Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Tamu (feat. Nandy)

๐Ÿ‘ค Barnaba โ€ข ๐ŸŽผ Love Sounds Different โ€ข โฑ๏ธ 3:29
๐ŸŽต 1691 characters
โฑ๏ธ 3:29 duration
๐Ÿ†” ID: 10504964

๐Ÿ“œ Lyrics

This is Barnaba Boy Classic
Africa princess (aaaanhh)

Mopao
You and me for real (eeehhh)

Samuel Mou

Eeeeeh
Woo nah nah nah (oh na na na na)

London

Penzi langu alirudi, alirudi lanukia kumpenda sina budi
Nitaganze adharani ikibidi, tufanye makusudi
Hatuongopi tantarira zao
Maneno mchajao, wanafanya maneno baby sie tufanye matendo

Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!

Penzi tamu

Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu

Penzi tamu

Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu

Naaah!!
Aiyaaah hhaaa aah!

Uuoooh Uuuoh Uuooh (princess malkia wangu ebu nisamee)
Hoo papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata
Kukupenda wewe sina shaka mhh

Kwenye akili yangu ni wewe pekeako umenikaa
Kwengine roho inakataa Oh!
Moyo umekuami mana huniishi akilini
Sijui umenipa nini mmhh

Au umentupia kajini ndo mana umeni-win!
Mana hunishi akiliniii (Aah tell them my love)

Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!

Penzi tamu (Aaaahh)

Neno penzi kwangu tamu (babe)
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)

Penzi tamu

Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)

Penzi tamu

Neno penzi kwangu tamu (neno penzi kwangu tamu)
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu (babe)

Penzi tamu

Neno penzi kwangu tamu
Neno penzi kwangu tamu
Jama, mapenzi matamu

This is Barnaba Boy Classic

Kamix Lizer

You and Me for real

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.66] This is Barnaba Boy Classic
[00:03.78] Africa princess (aaaanhh)
[00:06.94] Mopao
[00:08.78] You and me for real (eeehhh)
[00:11.02] Samuel Mou
[00:13.45] Eeeeeh
[00:14.76] Woo nah nah nah (oh na na na na)
[00:17.11] London
[00:19.15] Penzi langu alirudi, alirudi lanukia kumpenda sina budi
[00:24.05] Nitaganze adharani ikibidi, tufanye makusudi
[00:30.93] Hatuongopi tantarira zao
[00:33.88] Maneno mchajao, wanafanya maneno baby sie tufanye matendo
[00:40.04] Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
[00:44.99] Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
[00:50.62] Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
[00:55.54] Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!
[00:59.18] Penzi tamu
[01:00.95] Neno penzi kwangu tamu
[01:02.63] Neno penzi kwangu tamu
[01:04.63] Jama, mapenzi matamu
[01:07.08] Penzi tamu
[01:09.65] Neno penzi kwangu tamu
[01:11.65] Neno penzi kwangu tamu
[01:14.37] Jama, mapenzi matamu
[01:17.12] Naaah!!
[01:19.81] Aiyaaah hhaaa aah!
[01:21.91] Uuoooh Uuuoh Uuooh (princess malkia wangu ebu nisamee)
[01:36.84] Hoo papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata
[01:43.36] Kukupenda wewe sina shaka mhh
[01:47.52] Kwenye akili yangu ni wewe pekeako umenikaa
[01:53.12] Kwengine roho inakataa Oh!
[01:58.83] Moyo umekuami mana huniishi akilini
[01:59.91] Sijui umenipa nini mmhh
[02:08.27] Au umentupia kajini ndo mana umeni-win!
[02:13.32] Mana hunishi akiliniii (Aah tell them my love)
[02:16.83] Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
[02:23.13] Ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
[02:28.48] Upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
[02:33.15] Hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka!
[02:37.39] Penzi tamu (Aaaahh)
[02:38.65] Neno penzi kwangu tamu (babe)
[02:39.99] Neno penzi kwangu tamu
[02:42.67] Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)
[02:45.38] Penzi tamu
[02:48.08] Neno penzi kwangu tamu
[02:50.00] Neno penzi kwangu tamu
[02:52.73] Jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu!!)
[02:55.57] Penzi tamu
[02:58.16] Neno penzi kwangu tamu (neno penzi kwangu tamu)
[03:00.16] Neno penzi kwangu tamu
[03:03.31] Jama, mapenzi matamu (babe)
[03:04.94] Penzi tamu
[03:07.12] Neno penzi kwangu tamu
[03:09.37] Neno penzi kwangu tamu
[03:12.01] Jama, mapenzi matamu
[03:14.75] This is Barnaba Boy Classic
[03:21.99] Kamix Lizer
[03:24.93] You and Me for real
[03:26.59]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings