Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mwambieni

๐Ÿ‘ค Rayvanny Ft. Mac Voice โ€ข ๐ŸŽผ Flowers III โ€ข โฑ๏ธ 4:24
๐ŸŽต 1659 characters
โฑ๏ธ 4:24 duration
๐Ÿ†” ID: 10412465

๐Ÿ“œ Lyrics

Iyo lizer

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme

Kwanza tuanze rangi yake
Ah! Jamani ipo mwake
Natamani nione kopo lake
Amenunua wapi duka lake
Kisha tuje kwenye umbo lake ah!
Hapo lazima udate
Usije kutokwa mate
Mambo ya uturuki tuyaache

Maana mtoto kanawiri
Jaama
Kumuacha uwe jasiri
Saana
Nime shindwa kuwa bahiri
Mama
We nichune hadi kandambili
Sawa

Babe pose geuka freeze
Nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaaa, you are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme

Leo nawatambulisha
Mliokuwa hamjui
Hapa ndo nimetika mwenzenu
Shemeji yenu huyo
Kwake najibebisha
Usiku asubuhi
Tongonza tongoza ama zangu ama zenu
Shemeji yenu huyo

Ye ndo tiba ya mwili
Mama
Anituliza akili
Jama
Ma Ex mtasubiri
Sanaaa
Kumuacha sitikiriii
Oh oh

Pose Geuka Freeze
Nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaaa, you are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:07.50] Iyo lizer
[00:18.12] Mwambieni
[00:21.77] Nampenda
[00:24.18] Bila yeye
[00:26.45] Mi siwezi
[00:29.47] Mwambieni
[00:32.10] Nampenda
[00:34.88] Bila yeye
[00:37.13] Mi siwezi
[00:39.50] Ati simtaji jina (Anajijua)
[00:42.28] Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
[00:44.66] Kiboko yangu (Anajijua)
[00:47.12] Sio mpaka niseme
[00:49.40] Yule nina mpenda sana (Anajijua)
[00:52.56] Roho yangu (Anajijua)
[00:54.71] Mwenye moyo wangu (Anajijua)
[00:57.48] Sio mpaka niseme
[01:00.12] Kwanza tuanze rangi yake
[01:02.77] Ah! Jamani ipo mwake
[01:05.59] Natamani nione kopo lake
[01:08.29] Amenunua wapi duka lake
[01:10.57] Kisha tuje kwenye umbo lake ah!
[01:13.50] Hapo lazima udate
[01:15.94] Usije kutokwa mate
[01:18.22] Mambo ya uturuki tuyaache
[01:20.41] Maana mtoto kanawiri
[01:24.08] Jaama
[01:26.01] Kumuacha uwe jasiri
[01:28.75] Saana
[01:31.05] Nime shindwa kuwa bahiri
[01:34.45] Mama
[01:36.46] We nichune hadi kandambili
[01:39.78] Sawa
[01:42.93] Babe pose geuka freeze
[01:45.22] Nipe tabasamu la picha cheese
[01:47.23] You are so mwaaa, you are so cute
[01:49.99] Kwako nime wehuka kabisa chizi
[01:52.44] Mwambieni
[01:54.60] Nampenda
[01:57.33] Bila yeye
[01:59.93] Mi siwezi
[02:02.49] Mwambieni
[02:05.08] Nampenda
[02:07.46] Bila yeye
[02:10.20] Mi siwezi
[02:11.84] Ati simtaji jina (Anajijua)
[02:14.88] Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
[02:17.46] Kiboko yangu (Anajijua)
[02:20.25] Sio mpaka niseme
[02:22.73] Yule nina mpenda sana (Anajijua)
[02:25.15] Roho yangu (Anajijua)
[02:28.15] Mwenye moyo wangu (Anajijua)
[02:30.51] Sio mpaka niseme
[02:41.66] Leo nawatambulisha
[02:46.37] Mliokuwa hamjui
[02:47.61] Hapa ndo nimetika mwenzenu
[02:50.78] Shemeji yenu huyo
[02:53.55] Kwake najibebisha
[02:56.81] Usiku asubuhi
[02:59.23] Tongonza tongoza ama zangu ama zenu
[03:01.81] Shemeji yenu huyo
[03:03.68] Ye ndo tiba ya mwili
[03:07.59] Mama
[03:09.40] Anituliza akili
[03:12.50] Jama
[03:14.13] Ma Ex mtasubiri
[03:17.54] Sanaaa
[03:19.59] Kumuacha sitikiriii
[03:22.46] Oh oh
[03:25.34] Pose Geuka Freeze
[03:28.10] Nipe tabasamu la picha cheese
[03:30.59] You are so mwaaa, you are so cute
[03:33.32] Kwako nime wehuka kabisa chizi
[03:35.28] Mwambieni
[03:38.26] Nampenda
[03:40.62] Bila yeye
[03:42.82] Mi siwezi
[03:45.22] Mwambieni
[03:48.29] Nampenda
[03:50.98] Bila yeye
[03:53.26] Mi siwezi
[03:55.34] Ati simtaji jina (Anajijua)
[03:58.32] Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
[04:01.15] Kiboko yangu (Anajijua)
[04:03.71] Sio mpaka niseme
[04:06.19] Yule nina mpenda sana (Anajijua)
[04:08.47] Roho yangu (Anajijua)
[04:11.78] Mwenye moyo wangu (Anajijua)
[04:14.05] Sio mpaka niseme
[04:16.38]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings