Mao mao, mao Tate
Huwaga sioni
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanizizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twalindima, yalah
Yalah yalah
Yalah yalah (ooh)
Yalah yalah
Yalah, yalah
Penzi limenizidia (yalah yalah)
Ni kubwa (yalah yalah)
Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
Tungezaliwa zamani
Ningesema penzi togwa
Tulinywe kibarazani
Tukitafuna maboga
Nimekipanda uani
Kibustani cha uyoga
Tukishiba biryani
Baby, tule mboga mboga
Sasa polisi wa nini?
Nikikosa nikamate wewe
Mahakama ya nini?
Nikikosa nihukumu wewe
Penzi chupa la balindi
Tuligide baby hadi tulewe
Vindege shorwe vya nini?
Kifaranga unibebe weh mwewe
Huwaga sioni
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanizizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twalindima, yalah
Yalah yalah (yalah yalah)
Yalah yalah (yalah yalah)
Yalah yalah (yalah yalah)
Yalah, yalah
Penzi limenizidia (yalah yalah)
Ni kubwa (yalah yalah)
Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
Nimesadiki ya wahenga
Penzi lina raha yake
Mzigo kwa tenga
Kimfaacho mtu chake
Denge nimekatwa ngenga
Ah, umate mate najinyenga nyenga
Mao mao, mao Tate
Huwaga sioni
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanizizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twalindima, yalah
Yalah yalah
Yalah yalah (ooh)
Yalah yalah
Yalah, yalah
Penzi limenizidia (yalah yalah)
Ni kubwa (yalah yalah)
Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
Tungezaliwa zamani
Ningesema penzi togwa
Tulinywe kibarazani
Tukitafuna maboga
Nimekipanda uani
Kibustani cha uyoga
Tukishiba biryani
Baby, tule mboga mboga
Sasa polisi wa nini?
Nikikosa nikamate wewe
Mahakama ya nini?
Nikikosa nihukumu wewe
Penzi chupa la balindi
Tuligide baby hadi tulewe
Vindege shorwe vya nini?
Kifaranga unibebe weh mwewe
Huwaga sioni
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanizizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twalindima, yalah
Yalah yalah (yalah yalah)
Yalah yalah (yalah yalah)
Yalah yalah (yalah yalah)
Yalah, yalah
Penzi limenizidia (yalah yalah)
Ni kubwa (yalah yalah)
Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:30.03] (Ayo, Lizer)
[00:36.47] Nimesadiki ya wahenga
[00:38.80] Penzi lina raha yake
[00:40.48] Mzigo kwa tenga
[00:43.28] Kimfaacho mtu chake
[00:45.32] Denge nimekatwa ngenga
[00:46.98] Ah, umate mate najinyenga nyenga
[00:50.31] Mao mao, mao Tate
[00:55.45] Huwaga sioni
[00:57.04] Ninavyoipanda milima
[00:58.96] Ulimi sikioni
[01:01.08] Mwili wote wanizizima
[01:04.47] Mwenzenu sioni
[01:07.25] Macho mawili yote sina
[01:09.27] Tunaanza jikoni
[01:10.98] Mpaka varandani twalindima, yalah
[01:12.48] Yalah yalah
[01:16.34] Yalah yalah (ooh)
[01:19.13] Yalah yalah
[01:21.39] Yalah, yalah
[01:23.87] Penzi limenizidia (yalah yalah)
[01:25.03] Ni kubwa (yalah yalah)
[01:26.57] Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
[01:29.12] Tungezaliwa zamani
[01:43.46] Ningesema penzi togwa
[01:46.51] Tulinywe kibarazani
[01:49.47] Tukitafuna maboga
[01:52.23] Nimekipanda uani
[01:54.27] Kibustani cha uyoga
[01:56.87] Tukishiba biryani
[01:59.31] Baby, tule mboga mboga
[02:01.50] Sasa polisi wa nini?
[02:04.23] Nikikosa nikamate wewe
[02:06.32] Mahakama ya nini?
[02:08.38] Nikikosa nihukumu wewe
[02:11.43] Penzi chupa la balindi
[02:14.33] Tuligide baby hadi tulewe
[02:15.94] Vindege shorwe vya nini?
[02:18.53] Kifaranga unibebe weh mwewe
[02:20.50] Huwaga sioni
[02:23.50] Ninavyoipanda milima
[02:25.90] Ulimi sikioni
[02:28.07] Mwili wote wanizizima
[02:30.86] Mwenzenu sioni
[02:33.53] Macho mawili yote sina
[02:36.34] Tunaanza jikoni
[02:38.94] Mpaka varandani twalindima, yalah
[02:40.93] Yalah yalah (yalah yalah)
[02:43.98] Yalah yalah (yalah yalah)
[02:45.58] Yalah yalah (yalah yalah)
[02:46.60] Yalah, yalah
[02:49.95] Penzi limenizidia (yalah yalah)
[02:51.80] Ni kubwa (yalah yalah)
[02:53.28] Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
[02:55.86]
[00:36.47] Nimesadiki ya wahenga
[00:38.80] Penzi lina raha yake
[00:40.48] Mzigo kwa tenga
[00:43.28] Kimfaacho mtu chake
[00:45.32] Denge nimekatwa ngenga
[00:46.98] Ah, umate mate najinyenga nyenga
[00:50.31] Mao mao, mao Tate
[00:55.45] Huwaga sioni
[00:57.04] Ninavyoipanda milima
[00:58.96] Ulimi sikioni
[01:01.08] Mwili wote wanizizima
[01:04.47] Mwenzenu sioni
[01:07.25] Macho mawili yote sina
[01:09.27] Tunaanza jikoni
[01:10.98] Mpaka varandani twalindima, yalah
[01:12.48] Yalah yalah
[01:16.34] Yalah yalah (ooh)
[01:19.13] Yalah yalah
[01:21.39] Yalah, yalah
[01:23.87] Penzi limenizidia (yalah yalah)
[01:25.03] Ni kubwa (yalah yalah)
[01:26.57] Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
[01:29.12] Tungezaliwa zamani
[01:43.46] Ningesema penzi togwa
[01:46.51] Tulinywe kibarazani
[01:49.47] Tukitafuna maboga
[01:52.23] Nimekipanda uani
[01:54.27] Kibustani cha uyoga
[01:56.87] Tukishiba biryani
[01:59.31] Baby, tule mboga mboga
[02:01.50] Sasa polisi wa nini?
[02:04.23] Nikikosa nikamate wewe
[02:06.32] Mahakama ya nini?
[02:08.38] Nikikosa nihukumu wewe
[02:11.43] Penzi chupa la balindi
[02:14.33] Tuligide baby hadi tulewe
[02:15.94] Vindege shorwe vya nini?
[02:18.53] Kifaranga unibebe weh mwewe
[02:20.50] Huwaga sioni
[02:23.50] Ninavyoipanda milima
[02:25.90] Ulimi sikioni
[02:28.07] Mwili wote wanizizima
[02:30.86] Mwenzenu sioni
[02:33.53] Macho mawili yote sina
[02:36.34] Tunaanza jikoni
[02:38.94] Mpaka varandani twalindima, yalah
[02:40.93] Yalah yalah (yalah yalah)
[02:43.98] Yalah yalah (yalah yalah)
[02:45.58] Yalah yalah (yalah yalah)
[02:46.60] Yalah, yalah
[02:49.95] Penzi limenizidia (yalah yalah)
[02:51.80] Ni kubwa (yalah yalah)
[02:53.28] Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
[02:55.86]