Ndivyo Sivyo (feat. Jose Chameleone)
๐ต 2860 characters
โฑ๏ธ 4:22 duration
๐ ID: 10614141
๐ Lyrics
Unavyodhani Ndivyo sivyo
Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
Eh! tusaidiane kwenya raha na shida
Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba
Maisha safari ndefu sio eleweka
Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka
Usimutuze tu mwenye nyumba na gari
Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi
Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo
Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo
Kama leo umepewa basi mushukuru mumba
Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba
Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba
Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!

Never under estimate
And learn to appreciate
No matter situation, persevere and tolerate
Don't get hooked by the bait
Life is life, no matter what the time and date
Take a little more time, sit and concentrate
It's J. Chameleone, Professor in a new duet!

Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngoma
Usimini kila kitu ambacho macho yaona
Wangapi wana magari na kumbe yote ya mkopo
Benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto
Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe
Anapanga ama nani muombe ili upewe
Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple
Kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong
Mama yoooo!
Munno bwolaba talina muwe Plani
Tomukuba mgongo omulanga Bisiraani
Oyo gwonyoma nti talina Plani
Ebyensi bikyuka mungu yayina Mizani
Tonyoma njala gweluma talina musango
Toduulira mwavu tomukuba mugongo
Ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo
Maisha kama kamari bora itumie ubongo

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:19.92] Unavyodhani Ndivyo sivyo
[00:21.85] Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
[00:24.73] Naongeza msistizo tena usimsahau
[00:27.12] Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
[00:29.74] Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
[00:32.90] Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
[00:35.00] Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
[00:37.61] (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
[00:39.22] Eh! tusaidiane kwenya raha na shida
[00:41.03] Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba
[00:43.79] Maisha safari ndefu sio eleweka
[00:45.88] Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka
[00:48.47] Usimutuze tu mwenye nyumba na gari
[00:50.85] Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi
[00:53.70] Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo
[00:55.33] Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo
[00:57.64] Kama leo umepewa basi mushukuru mumba
[01:00.66] Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba
[01:02.99] Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba
[01:05.08] Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!
[01:07.90] Unavyodhani Ndivyo sivyo
[01:09.89] Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
[01:13.26] Naongeza msistizo tena usimsahau
[01:15.64] Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
[01:17.79] Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
[01:19.69] Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
[01:22.23] Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
[01:25.90] (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
[01:27.06] Never under estimate
[01:28.19] And learn to appreciate
[01:29.47] No matter situation, persevere and tolerate
[01:31.69] Don't get hooked by the bait
[01:33.74] Life is life, no matter what the time and date
[01:35.20] Take a little more time, sit and concentrate
[01:38.41] It's J. Chameleone, Professor in a new duet!
[01:41.39] Unavyodhani Ndivyo sivyo
[01:44.01] Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
[01:46.32] Naongeza msistizo tena usimsahau
[01:49.20] Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
[01:51.23] Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
[01:52.95] Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
[01:55.80] Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
[01:58.72] (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
[02:00.62] Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngoma
[02:01.95] Usimini kila kitu ambacho macho yaona
[02:05.92] Wangapi wana magari na kumbe yote ya mkopo
[02:07.76] Benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto
[02:10.10] Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe
[02:12.49] Anapanga ama nani muombe ili upewe
[02:14.95] Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple
[02:17.28] Kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong
[02:18.90] Mama yoooo!
[02:19.96] Munno bwolaba talina muwe Plani
[02:21.45] Tomukuba mgongo omulanga Bisiraani
[02:23.84] Oyo gwonyoma nti talina Plani
[02:25.64] Ebyensi bikyuka mungu yayina Mizani
[02:28.84] Tonyoma njala gweluma talina musango
[02:31.28] Toduulira mwavu tomukuba mugongo
[02:33.84] Ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo
[02:36.21] Maisha kama kamari bora itumie ubongo
[02:38.57] Unavyodhani Ndivyo sivyo
[02:40.92] Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
[02:43.82] Naongeza msistizo tena usimsahau
[02:45.94] Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
[02:48.86] Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
[02:50.97] Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
[02:53.69] Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
[02:55.98] (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
[03:17.82] Unavyodhani Ndivyo sivyo
[03:19.62] Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)
[03:22.58] Naongeza msistizo tena usimsahau
[03:24.48] Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
[03:27.00] Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena
[03:29.70] Wamebaki naviulizo (vingi viulizo)
[03:32.16] Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo
[03:35.53] (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
[04:20.56]