Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Napendwa

๐Ÿ‘ค Kusah โ€ข ๐ŸŽผ Napendwa โ€ข โฑ๏ธ 3:38
๐ŸŽต 1159 characters
โฑ๏ธ 3:38 duration
๐Ÿ†” ID: 11000781

๐Ÿ“œ Lyrics

Walahy mimi,sitaki kitu sitaki chochote
Nataka mapenzi,
Kama sio hivyo mtanizika
Siumwi kitu siumwi chochote me
Naumwa mapenzi
Jama mwenzenu nimeridhika
Na Bado, akinipa ananipa
Na Kuna siku tunapaa
Funua funika aah.
Na tunafika kwenye paa
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me?
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
will you marry me?
Mwenzenu niwaambieee
Sijawahi mimi
Kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambieee
Napendwa mimi
Kushinda nyinyi
Oya weee
Hili Penzi liko huku
Napewa vitamu huku
Kuna udambwi udambwi huku
Mbwembwe nyingi
Mambo kibaoo
Na tena mwenzenu huku
Nimejawa na shauku
Natamani yavuke huku
Tufike kwao
Me na yeye kitambooo
Tushamshinda shetani
Mambo yakwetu ya ndani
Hayatoki nje ni ya ndani kwa ndani
Na ananipa mambooo
Sio chini kitandani
Tukigombana kwa ndani
Hayatoki nje yanaishia kitandani
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me?
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me?
Mwenzenu niwaambieee
Sijawahi mimi
Kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambieee
Napendwa mimi
Kushinda nyinyi

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.36] Walahy mimi,sitaki kitu sitaki chochote
[00:13.20] Nataka mapenzi,
[00:16.97] Kama sio hivyo mtanizika
[00:20.68] Siumwi kitu siumwi chochote me
[00:25.41] Naumwa mapenzi
[00:28.47] Jama mwenzenu nimeridhika
[00:31.10] Na Bado, akinipa ananipa
[00:34.95] Na Kuna siku tunapaa
[00:38.05] Funua funika aah.
[00:40.46] Na tunafika kwenye paa
[00:43.07] Eti will you marry me
[00:46.17] Will you marry me?
[00:48.54] Honey will you marry me
[00:51.77] Mmh will you marry me?
[00:54.17] Eti will you marry me
[00:56.88] Will you marry me?
[00:59.43] Honey will you marry me
[01:02.13] Will you marry me?
[01:04.59] Mwenzenu niwaambieee
[01:08.97] Sijawahi mimi
[01:11.82] Kupendwa hivi
[01:14.77] Mwenzenu niwaambieee
[01:18.62] Napendwa mimi
[01:22.86] Kushinda nyinyi
[01:25.67]
[01:45.60] Oya weee
[01:47.67] Hili Penzi liko huku
[01:50.23] Napewa vitamu huku
[01:53.26] Kuna udambwi udambwi huku
[01:55.66] Mbwembwe nyingi
[01:57.01] Mambo kibaoo
[01:58.59] Na tena mwenzenu huku
[02:00.83] Nimejawa na shauku
[02:03.22] Natamani yavuke huku
[02:05.57] Tufike kwao
[02:08.02] Me na yeye kitambooo
[02:10.63] Tushamshinda shetani
[02:13.14] Mambo yakwetu ya ndani
[02:15.03] Hayatoki nje ni ya ndani kwa ndani
[02:18.49] Na ananipa mambooo
[02:20.99] Sio chini kitandani
[02:23.89] Tukigombana kwa ndani
[02:25.86] Hayatoki nje yanaishia kitandani
[02:28.96] Eti will you marry me
[02:33.23] Will you marry me?
[02:35.44] Honey will you marry me
[02:38.04] Mmh will you marry me?
[02:40.62] Eti will you marry me
[02:43.77] Will you marry me?
[02:46.18] Honey will you marry me
[02:49.10] Mmh will you marry me?
[02:51.04] Mwenzenu niwaambieee
[02:55.90] Sijawahi mimi
[02:58.67] Kupendwa hivi
[03:01.46] Mwenzenu niwaambieee
[03:06.87] Napendwa mimi
[03:09.77] Kushinda nyinyi
[03:17.23]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings