Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wa Sasa

๐Ÿ‘ค Kusah โ€ข ๐ŸŽผ Wa Sasa โ€ข โฑ๏ธ 3:14
๐ŸŽต 1033 characters
โฑ๏ธ 3:14 duration
๐Ÿ†” ID: 11002229

๐Ÿ“œ Lyrics

Uuuuh
Oo my wee
Nataka nikupe penzi ulishike lote
Ulishike kwa mikono
Kwa mikono mwenyewe
Na hata ukiwa mbali wee
Jifanye bado kma tuko wote mama
Fumba mache unione, unione mwenyewee
Kweli mabaya yapoo
Ila mazuri yapoo
Tujishikile, usije ukaniacha
Utafanya niliee
Kweli wabaya wapooo
Ila wazuri wapooo
Inabidi uangalie
Usiwatamanie utafanya nilie

Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando

Mwenzako penzi lako burudani
Jamani huku hoi taabani
Mwenziooo sikioo alisikii tena
Wee jione mwamba
Ringa, vimba, dunda
Wajue nakupenda aaah
Mwenzio nakupenda aaah
Na mi natamba
Insta, tiktok
Naringa mwenzio nakupenda aah
Wajue nakupenda aaah
Kweli mabaya yapooo
Ila wazuri wapooo
Tuji shikilie, usije ukaniacha
Utafanya niliee
Kweli wabaya wapooo
Ila wazuri wapooo
Inabidi uangalie
Usiwatamanie utafanya nilie

Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando
Huyu wa sasa
Nahisi nimefika
Sitaki hata kupepesa macho
Sioni kando

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:13.23] Uuuuh
[00:21.29] Oo my wee
[00:23.29] Nataka nikupe penzi ulishike lote
[00:25.69] Ulishike kwa mikono
[00:28.46] Kwa mikono mwenyewe
[00:30.66] Na hata ukiwa mbali wee
[00:34.43] Jifanye bado kma tuko wote mama
[00:36.44] Fumba mache unione, unione mwenyewee
[00:39.94] Kweli mabaya yapoo
[00:47.02] Ila mazuri yapoo
[00:50.07] Tujishikile, usije ukaniacha
[00:52.68] Utafanya niliee
[00:55.80] Kweli wabaya wapooo
[00:57.94] Ila wazuri wapooo
[01:00.30] Inabidi uangalie
[01:02.67] Usiwatamanie utafanya nilie
[01:07.46] Huyu wa sasa
[01:10.87] Nahisi nimefika
[01:13.78] Sitaki hata kupepesa macho
[01:16.33] Sioni kando
[01:18.60] Huyu wa sasa
[01:21.73] Nahisi nimefika
[01:24.50] Sitaki hata kupepesa macho
[01:25.42] Sioni kando
[01:40.53] Mwenzako penzi lako burudani
[01:44.24] Jamani huku hoi taabani
[01:48.04] Mwenziooo sikioo alisikii tena
[01:51.11] Wee jione mwamba
[01:53.36] Ringa, vimba, dunda
[01:56.58] Wajue nakupenda aaah
[01:59.36] Mwenzio nakupenda aaah
[02:02.79] Na mi natamba
[02:05.37] Insta, tiktok
[02:08.85] Naringa mwenzio nakupenda aah
[02:10.88] Wajue nakupenda aaah
[02:13.54] Kweli mabaya yapooo
[02:15.22] Ila wazuri wapooo
[02:17.63] Tuji shikilie, usije ukaniacha
[02:19.68] Utafanya niliee
[02:24.37] Kweli wabaya wapooo
[02:27.04] Ila wazuri wapooo
[02:29.16] Inabidi uangalie
[02:32.55] Usiwatamanie utafanya nilie
[02:34.54] Huyu wa sasa
[02:39.20] Nahisi nimefika
[02:43.36] Sitaki hata kupepesa macho
[02:47.01] Sioni kando
[02:49.37] Huyu wa sasa
[02:52.03] Nahisi nimefika
[02:57.58] Sitaki hata kupepesa macho
[02:58.51] Sioni kando
[03:01.44]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings