Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Only You

๐Ÿ‘ค Walter Chilambo โ€ข ๐ŸŽผ Thank You Lord โ€ข โฑ๏ธ 4:09
๐ŸŽต 1437 characters
โฑ๏ธ 4:09 duration
๐Ÿ†” ID: 10366047

๐Ÿ“œ Lyrics

Iyee iyeee
Mmmmmhhh
Maisha yangu yanawewe mungu
Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka
Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza
Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana,
gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbii ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, umenibariki
Only you, only you
Only you, Jesus
Elishadai
Only you
My god
Only Jesus
Ni ww unanitosha
Ni ww unaefaa, my god
Only you
Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe
Bali bwana upima mioyo
Mawazo tuliyonayo nafaham naweza kujiona watakatifu
ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu
jinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele
Kwa kumtumikia yeye tu
Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo
Kwangu ni mwaminifu huyu yesu
Nitapolemewa na mizigo magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana gongo
lako na fimbo yako vinanifarijii bwana
Umenifanya wa thaman umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbi, ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, ukanibariki
Iyee
Only you, Jesus
Simba wa yuda
Only you, only you my god
Hakuna kama wewe
Only you, nitang'ang'ana na ww Jesus
Jesus only you, ni wewe pekee yako tu
Eehhh only you baba wa huruma ehh
Jesus mwingi wa rehema ehh
Only you hakuna kama wewe
My god
Mwenye kutoa buree
Unayetupenda, Jesus
Only you, yesu wangu
My god, baba yangu

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.45] Iyee iyeee
[00:03.43] Mmmmmhhh
[00:06.28]
[00:10.43] Maisha yangu yanawewe mungu
[00:17.58] Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka
[00:23.05] Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza
[00:34.05] Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
[00:42.27] Nipitapo uvuli wa mauti bwana,
[00:48.42] gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana
[00:54.31] Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
[00:59.61] Umenikung'uta mavumbii ukanibariki
[01:05.04] Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
[01:10.66] Niliyekuwa sifai, umenibariki
[01:16.72] Only you, only you
[01:20.92] Only you, Jesus
[01:22.63] Elishadai
[01:23.51] Only you
[01:24.67] My god
[01:27.02] Only Jesus
[01:30.73] Ni ww unanitosha
[01:34.73] Ni ww unaefaa, my god
[01:38.38] Only you
[01:41.50]
[01:50.95] Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe
[01:58.09] Bali bwana upima mioyo
[02:01.04] Mawazo tuliyonayo nafaham naweza kujiona watakatifu
[02:08.89] ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu
[02:14.67] jinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele
[02:19.98] Kwa kumtumikia yeye tu
[02:23.08] Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo
[02:30.70] Kwangu ni mwaminifu huyu yesu
[02:36.33] Nitapolemewa na mizigo magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
[02:44.67] Nipitapo uvuli wa mauti bwana gongo
[02:51.56] lako na fimbo yako vinanifarijii bwana
[02:56.86] Umenifanya wa thaman umenitoa matopeni
[03:01.91] Umenikung'uta mavumbi, ukanibariki
[03:07.64] Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
[03:12.92] Niliyekuwa sifai, ukanibariki
[03:18.87] Iyee
[03:20.61] Only you, Jesus
[03:23.05] Simba wa yuda
[03:25.68] Only you, only you my god
[03:29.93] Hakuna kama wewe
[03:32.59] Only you, nitang'ang'ana na ww Jesus
[03:35.05] Jesus only you, ni wewe pekee yako tu
[03:40.76] Eehhh only you baba wa huruma ehh
[03:45.61] Jesus mwingi wa rehema ehh
[03:48.18] Only you hakuna kama wewe
[03:51.17] My god
[03:53.39] Mwenye kutoa buree
[03:55.01] Unayetupenda, Jesus
[03:57.30] Only you, yesu wangu
[04:01.72] My god, baba yangu
[04:04.18]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings