Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Under the Influence

๐Ÿ‘ค FEMI ONE โ€ข ๐ŸŽผ Under the Influence โ€ข โฑ๏ธ 2:12
๐ŸŽต 1728 characters
โฑ๏ธ 2:12 duration
๐Ÿ†” ID: 10148769

๐Ÿ“œ Lyrics

Leo sina ganji so ukilewa
Nakibembeleza ka mtoto
ID Ferrari zimebaki kwa Mbosho
Huwezi jua niko nunge
Nikipost photo
Tunawasha kiwash wash
Ni ka tuko lotto
Vodo moto inachoma koo leta
Chaser niko kwa dance floor
Zimeshika nikicheza
Vile napewa macho ka kipofu na
Ma mandel yule mubaba pale
Nitampandisha pressure

Oops under the influence mix sheng
Na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party
Iko runda
Mmmh under the influence mix sheng
Na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party
Iko runda

Wanajua shin chiller ndo kabisa
Vile mi natisha simu zinaring
Kila siku tuko biz na shingo zina bling
Naishi dream ya shin akiwa younging
Na mi ndo tunadim
Usiulize ka hii gari inaspace kuna drink
Unaharibu ukieka chaser
To Mercedes from Calesa utatesa
Haina pressure
Hii ikuwe mwaka ya kushika mita USD
Ni kuwa mahali unafikiria niko ya ukweli
Na rap vitu unaona kwa vision
Ndio ujue mi naanzanga ka nishaona
Mwisho ki- Jayz
Nakuomba permission sikuwa free
Na wako na wako mission kuwa ka mimi
Na ndo maana hata hizo vitisho
Zao sisikii
One of one hakuna ingine ka hii

Ooops under the influence mix sheng
Na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party
Iko runda
Mmmh under the influence mix sheng
Na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko mwiki kwa loco after party
Iko runda

Kuna nganya mpya kwa route
Iko na AC ndani
Donda mali safi anakaa freshi kiplani
Ketchup kwa macho tunaficha
Na miwani kuna maziwa na maji
Utanipata maskani
Chini Chiller na mi Femi One killer
Mjusi kafiri ni shaddow kwa Godzilla
Macrate ziletwe na tukunywe watubebe
Matumbler usituletee
Tunakunywa kwa pembe

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings