Shukurani
๐ต 1603 characters
โฑ๏ธ 4:39 duration
๐ ID: 10418115
๐ Lyrics
Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili
Nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha
Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini
Ulikonitoa ni siri ya moyo wangu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu
Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba
Hata shukurani zangu ni kwako
Shukrani zangu ni kwako
Na shukurani zangu ni kwako
Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
Aibu umefuta fedheha umefuta
Umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae
Nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea
Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho
Ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba

Kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri
Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante Baba)
Ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani
Furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu
Na shukurani zangu
Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele
Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:21.14] Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili
[00:31.11] Nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha
[00:40.97] Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini
[00:51.51] Ulikonitoa ni siri ya moyo wangu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu
[01:01.42] Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba
[01:10.34] Hata shukurani zangu ni kwako
[01:16.34] Shukrani zangu ni kwako
[01:21.21] Na shukurani zangu ni kwako
[01:26.25] Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
[01:43.58] Aibu umefuta fedheha umefuta
[01:58.73] Umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae
[02:08.16] Nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea
[02:19.55] Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho
[02:24.59] Ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba
[02:35.73] Hata shukurani zangu ni kwako
[02:44.06] Shukrani zangu ni kwako
[02:51.67] Na shukurani zangu ni kwako
[02:55.85] Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
[03:16.36] Kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri
[03:26.60] Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante Baba)
[03:36.97] Ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani
[03:47.43] Furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu
[03:55.60] Na shukurani zangu
[03:57.87] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele
[04:03.05] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:07.72] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:13.50] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:18.25] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:23.31] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:28.57] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:33.81] Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele
[04:38.77]