Kisiwa Cha Malovedavi
๐ต 1469 characters
โฑ๏ธ 3:37 duration
๐ ID: 10496066
๐ Lyrics
Kwa kweli nilikuwa napenda sana
Mechi za nje za ujana
Aliyekuwa mke wangu
Analia aah
Kwa kweli nilikuwa napenda sana vibinti
Nakuwahonga mpaka magari
Waliyekuwa watoto wangu
Wanateseka na njaa
Mitungi kila saa
Nyumbani sina time ya kukaa
Marafiki nami
Night club na mimi
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Nakupenda aiyaa
Nakupenda sana bebi
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Nilikutenda aiyaa
Nisamehe my baby
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Sielewi tena nisikize ma
Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah
Kilichofanya nikutende dharau kibao
Ndani ya nyumba hakuna raha
Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikize ma
Kwani najua kweli ulinipenda ah
Watoto wangu niliwatenga
Nisamehe mpenzi we unasema
Sitaki rudia tena
Najuta kwa yote niliyofanya
Nisamehe na goti napiga, nalia ahh
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Nakupenda aiyaa
Nakupenda sana bebi
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Nilikutenda aiyaa
Nisamehe my baby
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Uje kwenye kisiwa cha malavidavi
Uje tupeane mapenzi
Usisahau na wanangu
Sahau yaliyopita na tugange yajayo
Mechi za nje za ujana
Aliyekuwa mke wangu
Analia aah
Kwa kweli nilikuwa napenda sana vibinti
Nakuwahonga mpaka magari
Waliyekuwa watoto wangu
Wanateseka na njaa
Mitungi kila saa
Nyumbani sina time ya kukaa
Marafiki nami
Night club na mimi
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Nakupenda aiyaa
Nakupenda sana bebi
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Nilikutenda aiyaa
Nisamehe my baby
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Sielewi tena nisikize ma
Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah
Kilichofanya nikutende dharau kibao
Ndani ya nyumba hakuna raha
Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikize ma
Kwani najua kweli ulinipenda ah
Watoto wangu niliwatenga
Nisamehe mpenzi we unasema
Sitaki rudia tena
Najuta kwa yote niliyofanya
Nisamehe na goti napiga, nalia ahh
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
Hata bebi hunitaki tena
Nakupenda aiyaa
Nakupenda sana bebi
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Nilikutenda aiyaa
Nisamehe my baby
Nakuhitaji mama mama
Njoo kisiwa cha malavidavi
Uje kwenye kisiwa cha malavidavi
Uje tupeane mapenzi
Usisahau na wanangu
Sahau yaliyopita na tugange yajayo
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:09.54] Kwa kweli nilikuwa napenda sana
[00:13.00] Mechi za nje za ujana
[00:15.76] Aliyekuwa mke wangu
[00:18.41] Analia aah
[00:20.77] Kwa kweli nilikuwa napenda sana vibinti
[00:23.53] nakuwahonga mpaka magari
[00:26.08] Waliyekuwa watoto wangu
[00:28.61] Wanateseka na njaa
[00:30.94] Mitungi kila saa
[00:33.22] Nyumbani sina time ya kukaa
[00:36.11] Marafiki nami
[00:38.66] Night club na mimi
[00:41.26] Sasa nimebaki lonely
[00:43.55] Track redioni hazichezwi
[00:46.21] Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
[00:49.27] Hata bebi hunitaki tena
[00:51.52] Sasa nimebaki lonely
[00:53.89] Track redioni hazichezwi
[00:56.53] Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
[00:59.32] Hata bebi hunitaki tena
[01:01.77] Nakupenda aiyaa
[01:04.09] Nakupenda sana bebi
[01:07.00] Nakuhitaji mama mama
[01:09.21] Njoo kisiwa cha malavidavi
[01:11.82] Nilikutenda aiyaa
[01:13.92] Nisamehe my baby
[01:17.10] Nakuhitaji mama mama
[01:19.49] Njoo kisiwa cha malavidavi
[01:22.36] Sielewi tena nisikize ma
[01:24.76] Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah
[01:27.24] Kilichofanya nikutende dharau kibao
[01:29.91] Ndani ya nyumba hakuna raha
[01:32.37] Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikize ma
[01:34.71] Kwani najua kweli ulinipenda ah
[01:37.42] Watoto wangu niliwatenga
[01:39.24] Nisamehe mpenzi we unasema
[01:42.34] Sitaki rudia tena
[01:45.21] Najuta kwa yote niliyofanya
[01:47.75] Nisamehe na goti napiga, nalia ahh
[01:52.68] Sasa nimebaki lonely
[01:55.43] Track redioni hazichezwi
[01:58.26] Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
[02:00.65] Hata bebi hunitaki tena
[02:02.79] Sasa nimebaki lonely
[02:05.32] Track redioni hazichezwi
[02:08.17] Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
[02:11.07] Hata bebi hunitaki tena
[02:13.35] Nakupenda aiyaa
[02:15.36] Nakupenda sana bebi
[02:18.90] Nakuhitaji mama mama
[02:20.48] Njoo kisiwa cha malavidavi
[02:23.13] Nilikutenda aiyaa
[02:25.60] Nisamehe my baby
[02:28.18] Nakuhitaji mama mama
[02:30.45] Njoo kisiwa cha malavidavi
[02:34.02] Uje kwenye kisiwa cha malavidavi
[02:38.20] Uje tupeane mapenzi
[02:43.45] Usisahau na wanangu
[02:47.01] Sahau yaliyopita na tugange yajayo
[02:47.07]
[00:13.00] Mechi za nje za ujana
[00:15.76] Aliyekuwa mke wangu
[00:18.41] Analia aah
[00:20.77] Kwa kweli nilikuwa napenda sana vibinti
[00:23.53] nakuwahonga mpaka magari
[00:26.08] Waliyekuwa watoto wangu
[00:28.61] Wanateseka na njaa
[00:30.94] Mitungi kila saa
[00:33.22] Nyumbani sina time ya kukaa
[00:36.11] Marafiki nami
[00:38.66] Night club na mimi
[00:41.26] Sasa nimebaki lonely
[00:43.55] Track redioni hazichezwi
[00:46.21] Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
[00:49.27] Hata bebi hunitaki tena
[00:51.52] Sasa nimebaki lonely
[00:53.89] Track redioni hazichezwi
[00:56.53] Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
[00:59.32] Hata bebi hunitaki tena
[01:01.77] Nakupenda aiyaa
[01:04.09] Nakupenda sana bebi
[01:07.00] Nakuhitaji mama mama
[01:09.21] Njoo kisiwa cha malavidavi
[01:11.82] Nilikutenda aiyaa
[01:13.92] Nisamehe my baby
[01:17.10] Nakuhitaji mama mama
[01:19.49] Njoo kisiwa cha malavidavi
[01:22.36] Sielewi tena nisikize ma
[01:24.76] Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah
[01:27.24] Kilichofanya nikutende dharau kibao
[01:29.91] Ndani ya nyumba hakuna raha
[01:32.37] Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikize ma
[01:34.71] Kwani najua kweli ulinipenda ah
[01:37.42] Watoto wangu niliwatenga
[01:39.24] Nisamehe mpenzi we unasema
[01:42.34] Sitaki rudia tena
[01:45.21] Najuta kwa yote niliyofanya
[01:47.75] Nisamehe na goti napiga, nalia ahh
[01:52.68] Sasa nimebaki lonely
[01:55.43] Track redioni hazichezwi
[01:58.26] Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
[02:00.65] Hata bebi hunitaki tena
[02:02.79] Sasa nimebaki lonely
[02:05.32] Track redioni hazichezwi
[02:08.17] Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
[02:11.07] Hata bebi hunitaki tena
[02:13.35] Nakupenda aiyaa
[02:15.36] Nakupenda sana bebi
[02:18.90] Nakuhitaji mama mama
[02:20.48] Njoo kisiwa cha malavidavi
[02:23.13] Nilikutenda aiyaa
[02:25.60] Nisamehe my baby
[02:28.18] Nakuhitaji mama mama
[02:30.45] Njoo kisiwa cha malavidavi
[02:34.02] Uje kwenye kisiwa cha malavidavi
[02:38.20] Uje tupeane mapenzi
[02:43.45] Usisahau na wanangu
[02:47.01] Sahau yaliyopita na tugange yajayo
[02:47.07]