Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kuna Siku Youths Wataungana

๐Ÿ‘ค Wakadinali โ€ข ๐ŸŽผ Haitaki Hasira โ€ข โฑ๏ธ 3:57
๐ŸŽต 3029 characters
โฑ๏ธ 3:57 duration
๐Ÿ†” ID: 10280696

๐Ÿ“œ Lyrics

Uh, uh
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama

Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama

Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
Ubesh Chege eventually chunga
Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga
Ndio tuchokeshe njege, Kibronji aliisunda
Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa
Tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa
Kuna watu wa ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster

2020 hawataki trouser kuwararukianga rasa
Tukivunjwa goti, bila ku-show ka Hussein Machozi
We si player, bali diva, umekam ku-strike a pose
GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi
Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi
Naiwasha ndani ya ploti bila ku-doze
Wao wanawashwa wakiwa juu, huko third floor na hatutemei kikohozi
Mi ndio Simba nina Kovu, so ka we ni swara moja
Still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya

Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama

Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama

Wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando)
Niku- nikukazana (Westie to Eastlando)
Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando)
Niku- kukazana (Westie to Eastlando)
Wata- wataungana (For real, mmh, noma sana)

Ile design nimeji-humble kwako, Baba
Kila inaumanga, Eastlando, hustle nadra
Kinagaubaga nafilisika nayo
Tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau
Sina makao, ndio maana nimeishi kote
Ka Sila na Paul, milango ziliji-open
Casino za tao, mipango zao ni all same
Nipate, nikose, nisote mpaka nikope
Compe ni shughuli za dunia

Kuwa-show wa-confess ni kupuliza gunia
Kwa wale wote walo kula ma-scar
Hutabaki njaa mpaka siku chura za-fly
Juu ya madawa, vijana wetu wamepagawa
Wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa
Mambang'a wanachinjwa, wanagwaya
Jiji na ma-banner tukishindangwa na gava

Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, mtoto wa mama

Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai," haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.53] Uh, uh
[00:10.12] Haina noma, huna namna
[00:12.04] Tuseme "bora uhai," haina maana
[00:14.00] Achia noma Maulana
[00:16.20] Life kwenye streets kakiumana
[00:18.91] Juu kuna siku youths wataungana
[00:21.22] Kuna siku youths wataungana
[00:23.03] Haina noma, huna namna
[00:25.29] Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
[00:27.88] Haina noma, huna namna
[00:29.57] Tuseme "bora uhai," haina maana
[00:31.75] Achia noma Maulana
[00:34.20] Life kwenye streets kakiumana
[00:37.24] Juu kuna siku youths wataungana
[00:39.15] Kuna siku youths wataungana
[00:41.96] Haina noma, huna namna
[00:43.59] Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
[00:45.98] Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
[00:47.70] Ubesh Chege eventually chunga
[00:50.19] Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga
[00:52.16] Ndio tuchokeshe njege, Kibronji aliisunda
[00:54.84] Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa
[00:57.09] Tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa
[00:59.19] Kuna watu wa ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster
[01:01.93] 2020 hawataki trouser kuwararukianga rasa
[01:03.80] Tukivunjwa goti, bila ku-show ka Hussein Machozi
[01:06.56] We si player, bali diva, umekam ku-strike a pose
[01:08.40] GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi
[01:11.07] Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi
[01:13.59] Naiwasha ndani ya ploti bila ku-doze
[01:14.84] Wao wanawashwa wakiwa juu, huko third floor na hatutemei kikohozi
[01:17.80] Mi ndio Simba nina Kovu, so ka we ni swara moja
[01:20.21] Still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya
[01:22.99] Haina noma, huna namna
[01:25.11] Tuseme "bora uhai," haina maana
[01:27.92] Achia noma Maulana
[01:29.90] Life kwenye streets kakiumana
[01:32.53] Juu kuna siku youths wataungana
[01:34.75] Kuna siku youths wataungana
[01:37.50] Haina noma, huna namna
[01:39.22] Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
[01:42.32] Haina noma, huna namna
[01:43.95] Tuseme "bora uhai," haina maana
[01:46.52] Achia noma Maulana
[01:48.46] Life kwenye streets kakiumana
[01:50.60] Juu kuna siku youths wataungana
[01:53.09] Kuna siku youths wataungana
[01:55.65] Haina noma, huna namna
[01:57.48] Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
[01:59.99] Wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
[02:03.85] Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando)
[02:08.14] Niku- nikukazana (Westie to Eastlando)
[02:12.74] Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
[02:17.44] Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
[02:21.74] Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando)
[02:26.49] Niku- kukazana (Westie to Eastlando)
[02:31.64] Wata- wataungana (For real, mmh, noma sana)
[02:36.81] Ile design nimeji-humble kwako, Baba
[02:38.98] Kila inaumanga, Eastlando, hustle nadra
[02:41.12] Kinagaubaga nafilisika nayo
[02:43.62] Tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau
[02:45.84] Sina makao, ndio maana nimeishi kote
[02:47.96] Ka Sila na Paul, milango ziliji-open
[02:50.27] Casino za tao, mipango zao ni all same
[02:52.79] Nipate, nikose, nisote mpaka nikope
[02:55.08] Compe ni shughuli za dunia
[02:57.12] Kuwa-show wa-confess ni kupuliza gunia
[02:59.52] Kwa wale wote walo kula ma-scar
[03:01.98] Hutabaki njaa mpaka siku chura za-fly
[03:04.18] Juu ya madawa, vijana wetu wamepagawa
[03:06.70] Wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa
[03:09.00] Mambang'a wanachinjwa, wanagwaya
[03:11.26] Jiji na ma-banner tukishindangwa na gava
[03:13.43] Haina noma, huna namna
[03:16.36] Tuseme "bora uhai," haina maana
[03:18.52] Achia noma Maulana
[03:20.65] Life kwenye streets kakiumana
[03:23.15] Juu kuna siku youths wataungana
[03:25.28] Kuna siku youths wataungana
[03:28.37] Haina noma, huna namna
[03:30.06] Wakadinali, mtoto wa mama
[03:32.47] Haina noma, huna namna
[03:34.46] Tuseme "bora uhai," haina maana
[03:36.72] Achia noma Maulana
[03:39.41] Life kwenye streets kakiumana
[03:42.05] Juu kuna siku youths wataungana
[03:43.64] Kuna siku youths wataungana
[03:46.68] Haina noma, huna namna
[03:48.55] Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
[03:50.69]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings