Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Asante

๐Ÿ‘ค Walter Chilambo โ€ข ๐ŸŽผ nolniz.blogspot.com โ€ข โฑ๏ธ 4:10
๐ŸŽต 431 characters
โฑ๏ธ 4:10 duration
๐Ÿ†” ID: 10503950

๐Ÿ“œ Lyrics

Asante Mungu wewe ni mwema
Umenipa uzima na kunipenda
Moyoni mwangu nina amani tena
Oooh
Nimeacha yote niliyoyatenda
Nimeamua nikufuate kwa maana we ni salama
Mbele yako najinyenyekeza ee Mungu wa huruma
Nimeamua nikufuate kwa maana we ni
Salama nakung'ang'ania nisikuache Mungu wangu
Oooh
Asante kwa kunipenda
Asante kwa kunilinda
Milele nitaimba sifa zako
(Beat)
Niende wapi niukimbie uso wako
Niende wapi nijiepushe na roho yako

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:14.38] Asante Mungu wewe ni mwema
[00:18.37] Umenipa uzima na kunipenda
[00:25.30] Moyoni mwangu nina amani tena
[00:29.78] Oooh
[00:31.65] Nimeacha yote niliyoyatenda
[00:35.69] Nimeamua nikufuate kwa maana we ni salama
[00:41.74] Mbele yako najinyenyekeza ee Mungu wa huruma
[00:47.82] Nimeamua nikufuate kwa maana we ni
[00:53.22] Salama nakung'ang'ania nisikuache Mungu wangu
[01:00.49] Oooh
[01:05.48] Asante kwa kunipenda
[01:11.64] Asante kwa kunilinda
[01:17.77] Milele nitaimba sifa zako
[01:21.75] (Beat)
[01:39.04] Niende wapi niukimbie uso wako
[01:45.61] Niende wapi nijiepushe na roho yako
[01:51.27]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings