Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Namchukia

๐Ÿ‘ค Yammi โ€ข ๐ŸŽผ Three Hearts โ€ข โฑ๏ธ 3:20
๐ŸŽต 956 characters
โฑ๏ธ 3:20 duration
๐Ÿ†” ID: 10412571

๐Ÿ“œ Lyrics

Uzuri si hadidhiwi nayaona
Haya aapa nayaona
Mabaya yako kwa macho yangu nayona

Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea
Nime kuzoea sidhani kama ntapona
Napiga simu namba inatumika kila dakika
Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia
Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana
Si unapenda hivi navyo lia na ku n'gan'gana
Haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana
Nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya

Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea
Nime kuzoea sidhani kama ntapona
Napiga simu namba inatumika kila dakika
Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia
Wallahy namchukia kumfahamu najutia

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.26] Uzuri si hadidhiwi nayaona
[00:28.40] Haya aapa nayaona
[00:28.92] Mabaya yako kwa macho yangu nayona
[00:33.77] Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea
[00:41.08] Nime kuzoea sidhani kama ntapona
[00:44.15] Napiga simu namba inatumika kila dakika
[00:50.46] Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
[00:56.21] Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
[01:02.28] Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake
[01:09.13] Wallahy namchukia kumfahamu najutia
[01:20.41] Wallahy namchukia kumfahamu najutia
[01:22.88] Unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana
[01:28.26] Si unapenda hivi navyo lia na ku n'gan'gana
[01:28.72] Haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana
[01:55.40] Nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya
[02:06.45] Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea
[02:14.51] Nime kuzoea sidhani kama ntapona
[02:17.67] Napiga simu namba inatumika kila dakika
[02:24.01] Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
[02:29.36] Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
[02:34.69] Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake
[02:42.10] Wallahy namchukia kumfahamu najutia
[02:54.17] Wallahy namchukia kumfahamu najutia
[03:16.60]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings