Sayuni (feat. Joel Lwaga)
๐ต 1311 characters
โฑ๏ธ 3:51 duration
๐ ID: 10504907
๐ Lyrics
Baba God made me shine
Nikuimbie zaburi
Jesus made me shine
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi bwana nitetee (ehh baba)
Nikuimbie baba mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi baba nitetee(wewe baba)
Barnaba...
Kwenye nguvu za giza
Kati kati nilikatiza
wakavunja mayai viza
Ili kunikomesha
Baba kanifanyia nuru
Sina minyororo niko huru
Walinisiriba bwana umenitakatisha baba
Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
Nami ni VIP baba maana nimekutii baba
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Milima ya Sayuni bwana(baba)nitetee
Joel Lwaga...
Ehhhhh
Mhhhhhh
Walitabiri mwisho
Ukatangaza mwanzo
Walipopanga kifo
Nikavuma zaidi ya upepo
Wanauliza siri ni nini (siri ni nini)
Wanauliza nguvu ni nini (nguvu ni nini)
Nguvu zangu ni wewe
Na siri yangu ni wewe
Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
Sababu mimi ni VIP baba maana nimekutii baba
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi bwana nitetee (ehhhhhh)
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
Niimbe na zaburi baba nitetee(enhhhh)
Haijalishi mi ni mwema kuliko wote
Bado unanijazia baraka baba asante Haijalishi mi ni bora kuliko wote
Ila wanipa neema na rehema zako Asante
Ninakuimbia baba mfalme wa mbinguni
Zaburi bwana nitetee mfalme ni we
Ninakuimbia baba mfalme wa mbinguni
Nakuimbia zaburi mfalme ni we
Mhhhhh
Ahhhhhh
Comix Lizer

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:14.37] Baba God made me shine
[00:16.66] Nikuimbie zaburi
[00:19.58] Jesus made me shine
[00:21.97] Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
[00:26.93] Niimbe na zaburi bwana nitetee (ehh baba)
[00:32.10] Nikuimbie baba mfalme wa mbinguni
[00:37.23] Niimbe na zaburi baba nitetee(wewe baba)
[00:41.80] Barnaba...
[00:44.12] Kwenye nguvu za giza
[00:45.93] Kati kati nilikatiza
[00:48.24] Wakavunja mayai viza
[00:50.54] Ili kunikomesha
[00:53.21] Baba kanifanyia nuru
[00:55.76] Sina minyororo niko huru
[00:58.48] Walinisiriba bwana umenitakatisha baba
[01:03.76] Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
[01:08.99] Nami ni VIP baba maana nimekutii baba
[01:13.67] Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
[01:18.35] Milima ya Sayuni bwana(baba)nitetee
[01:23.98] Joel Lwaga...
[01:37.24] Ehhhhh
[01:38.02] Mhhhhhh
[01:38.72] Walitabiri mwisho
[01:57.98] Ukatangaza mwanzo
[02:01.17] Walipopanga kifo
[02:02.74] Nikavuma zaidi ya upepo
[02:05.56] Wanauliza siri ni nini (siri ni nini)
[02:08.35] Wanauliza nguvu ni nini (nguvu ni nini)
[02:11.24] Nguvu zangu ni wewe
[02:13.20] Na siri yangu ni wewe
[02:16.06] Na kwenye safina yako nitakata siti ya mbele
[02:21.11] Sababu mimi ni VIP baba maana nimekutii baba
[02:26.87] Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
[02:31.03] Niimbe na zaburi bwana nitetee (ehhhhhh)
[02:36.08] Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni
[02:41.01] Niimbe na zaburi baba nitetee(enhhhh)
[02:46.14] Haijalishi mi ni mwema kuliko wote
[02:51.92] Bado unanijazia baraka baba asante Haijalishi mi ni bora kuliko wote
[03:02.01] Ila wanipa neema na rehema zako Asante
[03:07.36] Ninakuimbia baba mfalme wa mbinguni
[03:12.36] Zaburi bwana nitetee mfalme ni we
[03:17.85] Ninakuimbia baba mfalme wa mbinguni
[03:22.51] Nakuimbia zaburi mfalme ni we
[03:28.87] Mhhhhh
[03:33.92] Ahhhhhh
[03:48.79] Comix Lizer
[03:50.43]