Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Hadithi (feat. Diamond Platnumz)

๐Ÿ‘ค Barnaba โ€ข ๐ŸŽผ Love Sounds Different โ€ข โฑ๏ธ 2:37
๐ŸŽต 1213 characters
โฑ๏ธ 2:37 duration
๐Ÿ†” ID: 10504282

๐Ÿ“œ Lyrics

Aaah
(Ayo Lizer)

Ooh mtume roho yangu
Inashindwa kuvumilia,
Si kwa mahaba anayonipa
Yazidi mpaka namwagikiwa

Ananipa vinonoo
Mpaka naisi changanyikiwa
Hongera wake somo
Mtoto kafundwa katimilia
Wali kwa maini maji abdala sini
Na nkirudi nyumbani
Ananiuliza nianze chakula ama mwili

Hapo ndo anapo nivurugaga,
Kichwa kina niumaga
Ndo maana ninawaitaga
Mnipe ushauri!

Ah! Ah! Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Ah ah sisemi,
Utamu kolea

Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Basi usisemi

Kanionyesha jua la asubuhi
Linavyo penya kwa dirisha
Na mizungu ambayo sijui
Amenifundisha

Shombo la maa'rani
Amenisafisha
Kama hoi sijitambui
Navyo jibebishaaa

Hmm kanitunza mahaba
Tamu kutaradad,
Ebelebe
Kibaba baba michezo ya makidakida,
Ready ready

Tunawakera waja
Mbona mtapata shida
Niwape siri labda
Puto limepata mwiba

Ahh ah enh!
Nilonge ni silonge,
Longa
Mwenzu me
longa
My baby wangu
Longa
Na mloveee

Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Basi usisemi,
Utamu kolea

Ah! Ah! Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Aku sisemi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:15.86] Aaah
[00:17.49] (Ayo Lizer)
[00:18.47] Ooh mtume roho yangu
[00:21.75] Inashindwa kuvumilia,
[00:24.08] Si kwa mahaba anayonipa
[00:26.44] Yazidi mpaka namwagikiwa
[00:28.62] Ananipa vinonoo
[00:30.92] Mpaka naisi changanyikiwa
[00:33.39] Hongera wake somo
[00:35.48] Mtoto kafundwa katimilia
[00:37.65] Wali kwa maini maji abdala sini
[00:42.56] Na nkirudi nyumbani
[00:44.35] Ananiuliza nianze chakula ama mwili
[00:47.24] Hapo ndo anapo nivurugaga,
[00:49.50] Kichwa kina niumaga
[00:51.96] Ndo maana ninawaitaga
[00:54.11] Mnipe ushauri!
[00:56.07] Ah! Ah! Hadithi hadithi,
[00:57.33] Utamu kolea
[00:58.78] Mwenzenu mimi,
[00:59.61] Utamu kolea
[01:00.84] Mchumba wangu,
[01:02.12] Utamu kolea
[01:02.91] Ah ah sisemi,
[01:04.96] Utamu kolea
[01:05.77] Hadithi hadithi,
[01:06.76] Utamu kolea
[01:07.92] Mwenzenu mimi,
[01:08.88] Utamu kolea
[01:10.12] Mchumba wangu,
[01:11.29] Utamu kolea
[01:12.43] Basi usisemi
[01:13.82] Kanionyesha jua la asubuhi
[01:16.17] Linavyo penya kwa dirisha
[01:18.49] Na mizungu ambayo sijui
[01:21.00] Amenifundisha
[01:23.01] Shombo la maa'rani
[01:25.52] Amenisafisha
[01:28.22] Kama hoi sijitambui
[01:30.40] Navyo jibebishaaa
[01:32.99] Hmm kanitunza mahaba
[01:35.56] Tamu kutaradad,
[01:37.56] Ebelebe
[01:38.44] Kibaba baba michezo ya makidakida,
[01:41.71] Ready ready
[01:43.17] Tunawakera waja
[01:44.61] Mbona mtapata shida
[01:47.32] Niwape siri labda
[01:49.14] Puto limepata mwiba
[01:51.24] Ahh ah enh!
[01:52.61] Nilonge ni silonge,
[01:53.45] Longa
[01:54.38] Mwenzu me
[01:55.43] Longa
[01:56.36] My baby wangu
[01:57.75] Longa
[01:58.69] Na mloveee
[02:00.92] Hadithi hadithi,
[02:02.16] Utamu kolea
[02:03.17] Mwenzenu mimi,
[02:04.45] Utamu kolea
[02:05.56] Mchumba wangu,
[02:06.70] Utamu kolea
[02:07.87] Basi usisemi,
[02:09.33] Utamu kolea
[02:10.10] Ah! Ah! Hadithi hadithi,
[02:11.27] Utamu kolea
[02:12.46] Mwenzenu mimi,
[02:13.62] Utamu kolea
[02:14.70] Mchumba wangu,
[02:15.75] Utamu kolea
[02:17.31] Aku sisemi
[02:19.48]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings