Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kama Si Wewe

๐Ÿ‘ค Goodluck Gozbert โ€ข ๐ŸŽผ Goodluck Gozbert โ€ข โฑ๏ธ 4:57
๐ŸŽต 1458 characters
โฑ๏ธ 4:57 duration
๐Ÿ†” ID: 10418236

๐Ÿ“œ Lyrics

Na wala sio sababu ya jina langu
Wala sio sababu ninafaa
Najua sio sababu ya sadaka zangu
Maana ndio bado nina shangaa
Nilijua kwamba nimeshapoteza nafasi
Mimi ni nani kwani nakosa neno kusema
Ooh unisamehe, sikujua unanipenda hivi
Umefanya bure, sawa na upendavyo
Ume ruhusu niwe vile upendavyo
Nitakushukuru tu, kwa neema
Asante tu, kwa wema
Ninakushukuru tu, kwa neema
Asante tu, kwa wema

Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Wacha machozi
(Wacha machozi yanitiririke tu)
Yanitiririke
(Wacha kilio, nikulilie Mungu)
Basi wacha machozi
(Wacha machozi, yanitiririke tu)
Wacha kilio
(Wacha kilio, nikulilie Mungu)

Natafuta cha kunitenga nawe
Bado sijaona
Nilisha katwakatwa moyo
Na kupondwa na wanadamu
Leo wataniambia nini, nikiwa nawe
Leo wata niambia nini uuh uuuh, nikiwa nawe
Pesa huitwa sabuni ila maji niwe
Unioshe bwana, nitakase
Nitakushukuru tu, kwa neema
Asante tu, kwa wema
Ninakushukuru tu, kwa neema
Asante tu, kwa wema

Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Maana kama si wewe
(Kama si wewe, ningekua wapi)
Wacha machozi
(Wacha machozi yanitiririke tu)
Wacha kilio
(Wacha kilio, nikulilie Mungu)
Wacha machozi
(Wacha machozi, yanitiririke tu)
Wacha kilio
(Wacha kilio, nikulilie Mungu)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.11] Na wala sio sababu ya jina langu
[00:15.86] Wala sio sababu ninafaa
[00:21.98] Najua sio sababu ya sadaka zangu
[00:27.19] Maana ndio bado nina shangaa
[00:32.28] Nilijua kwamba nimeshapoteza nafasi
[00:38.00] Mimi ni nani kwani nakosa neno kusema
[00:43.13] Ooh unisamehe, sikujua unanipenda hivi
[00:49.81] Umefanya bure, sawa na upendavyo
[00:55.61] Ume ruhusu niwe vile upendavyo
[01:00.78] Nitakushukuru tu, kwa neema
[01:07.10] Asante tu, kwa wema
[01:11.96] Ninakushukuru tu, kwa neema
[01:18.65] Asante tu, kwa wema
[01:22.65] Maana kama si wewe
[01:25.75] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[01:28.38] Kama si wewe
[01:30.52] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[01:34.52] Maana kama si wewe
[01:35.83] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[01:40.38] Maana kama si wewe
[01:41.93] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[01:45.60] Wacha machozi
[01:47.52] (Wacha machozi yanitiririke tu)
[01:51.33] Yanitiririke
[01:53.58] (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
[01:56.97] Basi wacha machozi
[01:58.55] (Wacha machozi, yanitiririke tu)
[02:02.39] Wacha kilio
[02:03.93] (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
[02:32.88] Natafuta cha kunitenga nawe
[02:34.76] Bado sijaona
[02:37.95] Nilisha katwakatwa moyo
[02:39.24] Na kupondwa na wanadamu
[02:42.95] Leo wataniambia nini, nikiwa nawe
[02:48.74] Leo wata niambia nini uuh uuuh, nikiwa nawe
[02:54.20] Pesa huitwa sabuni ila maji niwe
[02:59.56] Unioshe bwana, nitakase
[03:05.47] Nitakushukuru tu, kwa neema
[03:11.21] Asante tu, kwa wema
[03:16.88] Ninakushukuru tu, kwa neema
[03:22.75] Asante tu, kwa wema
[03:27.01] Maana kama si wewe
[03:29.43] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[03:32.81] Maana kama si wewe
[03:34.77] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[03:38.29] Kama si wewe
[03:40.09] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[03:44.09] Maana kama si wewe
[03:45.62] (Kama si wewe, ningekua wapi)
[03:49.93] Wacha machozi
[03:51.38] (Wacha machozi yanitiririke tu)
[03:55.75] Wacha kilio
[03:57.34] (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
[04:01.10] Wacha machozi
[04:02.49] (Wacha machozi, yanitiririke tu)
[04:06.72] Wacha kilio
[04:08.58] (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
[04:17.65]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings