Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Basi Nenda

๐Ÿ‘ค Mo Music โ€ข ๐ŸŽผ Basi Nenda โ€ข โฑ๏ธ 3:44
๐ŸŽต 1401 characters
โฑ๏ธ 3:44 duration
๐Ÿ†” ID: 10627250

๐Ÿ“œ Lyrics

Kulalama kufuru lakini
Naona ndio napoza moyo
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile tamu imegeuka shubiri
Nilipokuthamini nikakupa moyo
Hata kutendwa sikufikiri
Kinywa kizito kukubali ukweli
Moyo unashindwa inaniuma ni hatari
Mapenzi yanatawala dunia sawa
Nimechoka kutawaliwa kama
Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
Ile Asali wanalina wengine
Siwezi kubishana na moyo
Nilikupenda kipepeo
Ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha
Ooh
()
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami nitaudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami nitaudanganya moyo utatulia
(2)
Wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki
Ila kwa baadhi najua
Right ningeelewa kuvuma kwa upepo hakutongebadili misimu ya jua
Nilishajua miendeno yako
Tusingewezana aaha
Kumbe nakunywa maji ya moto nami bado mtoto
Kwangu changamoto mmh
Waliposema hufai
Nilijipa moyo ni ya walimwengu
(Bilekebizembe bindi biloza)
Karol aliniambia
Labda thamani ya mapenzi ni kikombe
Sikukivunja sina thamani
Sawa nimelewa sana sina haja ya kung'ang'ana
()
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia
Basi nenda
Na me ntafute sababu ya kuridhia
Sawa nenda
Nami niudanganya moyo utatulia.

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.09] Kulalama kufuru lakini
[00:12.02] Naona ndio napoza moyo
[00:15.08] Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
[00:17.03] Ile tamu imegeuka shubiri
[00:20.08] Nilipokuthamini nikakupa moyo
[00:23.05] Hata kutendwa sikufikiri
[00:25.03] Kinywa kizito kukubali ukweli
[00:27.07] Moyo unashindwa inaniuma ni hatari
[00:30.07] Mapenzi yanatawala dunia sawa
[00:32.05] Nimechoka kutawaliwa kama
[00:35.06] Uwepo wako sawa na muiba kidoleni
[00:37.06] Ile Asali wanalina wengine
[00:39.05] Siwezi kubishana na moyo
[00:42.06] Nilikupenda kipepeo
[00:45.02] Ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha
[00:48.09] Ooh
[00:50.03] ()
[00:50.05] Basi nenda
[00:51.04] Na me ntafute sababu ya kuridhia
[00:53.08] Sawa nenda
[00:55.03] Nami nitaudanganya moyo utatulia
[00:58.02] Basi nenda
[01:00.04] Na me ntafute sababu ya kuridhia
[01:03.00] Sawa nenda
[01:05.08] Nami nitaudanganya moyo utatulia
[01:08.07] (2)
[01:11.05]
[01:28.02] Wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki
[01:32.03] Ila kwa baadhi najua
[01:34.02] Right ningeelewa kuvuma kwa upepo hakutongebadili misimu ya jua
[01:39.01] Nilishajua miendeno yako
[01:42.09] Tusingewezana aaha
[01:45.01] Kumbe nakunywa maji ya moto nami bado mtoto
[01:47.03] Kwangu changamoto mmh
[01:49.07] Waliposema hufai
[01:51.05] Nilijipa moyo ni ya walimwengu
[01:54.02] (Bilekebizembe bindi biloza)
[01:57.02] Karol aliniambia
[01:59.08] Labda thamani ya mapenzi ni kikombe
[02:02.09] Sikukivunja sina thamani
[02:04.00] Sawa nimelewa sana sina haja ya kung'ang'ana
[02:08.03] ()
[02:09.06] Basi nenda
[02:11.06] Na me ntafute sababu ya kuridhia
[02:13.09] Sawa nenda
[02:15.02] Nami niudanganya moyo utatulia
[02:18.08] Basi nenda
[02:20.08] Na me ntafute sababu ya kuridhia
[02:23.06] Sawa nenda
[02:25.03] Nami niudanganya moyo utatulia
[02:28.03] Basi nenda
[02:30.04] Na me ntafute sababu ya kuridhia
[02:33.07] Sawa nenda
[02:35.05] Nami niudanganya moyo utatulia
[02:38.09] Basi nenda
[02:40.08] Na me ntafute sababu ya kuridhia
[02:43.03] Sawa nenda
[02:45.06] Nami niudanganya moyo utatulia.
[02:47.00]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings