Daima
๐ต 976 characters
โฑ๏ธ 5:14 duration
๐ ID: 10279788
๐ Lyrics
Umoja ni fahari yetu
Undugu ndio nguvu
Chuki na ukabila
Hatutaki hata kamwe
Lazima tuungane, tuijenge nchi yetu
Pasiwe hata mmoja
Anaetenganisha
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo
Kwa uchungu na mateso
Kwa vilio na uzuni
Tulinyakuliwa Uhuru
na mashujaa wa zamani
Hawakushtushwa na risasi
au kufungwa gerezani
Nia yao ukombizi kuvunja pingu za ukoloni
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo
Wajibu wetu
Ni Kuishi kwa upendo
Kutoka ziwa Mpaka pwani
Kaskazini na kusini
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo
Undugu ndio nguvu
Chuki na ukabila
Hatutaki hata kamwe
Lazima tuungane, tuijenge nchi yetu
Pasiwe hata mmoja
Anaetenganisha
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo
Kwa uchungu na mateso
Kwa vilio na uzuni
Tulinyakuliwa Uhuru
na mashujaa wa zamani
Hawakushtushwa na risasi
au kufungwa gerezani
Nia yao ukombizi kuvunja pingu za ukoloni
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo
Wajibu wetu
Ni Kuishi kwa upendo
Kutoka ziwa Mpaka pwani
Kaskazini na kusini
Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera
Ni uthabiti wangu
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
Daima mimi mkenya
Mwananchi mzalendo
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:29.91] Umoja ni fahari yetu
[00:34.47] Undugu ndio nguvu
[00:38.12] Chuki na ukabila
[00:41.92] Hatutaki hata kamwe
[00:45.24] Lazima tuungane, tuijenge nchi yetu
[00:52.56] Pasiwe hata mmoja
[00:57.17] Anaetenganisha
[01:00.79] Naishi, Natumaini,
[01:04.38] Najitolea daima Kenya,
[01:07.93] Hakika ya bendera
[01:12.52] Ni uthabiti wangu
[01:15.88] Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
[01:23.08] Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
[01:31.40] Daima mimi mkenya
[01:34.30] Mwananchi mzalendo
[01:44.76] Kwa uchungu na mateso
[01:47.93] Kwa vilio na uzuni
[01:51.66] Tulinyakuliwa Uhuru
[01:55.22] Na mashujaa wa zamani
[01:59.75] Hawakushtushwa na risasi
[02:03.45] Au kufungwa gerezani
[02:07.08] Nia yao ukombizi kuvunja pingu za ukoloni
[02:14.97] Naishi, Natumaini,
[02:18.46] Najitolea daima Kenya,
[02:22.17] Hakika ya bendera
[02:26.67] Ni uthabiti wangu
[02:30.32] Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
[02:37.51] Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
[02:45.35] Daima mimi mkenya
[02:48.94] Mwananchi mzalendo
[03:00.28] Wajibu wetu
[03:02.95] Ni Kuishi kwa upendo
[03:06.59] Kutoka ziwa Mpaka pwani
[03:10.22] Kaskazini na kusini
[03:45.78] Naishi, Natumaini,
[03:49.13] Najitolea daima Kenya,
[03:52.88] Hakika ya bendera
[03:56.45] Ni uthabiti wangu
[04:00.13] Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
[04:08.27] Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
[04:15.57] Daima mimi mkenya
[04:19.35] Mwananchi mzalendo
[04:56.36]
[00:34.47] Undugu ndio nguvu
[00:38.12] Chuki na ukabila
[00:41.92] Hatutaki hata kamwe
[00:45.24] Lazima tuungane, tuijenge nchi yetu
[00:52.56] Pasiwe hata mmoja
[00:57.17] Anaetenganisha
[01:00.79] Naishi, Natumaini,
[01:04.38] Najitolea daima Kenya,
[01:07.93] Hakika ya bendera
[01:12.52] Ni uthabiti wangu
[01:15.88] Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
[01:23.08] Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
[01:31.40] Daima mimi mkenya
[01:34.30] Mwananchi mzalendo
[01:44.76] Kwa uchungu na mateso
[01:47.93] Kwa vilio na uzuni
[01:51.66] Tulinyakuliwa Uhuru
[01:55.22] Na mashujaa wa zamani
[01:59.75] Hawakushtushwa na risasi
[02:03.45] Au kufungwa gerezani
[02:07.08] Nia yao ukombizi kuvunja pingu za ukoloni
[02:14.97] Naishi, Natumaini,
[02:18.46] Najitolea daima Kenya,
[02:22.17] Hakika ya bendera
[02:26.67] Ni uthabiti wangu
[02:30.32] Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
[02:37.51] Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
[02:45.35] Daima mimi mkenya
[02:48.94] Mwananchi mzalendo
[03:00.28] Wajibu wetu
[03:02.95] Ni Kuishi kwa upendo
[03:06.59] Kutoka ziwa Mpaka pwani
[03:10.22] Kaskazini na kusini
[03:45.78] Naishi, Natumaini,
[03:49.13] Najitolea daima Kenya,
[03:52.88] Hakika ya bendera
[03:56.45] Ni uthabiti wangu
[04:00.13] Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
[04:08.27] Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani
[04:15.57] Daima mimi mkenya
[04:19.35] Mwananchi mzalendo
[04:56.36]