Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Muziki (feat. Ben Pol)

๐Ÿ‘ค Darassa โ€ข ๐ŸŽผ Darassa Songs โ€ข โฑ๏ธ 3:00
๐ŸŽต 1854 characters
โฑ๏ธ 3:00 duration
๐Ÿ†” ID: 10131209

๐Ÿ“œ Lyrics

Rudi utotoni
Usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite Mbwana Samatta

Wanaota mapembe waongezee mkia
Na ukinibeep tu nakupigia
An' let me make one thing clear
Blaa blaa sitaki kusikia

So simba so chui so mamba (Hhah)
Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah)
Na sina maneno ya kwenye kanga
Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa

Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa
Sinzia fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za kitanda
Sisi bado tupo macho mida ya wanga

Funga mkanda
Kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba
Pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga

Maisha na muziki acha maneno weka muziki
Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah)
Safari na muziki (heah)
Acha maneno weka muziki (yeeeah)
Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

Bambataaa shika kamataa
Pumba chakacha
Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah

Unataka kukimbia na hauna brekii
What do you expect?
Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki
Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make

Watch youtself usije ukajiconfuse
Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
Huna mchuzi no excuse
Maisha yetu ya kila siku kama vile movie

Vitu vingine havitakagi ujuaji
Utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi
Kumuelewesha chizi utajipa kazi

Funga mkanda
Kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii)

Maisha na muziki acha maneno weka muziki
Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah)
Safari na muziki (yeeeah)
Acha maneno weka muziki, (yeeeah)
Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

Wanatamani tupotee kwenye map
Tunapeleka game to the top top
Is that I told yah, that we don't stop
We don't stop, we don't stop

Wanatamani tupotee kwenye map
Tunapeleka game to the top top
Is that I told yah,that we don't stop
We don't stop, we don't stop

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:06.44] Rudi utotoni
[00:07.60] Usipotembea utabebwa mgongoni
[00:09.69] 255 champion boy niite Mbwana Samatta
[00:14.56]
[00:23.33] Wanaota mapembe waongezee mkia
[00:25.68] Na ukinibeep tu nakupigia
[00:27.55] An' let me make one thing clear
[00:29.92] Blaa blaa sitaki kusikia
[00:32.21] So simba so chui so mamba (Hhah)
[00:34.73] Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah)
[00:37.09] Na sina maneno ya kwenye kanga
[00:38.67] Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa
[00:40.95] Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa
[00:43.54] Sinzia fegi uchome kibanda
[00:45.71] Kalale uote ndoto zako za kitanda
[00:48.15] Sisi bado tupo macho mida ya wanga
[00:50.40] Funga mkanda
[00:51.58] Kaza na kamba
[00:52.56] Ama ufate nyayo uchane msamba
[00:55.08] Pasua miamba
[00:56.14] Pasua anga
[00:57.28] Tunasemaga chambua kama karanga
[00:59.42] Maisha na muziki acha maneno weka muziki
[01:04.75] Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah)
[01:09.96] Safari na muziki (heah)
[01:11.61] Acha maneno weka muziki (yeeeah)
[01:14.76] Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
[01:17.55] Bambataaa shika kamataa
[01:20.43] Pumba chakacha
[01:22.98] Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah
[01:25.44] Unataka kukimbia na hauna brekii
[01:29.29] What do you expect?
[01:31.72] Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki
[01:33.64] Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make
[01:36.08] Watch youtself usije ukajiconfuse
[01:38.45] Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
[01:40.73] Huna mchuzi no excuse
[01:42.93] Maisha yetu ya kila siku kama vile movie
[01:45.28] Vitu vingine havitakagi ujuaji
[01:46.95] Utajikuta unatandikia watu jamvi
[01:49.55] Kusubiria embe chini ya mnazi
[01:52.07] Kumuelewesha chizi utajipa kazi
[01:54.32] Funga mkanda
[01:55.51] Kaza na kamba
[01:56.61] Ama ufate nyayo uchane msamba
[01:58.94] Pasua miamba pasua anga
[02:01.46] Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii)
[02:05.02] Maisha na muziki acha maneno weka muziki
[02:08.02] Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah)
[02:13.54] Safari na muziki (yeeeah)
[02:15.62] Acha maneno weka muziki, (yeeeah)
[02:18.37] Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
[02:21.42] Wanatamani tupotee kwenye map
[02:23.64] Tunapeleka game to the top top
[02:26.53] Is that I told yah, that we don't stop
[02:28.98] We don't stop, we don't stop
[02:30.95] Wanatamani tupotee kwenye map
[02:33.60] Tunapeleka game to the top top
[02:35.85] Is that I told yah,that we don't stop
[02:38.09] We don't stop, we don't stop
[02:55.87]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings