Ukinichiti
๐ต 1560 characters
โฑ๏ธ 3:57 duration
๐ ID: 10733642
๐ Lyrics
Aliekuumiza mtafutie mwenziee
Ili ukimpost akimuona aumie
Tena mkiachana chunga usimrudi
Post nyumba pesa gari ili ajutie
Ndo mama mimi simuwazi
Akichelewa kurudi naacha mlango wazi
Tena namwambia aogope maradhi
Akumbuke kinga asiende waziwazi
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Kidole changu kimoja hakivunji chawa
Kama ukipenda boga penda na ua sawa
Ata ukiniroga husizidishe dawa
Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa
Haya mapenzii hayanaga fundi Ouuh
Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh
Acha nilewe eeh acha nipombeke
Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee
Acha nilewe acha nipombeke eeh
Stress za nini eeh pembeni nijiwekee
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ili ukimpost akimuona aumie
Tena mkiachana chunga usimrudi
Post nyumba pesa gari ili ajutie
Ndo mama mimi simuwazi
Akichelewa kurudi naacha mlango wazi
Tena namwambia aogope maradhi
Akumbuke kinga asiende waziwazi
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Kidole changu kimoja hakivunji chawa
Kama ukipenda boga penda na ua sawa
Ata ukiniroga husizidishe dawa
Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa
Haya mapenzii hayanaga fundi Ouuh
Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh
Acha nilewe eeh acha nipombeke
Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee
Acha nilewe acha nipombeke eeh
Stress za nini eeh pembeni nijiwekee
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:25.55] Aliekuumiza mtafutie mwenziee
[00:29.85] Ili ukimpost akimuona aumie
[00:34.45] Tena mkiachana chunga usimrudi
[00:38.78] Post nyumba pesa gari ili ajutie
[00:43.52] Ndo mama mimi simuwazi
[00:47.82] Akichelewa kurudi naacha mlango wazi
[00:51.73] Tena namwambia aogope maradhi
[00:55.78] Akumbuke kinga asiende waziwazi
[00:59.53] Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
[01:02.70] Nusu nitoke uhai uhai uhai
[01:05.43] Nishaenyeka sana
[01:09.73] Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
[01:15.08] Ukinichiti nakuchiti
[01:19.37] Ukiniacha nakuacha
[01:21.05] Kwani yani shingapi
[01:22.89] Ya nini tuumizane roho
[01:25.43] Ukinichiti nakuchiti
[01:27.47] Ukiniacha nakuacha
[01:29.66] Kwani yani shingapi
[01:31.95] Ya nini tuumizane roho
[01:34.83] Shii shi shishi
[01:36.25] Shishi shishi
[01:37.44] Mh shishi shishi shishi
[01:39.80] Shii shi shishi
[01:41.66] Shishi shishi
[01:44.17] Mh shishi shishi shishi
[01:50.41] Kidole changu kimoja hakivunji chawa
[01:54.68] Kama ukipenda boga penda na ua sawa
[01:59.25] Ata ukiniroga husizidishe dawa
[02:03.01] Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa
[02:07.53] Haya mapenzii hayanaga fundi Ouuh
[02:14.41] Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh
[02:23.27] Acha nilewe eeh acha nipombeke
[02:28.89] Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee
[02:32.29] Acha nilewe acha nipombeke eeh
[02:37.19] Stress za nini eeh pembeni nijiwekee
[02:40.82] Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
[02:45.23] Nusu nitoke uhai uhai uhai
[02:48.88] Nishaenyeka sana
[02:51.75] Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
[02:56.64] Ukinichiti nakuchiti
[03:01.20] Ukiniacha nakuacha
[03:02.99] Kwani yani shingapi
[03:04.82] Ya nini tuumizane roho
[03:07.58] Ukinichiti nakuchiti
[03:09.15] Ukiniacha nakuacha
[03:11.72] Kwani yani shingapi
[03:13.11] Ya nini tuumizane roho
[03:15.52] Shii shi shishi
[03:17.79] Shishi shishi
[03:19.47] Mh shishi shishi shishi
[03:22.95] Shii shi shishi
[03:25.74] Shishi shishi
[03:27.41] Mh shishi shishi shishi
[03:31.45] Ukinichiti nakuchiti
[03:34.70] Ukiniacha nakuacha
[03:36.88] Kwani yani shingapi
[03:38.96] Ya nini tuumizane roho
[03:41.38] Ukinichiti nakuchiti
[03:43.34] Ukiniacha nakuacha
[03:45.58] Kwani yani shingapi
[03:47.12] Ya nini tuumizane roho
[03:49.95]
[00:29.85] Ili ukimpost akimuona aumie
[00:34.45] Tena mkiachana chunga usimrudi
[00:38.78] Post nyumba pesa gari ili ajutie
[00:43.52] Ndo mama mimi simuwazi
[00:47.82] Akichelewa kurudi naacha mlango wazi
[00:51.73] Tena namwambia aogope maradhi
[00:55.78] Akumbuke kinga asiende waziwazi
[00:59.53] Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
[01:02.70] Nusu nitoke uhai uhai uhai
[01:05.43] Nishaenyeka sana
[01:09.73] Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
[01:15.08] Ukinichiti nakuchiti
[01:19.37] Ukiniacha nakuacha
[01:21.05] Kwani yani shingapi
[01:22.89] Ya nini tuumizane roho
[01:25.43] Ukinichiti nakuchiti
[01:27.47] Ukiniacha nakuacha
[01:29.66] Kwani yani shingapi
[01:31.95] Ya nini tuumizane roho
[01:34.83] Shii shi shishi
[01:36.25] Shishi shishi
[01:37.44] Mh shishi shishi shishi
[01:39.80] Shii shi shishi
[01:41.66] Shishi shishi
[01:44.17] Mh shishi shishi shishi
[01:50.41] Kidole changu kimoja hakivunji chawa
[01:54.68] Kama ukipenda boga penda na ua sawa
[01:59.25] Ata ukiniroga husizidishe dawa
[02:03.01] Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa
[02:07.53] Haya mapenzii hayanaga fundi Ouuh
[02:14.41] Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh
[02:23.27] Acha nilewe eeh acha nipombeke
[02:28.89] Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee
[02:32.29] Acha nilewe acha nipombeke eeh
[02:37.19] Stress za nini eeh pembeni nijiwekee
[02:40.82] Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
[02:45.23] Nusu nitoke uhai uhai uhai
[02:48.88] Nishaenyeka sana
[02:51.75] Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
[02:56.64] Ukinichiti nakuchiti
[03:01.20] Ukiniacha nakuacha
[03:02.99] Kwani yani shingapi
[03:04.82] Ya nini tuumizane roho
[03:07.58] Ukinichiti nakuchiti
[03:09.15] Ukiniacha nakuacha
[03:11.72] Kwani yani shingapi
[03:13.11] Ya nini tuumizane roho
[03:15.52] Shii shi shishi
[03:17.79] Shishi shishi
[03:19.47] Mh shishi shishi shishi
[03:22.95] Shii shi shishi
[03:25.74] Shishi shishi
[03:27.41] Mh shishi shishi shishi
[03:31.45] Ukinichiti nakuchiti
[03:34.70] Ukiniacha nakuacha
[03:36.88] Kwani yani shingapi
[03:38.96] Ya nini tuumizane roho
[03:41.38] Ukinichiti nakuchiti
[03:43.34] Ukiniacha nakuacha
[03:45.58] Kwani yani shingapi
[03:47.12] Ya nini tuumizane roho
[03:49.95]