paul-clement-mwaminifu
๐ต 613 characters
โฑ๏ธ 5:11 duration
๐ ID: 10504662
๐ Lyrics
Difficult but not impossible
Una wasiwasi, hofu na na mashaka
Unahisi moyoni, kama Mungu kakuacha
Maana unaona hausongei,
Wala huendelei
Uko pale pale, kila siku
Uko vile vile ()
Mungu aliyeanzisha safari, tena ataimaliza
Na ahadi zote alizosema, yeye atazitimiza
Maana alikujua, kabla hujajijua, kabla hujazaliwa
Mungu hawezi kukuacha njiani,
Safari yako, alianzisha mwenyewe,
Asingetaka angekuacha mwanzoni,
Unakokwenda yeye anajua ()
Heh, anajuaaaaaaaa,
Ulikotoka, unakokwendaaa,
Anajuaaaaa
Yeeeee heeeee
Atainyosha (Atainyosha njia yako) ()
Ina mabonde, (kweli)
iIna vikwazo (vingi)
Atainyosha (njia yako)
Una wasiwasi, hofu na na mashaka
Unahisi moyoni, kama Mungu kakuacha
Maana unaona hausongei,
Wala huendelei
Uko pale pale, kila siku
Uko vile vile ()
Mungu aliyeanzisha safari, tena ataimaliza
Na ahadi zote alizosema, yeye atazitimiza
Maana alikujua, kabla hujajijua, kabla hujazaliwa
Mungu hawezi kukuacha njiani,
Safari yako, alianzisha mwenyewe,
Asingetaka angekuacha mwanzoni,
Unakokwenda yeye anajua ()
Heh, anajuaaaaaaaa,
Ulikotoka, unakokwendaaa,
Anajuaaaaa
Yeeeee heeeee
Atainyosha (Atainyosha njia yako) ()
Ina mabonde, (kweli)
iIna vikwazo (vingi)
Atainyosha (njia yako)