Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kama

๐Ÿ‘ค Anjella โ€ข ๐ŸŽผ Best Of 2023 โ€ข โฑ๏ธ 3:53
๐ŸŽต 2036 characters
โฑ๏ธ 3:53 duration
๐Ÿ†” ID: 10732931

๐Ÿ“œ Lyrics

Ahahaha Jeshi
Sounds by Abbah
(Konde Boy)

Kwanza namuomba Mungu iwe kweli
Nipate wa kunipenda anirithie kwa moyo
Niepushe na matapeli, wale wa kula na kwenda
Mi nimeumbwa na choyo

Arithike na changu kidogo cha ngama
Asiwafuate madanga
Mmmh shida zake ziwe zangu hadi kesho kiama
Tupate na vifaranga

Seti fire, mume jando jando
Kiuno kiwe mgando mgando
Akimimina aijaze ndoo
Nimng'ang'anie

Mchungaji mi kondoo kondoo
Vita yangu komando mando
Michepuko iweke kando
Wasiniiibie

Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama
(Yaani kwa mama konde)

Kama nikimpata
Kama nikimpata
Kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama

Uzuri wa mke ni tabia, sura shepu vinachangia
Msafi kutakata kifuani pawe dodo
Tena awe anatulia, yaani asiwe kiruka njia
Anipe nachotaka, kitandani kwenye godoro

Tena naahidi, nyumbani nitarudi mapema
Bahati mbaya nikichelewa nitasema sorry
Naye aniahidi atakuaga chanda chema
Namaanisha sikuwagongewa wana wasinichore

Insta kufollow warembo kawaida
Itabidi azoee eh eh
Sio maswali ka niko nida
Sipendagi mayowe

Kondomu akikuta mfukoni asiulize za kazi gani
Simu nikapokee chooni asiulize baby ni nani?
Eti mbona umeganda online unachat na nani?
Hata za mwizi arobaini akinifuma aone tu utani

Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama (yaani kwa mama konde)

Kama nikimpata
Kama nikimpata
Kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama

Haijalishi mwembamba mwenene (nampenda mpenda)
Nachotaka pochi liwe nene (nampenda mpenda)
Mi napendaga wenye mapene (nampenda mpenda)
Nani nampenda?

Ajue kunidekeza (nampenda mpenda)
Makavu mwana apalegeza (nampenda mpenda)
Vurugu za kifimbo cheza (nampenda mpenda)
Aah nitampenda

Kitandani asiwe boko (nampenda mpenda)
Anifikishe kwa mgogo (nampenda mpenda)
Utamu mpaka kwa kisogo (nampenda mpenda)
Nani nampenda?

Shida zake ziwe zangu (nampenda mpenda)
Arithie na hali yangu (nampenda mpenda)
Awapende ndugu zangu (nampenda mpenda)
Aah nitampenda

Anjella, Konde Music Worldwide
Lalalila lala
(The Mi Killer)
Abbah

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.21] Ahahaha Jeshi
[00:07.34] Sounds by Abbah
[00:09.08] (Konde Boy)
[00:11.80]
[00:20.20] Kwanza namuomba Mungu iwe kweli
[00:23.08] Nipate wa kunipenda anirithie kwa moyo
[00:30.18] Niepushe na matapeli, wale wa kula na kwenda
[00:35.05] Mi nimeumbwa na choyo
[00:39.44] Arithike na changu kidogo cha ngama
[00:44.49] Asiwafuate madanga
[00:46.94] Mmmh shida zake ziwe zangu hadi kesho kiama
[00:53.71] Tupate na vifaranga
[00:56.59] Seti fire, mume jando jando
[00:58.75] Kiuno kiwe mgando mgando
[01:00.92] Akimimina aijaze ndoo
[01:03.52] Nimng'ang'anie
[01:06.04] Mchungaji mi kondoo kondoo
[01:08.28] Vita yangu komando mando
[01:10.54] Michepuko iweke kando
[01:12.98] Wasiniiibie
[01:15.14] Kama niki, kama nikimpata
[01:18.94] Kama nikimpata, kama nikimpata
[01:22.79] Nitampeleka kwa mama
[01:24.69] (Yaani kwa mama konde)
[01:26.25] Kama nikimpata
[01:28.34] Kama nikimpata
[01:30.21] Kama nikimpata
[01:32.53] Nitampeleka kwa mama
[01:35.66] Uzuri wa mke ni tabia, sura shepu vinachangia
[01:39.75] Msafi kutakata kifuani pawe dodo
[01:45.15] Tena awe anatulia, yaani asiwe kiruka njia
[01:49.40] Anipe nachotaka, kitandani kwenye godoro
[01:53.66] Tena naahidi, nyumbani nitarudi mapema
[01:58.20] Bahati mbaya nikichelewa nitasema sorry
[02:02.79] Naye aniahidi atakuaga chanda chema
[02:07.66] Namaanisha sikuwagongewa wana wasinichore
[02:11.98] Insta kufollow warembo kawaida
[02:14.77] Itabidi azoee eh eh
[02:17.52] Sio maswali ka niko nida
[02:19.92] Sipendagi mayowe
[02:22.27] Kondomu akikuta mfukoni asiulize za kazi gani
[02:27.06] Simu nikapokee chooni asiulize baby ni nani?
[02:31.74] Eti mbona umeganda online unachat na nani?
[02:36.66] Hata za mwizi arobaini akinifuma aone tu utani
[02:40.71] Kama niki, kama nikimpata
[02:44.56] Kama nikimpata, kama nikimpata
[02:48.58] Nitampeleka kwa mama (yaani kwa mama konde)
[02:51.66] Kama nikimpata
[02:54.05] Kama nikimpata
[02:56.03] Kama nikimpata
[02:58.24] Nitampeleka kwa mama
[03:00.00] Haijalishi mwembamba mwenene (nampenda mpenda)
[03:02.18] Nachotaka pochi liwe nene (nampenda mpenda)
[03:04.34] Mi napendaga wenye mapene (nampenda mpenda)
[03:07.79] Nani nampenda?
[03:09.73] Ajue kunidekeza (nampenda mpenda)
[03:11.88] Makavu mwana apalegeza (nampenda mpenda)
[03:14.21] Vurugu za kifimbo cheza (nampenda mpenda)
[03:16.76] Aah nitampenda
[03:19.25] Kitandani asiwe boko (nampenda mpenda)
[03:21.46] Anifikishe kwa mgogo (nampenda mpenda)
[03:23.82] Utamu mpaka kwa kisogo (nampenda mpenda)
[03:26.55] Nani nampenda?
[03:28.73] Shida zake ziwe zangu (nampenda mpenda)
[03:31.12] Arithie na hali yangu (nampenda mpenda)
[03:33.44] Awapende ndugu zangu (nampenda mpenda)
[03:36.70] Aah nitampenda
[03:40.50] Anjella, Konde Music Worldwide
[03:45.21] Lalalila lala
[03:47.12] (The Mi Killer)
[03:48.13] Abbah
[03:48.96]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings