Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Ben Pol - MOYO MASHINE (Official Music Video)

๐Ÿ‘ค Ben Pol โ€ข ๐ŸŽผ Ben Pol โ€ข โฑ๏ธ 4:18
๐ŸŽต 1395 characters
โฑ๏ธ 4:18 duration
๐Ÿ†” ID: 10234208

๐Ÿ“œ Lyrics

Najua kukikucha ntajuta kama nikikuta unanitania
Maana moyo wangu nimekupa uweke
Mimi ni mfungwa tena ni mjinga
Nimejileta gerezani
Tena sikuwaza ntakuwa mateka
Mmh

Najua ulinizungusha sana
Sijali huwa ni mambo ya ujana
Kukupenda wewe sijuti
Maneno yalisemwa mengi sana
Kuna wakati nilikata tamaa
Kukupenda wewe sichoki

(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosa
(Acha waseme)
Nimekupendea nini
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosaga
(Wacha waseme)
Nimekupendea nini

Nafsi inanituma upendo uko nje ya maneno
Ila vitendo
Kama bubu akipenda atanena vipi kwa maneno
Pasina vitendo?
Kiziwi, hata ukimwambia "nakupenda" wala hasikii
Ila vitendo oh
Wewe sijui sababu za kukupenda
Siwezi sema, ila utaona ah

Najua ulinizungusha sana
Sijali huwa ni mambo ya ujana
Kukupenda wewe sijuti
Maneno yalisemwa mengi sana
Kuna wakati nilikata tamaa
Kukupenda wewe sichoki

(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosa
(Acha waseme)
Nimekupendea nini
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosaga
(Wacha waseme)
Nimekupendea nini

Oh kama moyo ulisimama nlipokuona
Hukuongea, hukucheka, nilikuona tu
Na tabia sikufahamu, labda niache mwanadamu
Ukipenda usishangae ni upofu wa moyo
Kumbe moyo ulinirubuni, hukusema umependa nini

(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosa
(Acha waseme)
Nimekupendea nini
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosaga
(Wacha waseme)
Nimekupendea nini

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.73] Najua kukikucha ntajuta kama nikikuta unanitania
[00:13.08] Maana moyo wangu nimekupa uweke
[00:17.41] Mimi ni mfungwa tena ni mjinga
[00:20.26] Nimejileta gerezani
[00:22.85] Tena sikuwaza ntakuwa mateka
[00:26.46] Mmh
[00:28.32] Najua ulinizungusha sana
[00:30.95] Sijali huwa ni mambo ya ujana
[00:33.13] Kukupenda wewe sijuti
[00:37.42] Maneno yalisemwa mengi sana
[00:40.14] Kuna wakati nilikata tamaa
[00:43.00] Kukupenda wewe sichoki
[00:47.00] (Moyo mashine)
[00:49.31] Ila majibu ya upendo ulishakosa
[00:52.02] (Acha waseme)
[00:53.73] Nimekupendea nini
[00:56.39] (Moyo mashine)
[00:58.38] Ila majibu ya upendo ulishakosaga
[01:01.47] (Wacha waseme)
[01:02.95] Nimekupendea nini
[01:05.95]
[01:24.00] Nafsi inanituma upendo uko nje ya maneno
[01:29.63] Ila vitendo
[01:33.04] Kama bubu akipenda atanena vipi kwa maneno
[01:38.76] Pasina vitendo?
[01:42.29] Kiziwi, hata ukimwambia "nakupenda" wala hasikii
[01:48.58] Ila vitendo oh
[01:52.10] Wewe sijui sababu za kukupenda
[01:56.09] Siwezi sema, ila utaona ah
[02:01.76] Najua ulinizungusha sana
[02:04.44] Sijali huwa ni mambo ya ujana
[02:07.19] Kukupenda wewe sijuti
[02:11.29] Maneno yalisemwa mengi sana
[02:13.64] Kuna wakati nilikata tamaa
[02:16.50] Kukupenda wewe sichoki
[02:20.56] (Moyo mashine)
[02:22.99] Ila majibu ya upendo ulishakosa
[02:25.87] (Acha waseme)
[02:27.29] Nimekupendea nini
[02:30.14] (Moyo mashine)
[02:32.20] Ila majibu ya upendo ulishakosaga
[02:35.11] (Wacha waseme)
[02:37.59] Nimekupendea nini
[02:39.11] Oh kama moyo ulisimama nlipokuona
[02:43.22] Hukuongea, hukucheka, nilikuona tu
[02:47.30] Na tabia sikufahamu, labda niache mwanadamu
[02:51.93] Ukipenda usishangae ni upofu wa moyo
[02:56.55] Kumbe moyo ulinirubuni, hukusema umependa nini
[03:02.55]
[03:04.70] (Moyo mashine)
[03:07.12] Ila majibu ya upendo ulishakosa
[03:10.22] (Acha waseme)
[03:12.05] Nimekupendea nini
[03:14.72] (Moyo mashine)
[03:16.46] Ila majibu ya upendo ulishakosaga
[03:19.50] (Wacha waseme)
[03:21.19] Nimekupendea nini
[03:22.50]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings