Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Naiona Kesho

๐Ÿ‘ค Martha Mwaipaja โ€ข ๐ŸŽผ Naiona Kesho โ€ข โฑ๏ธ 9:16
๐ŸŽต 2601 characters
โฑ๏ธ 9:16 duration
๐Ÿ†” ID: 10133447

๐Ÿ“œ Lyrics

Naiona kesho kesho
Iliyopangwa na baba
Naiona kesho kesho
Iliyopangwa na mungu
Naiona kesho mimi kesho iliyopangwa na baba
Kesho ya heshima aah
Iliyopangwa na baba kesho ya Neema iliyopangwa na baba
Kesho yenye utukufu iliyopangwa na
baba kesho ya kuinuliwa iliyopangwa na baba
Kesho ya ushindi ii iliyopangwa na mungu
Kesho yenye nguvu iliyopangwa na baba
Sitaki kuitazama Leo yangu mwenzenu
Leo yangu ni shida. Mwenzenu
Leo yangu ni tabu mwenzenu
Leo machozi yanitoka aah mwenzenu
Leo nimekataliwa aah mwenzenu
Leo nimefukuzwa mapema mwenzenu
Leo wote waniacha aah mwenzenu
Leo machozi ni mengi hii mwenzenu
Sitaki kuitazama Leo yangu kamwe
Sitaki kuitazama Leo yangu mm
Leo yangu ninalia mwenzenu
Leo ninateseka aah mwenzenu
Leo mateso ni mengi hii mwenzenu
Naiona kesho yangu mwenzenu x 2
Japo vita yangu ni kubwa mwenzenu
Maadui wangu ni wengi mwenzenu
Japo mateso yangu ni magumu mwenzenu
Kuna neno amesema nami mwenzenu
Atapigana aah amesema
Atafanya mlango ooh amesema
Atanifanyia wepesi amesema
Japo vita yangu kubwa mwenzenu
Japo adui ni wengi mwenzenu
Japo njia siioni mwenzenu
Atapigana mwenyewe amesema
Atafanya wepesi iiih amesema
Atanifanyia wepesi kwani amesema
Atanichunga salama mh amesema
Atafanya mlango ooh amesema
Atapigana na adui aah amesema
Kasema niione kesho aliyoniwekea ร—2
Kuna majira yalifika nikajua mungu
Kuna majira yalifika nikamwelewa
Majira Yale yalikuwa magumu ร—2
Kwa macho yangu nikaona akitenda ร—2
Akasema mwanangu nakupenda ร—2
Usiitazame Leo yako mwanangu ร—2
mbona mimi ni mungu nikupendaye ร—2
Ni kweli kwa macho ya nyama Mimi nimechoka wengi wanitazamapo kweli
Nimeshindwa
Wengi wanionavyo kweli nimeshindwa
Kweli kwa mbio za Mimi nimechoka
Kweli kwa mwendo wangu nimeshindwa
Kwa macho ya nyama nimechoka
Kwa macho ya watu nimeshindwa
Lakini hakuna hata mmoja. Anayejua
Patano langu na mungu
Lakini hakuna hata mmoja anayejua nimepatana nini
Tumepatana na Baba hataniacha
Hata nikisukwa sukwa sitamuacha
Hata nikilia nisimuache
Hata nikiteseka aah nisimwache
Tumepatana na baba
Nimepatana na baba ร— 3
Naiona kesho yangu iliyonjema haa
Naiona kesho iliyonjema haa . Mwenzenu Naionaaaa kesho
Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya heshima)
Naiona kesho kesho iliyopangwa na mungu (kesho ya Neema)
Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya kufanikiwa)
Kesho ya heshima aah, kesho ya utukufu iliyopangwa na baba
Kesho ya heshima (ya heshima yangu na Mimi)
iliyopangwa na mungu (kesho ya wote kumjua mungu wanguuu)
Kesho ya heshima iliyopangwa na baba
Kesho ya ushindi iliyopangwa na mungu
Kesho ya utukufu wangu iliyopangwa na baba
Kesho ร— 3

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:21.93] Naiona kesho kesho
[00:25.49] Iliyopangwa na baba
[00:27.69] Naiona kesho kesho
[00:30.49] Iliyopangwa na mungu
[00:32.96] Naiona kesho mimi kesho iliyopangwa na baba
[00:37.97] Kesho ya heshima aah
[00:41.53] Iliyopangwa na baba kesho ya Neema iliyopangwa na baba
[00:48.84] Kesho yenye utukufu iliyopangwa na
[00:53.44] baba kesho ya kuinuliwa iliyopangwa na baba
[00:59.72] Kesho ya ushindi ii iliyopangwa na mungu
[01:05.67] Kesho yenye nguvu iliyopangwa na baba
[01:12.07]
[01:22.48] Sitaki kuitazama Leo yangu mwenzenu
[01:29.48]
[01:33.00] Leo yangu ni shida. Mwenzenu
[01:38.34] Leo yangu ni tabu mwenzenu
[01:44.00] Leo machozi yanitoka aah mwenzenu
[01:49.37] Leo nimekataliwa aah mwenzenu
[01:54.76] Leo nimefukuzwa mapema mwenzenu
[01:59.47] Leo wote waniacha aah mwenzenu
[02:05.07] Leo machozi ni mengi hii mwenzenu
[02:11.23] Sitaki kuitazama Leo yangu kamwe
[02:16.40] Sitaki kuitazama Leo yangu mm
[02:21.94] Leo yangu ninalia mwenzenu
[02:26.90] Leo ninateseka aah mwenzenu
[02:31.72] Leo mateso ni mengi hii mwenzenu
[02:38.00]
[02:43.53] Naiona kesho yangu mwenzenu x 2
[02:57.53]
[03:04.54] Japo vita yangu ni kubwa mwenzenu
[03:09.94] Maadui wangu ni wengi mwenzenu
[03:15.11] Japo mateso yangu ni magumu mwenzenu
[03:20.26] Kuna neno amesema nami mwenzenu
[03:25.28] Atapigana aah amesema
[03:30.86] Atafanya mlango ooh amesema
[03:36.19] Atanifanyia wepesi amesema
[03:41.17] Japo vita yangu kubwa mwenzenu
[03:47.45] Japo adui ni wengi mwenzenu
[03:52.78] Japo njia siioni mwenzenu
[03:57.84] Atapigana mwenyewe amesema
[04:03.12] Atafanya wepesi iiih amesema
[04:08.22] Atanifanyia wepesi kwani amesema
[04:14.08] Atanichunga salama mh amesema
[04:19.77] Atafanya mlango ooh amesema
[04:25.45] Atapigana na adui aah amesema
[04:30.76] Kasema niione kesho aliyoniwekea ร—2
[04:39.76]
[04:58.75] Kuna majira yalifika nikajua mungu
[05:03.95] Kuna majira yalifika nikamwelewa
[05:09.30] Majira Yale yalikuwa magumu ร—2
[05:19.36] Kwa macho yangu nikaona akitenda ร—2
[05:30.31] Akasema mwanangu nakupenda ร—2
[05:41.67] Usiitazame Leo yako mwanangu ร—2
[05:51.93] mbona mimi ni mungu nikupendaye ร—2
[06:02.18] Ni kweli kwa macho ya nyama Mimi nimechoka wengi wanitazamapo kweli
[06:12.18]
[06:22.11] Nimeshindwa
[06:23.94] Wengi wanionavyo kweli nimeshindwa
[06:29.02] Kweli kwa mbio za Mimi nimechoka
[06:34.41] Kweli kwa mwendo wangu nimeshindwa
[06:39.56] Kwa macho ya nyama nimechoka
[06:45.16] Kwa macho ya watu nimeshindwa
[06:51.15] Lakini hakuna hata mmoja. Anayejua
[06:57.01] Patano langu na mungu
[07:01.47] Lakini hakuna hata mmoja anayejua nimepatana nini
[07:12.12] Tumepatana na Baba hataniacha
[07:17.49] Hata nikisukwa sukwa sitamuacha
[07:22.53] Hata nikilia nisimuache
[07:27.82] Hata nikiteseka aah nisimwache
[07:33.97] Tumepatana na baba
[07:37.19] Nimepatana na baba ร— 3
[07:44.30] Naiona kesho yangu iliyonjema haa
[07:50.31] Naiona kesho iliyonjema haa . Mwenzenu Naionaaaa kesho
[08:00.82] Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya heshima)
[08:06.82] Naiona kesho kesho iliyopangwa na mungu (kesho ya Neema)
[08:11.90] Naiona kesho kesho iliyopangwa na baba(kesho ya kufanikiwa)
[08:17.39] Kesho ya heshima aah, kesho ya utukufu iliyopangwa na baba
[08:21.46] Kesho ya heshima (ya heshima yangu na Mimi)
[08:25.56] iliyopangwa na mungu (kesho ya wote kumjua mungu wanguuu)
[08:28.56]
[08:31.44] Kesho ya heshima iliyopangwa na baba
[08:36.44]
[08:40.61] Kesho ya ushindi iliyopangwa na mungu
[08:45.17] Kesho ya utukufu wangu iliyopangwa na baba
[08:45.81] Kesho ร— 3
[08:46.42]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings