Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Pita Kule

๐Ÿ‘ค Jaivah โ€ข ๐ŸŽผ Pita Kule โ€ข โฑ๏ธ 3:43
๐ŸŽต 2194 characters
โฑ๏ธ 3:43 duration
๐Ÿ†” ID: 11020306

๐Ÿ“œ Lyrics

Aah Uyasbona Siyenzani

Awee, Aweee
Awee, Aweee
Awee, Aweee
Awee, Aweee

Na kila siku mnaniona natafuta
Na mnapiga majungu
Napigwa jua mchana kutwa
Usiku kucha,nasebenza
Sebenza, Sebenza

Na kila siku mnaniona natafuta
Nyie mnapiga majungu
Napigwa jua mchana kutwa
Usiku kucha,nasebenza
Sebenza, Sebenza

Sasa acha nijipooze niponde mali
Acha nijipooze nigonge glass
Acha nienjoy nimetoka mbali
Na ukiniona pita kwa mbali

Sasa acha nijipooze niponde mali
Acha nijipooze nigonge glass
Acha nienjoy nimetoka mbali
Na ukiniona pita kwa mbali

Nasema tena pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eeh
Nasema pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule

Wonke umuntu ithi Jaivah.,Jaivah
Ithi Jaivah, Jaivah
Cula nami ithi Jaivah, Jaivah
Ithi Jaivah, Jaivah
Everybody say Jaivah, Jaivah
Say Jaivah, Jaivah
Watu wote sema Jaivah, Jaivah
Jaivah, Jaivah

Mmmmmmh aaaah Ayayaya aaah
Mmmmh aaah Ayayaya aaah

Mmh Aah Ayayaya aaah
Mmmmh aaah Ayayaya aaaah

Alooooooh!!
Mmmh, Shiiih
Awee kulanina
We si unanisema vibaya kulanina
Aah si unasemaga hunipendi kulanina
Sa mbona ukiniona unagwaya kulanina
Unang'ata unapuliza ndio kumaanisha nini

Ama unataka chapati (ama unataka chapati)
Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)
Ama unataka kutrend (ama unataka kutrend)
Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)

Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani
Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho
Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani
Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho

Nasema tena pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Nasema tena pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule
Eish Oya pita kule
Pita pita pita pita pita Pita kule

Ithi Jaivah, Jaivah
Cula nami ithi Jaivah, Jaivah
Ithi Jaivah, Jaivah
Everybody say Jaivah, Jaivah
Say Jaivah, Jaivah
Watu wote sema Jaivah, Jaivah
Jaivah, Jaivah

Shiiih

Yani kama utani Tena nje ndani
Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho
Yani kama utani Tena nje ndani
Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh
Atakutoa roho

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:02.62] Aah Uyasbona Siyenzani
[00:08.62] Awee, Aweee
[00:12.43] Awee, Aweee
[00:16.91] Awee, Aweee
[00:21.27] Awee, Aweee
[00:25.72] Na kila siku mnaniona natafuta
[00:28.43] Na mnapiga majungu
[00:29.93] Napigwa jua mchana kutwa
[00:31.08] Usiku kucha,nasebenza
[00:33.05] Sebenza, Sebenza
[00:34.49] Na kila siku mnaniona natafuta
[00:36.34] Nyie mnapiga majungu
[00:38.09] Napigwa jua mchana kutwa
[00:39.67] Usiku kucha,nasebenza
[00:41.18] Sebenza, Sebenza
[00:43.08] Sasa acha nijipooze niponde mali
[00:44.60] Acha nijipooze nigonge glass
[00:47.03] Acha nienjoy nimetoka mbali
[00:48.97] Na ukiniona pita kwa mbali
[00:50.86] Sasa acha nijipooze niponde mali
[00:53.56] Acha nijipooze nigonge glass
[00:55.61] Acha nienjoy nimetoka mbali
[00:57.64] Na ukiniona pita kwa mbali
[00:59.42] Nasema tena pita kule
[01:00.87] Pita pita pita pita pita Pita kule
[01:02.81] Eish Oya pita kule
[01:04.85] Pita pita pita pita pita Pita kule
[01:06.88] Eeh
[01:07.93] Nasema pita kule
[01:09.09] Pita pita pita pita pita Pita kule
[01:11.15] Eish Oya pita kule
[01:13.56] Pita pita pita pita pita Pita kule
[01:16.31] Wonke umuntu ithi Jaivah.,Jaivah
[01:19.28] Ithi Jaivah, Jaivah
[01:20.78] Cula nami ithi Jaivah, Jaivah
[01:23.09] Ithi Jaivah, Jaivah
[01:25.11] Everybody say Jaivah, Jaivah
[01:27.70] Say Jaivah, Jaivah
[01:29.52] Watu wote sema Jaivah, Jaivah
[01:32.29] Jaivah, Jaivah
[01:34.16] Mmmmmmh aaaah Ayayaya aaah
[01:37.32] Mmmmh aaah Ayayaya aaah
[01:41.73] Mmh Aah Ayayaya aaah
[01:45.75] Mmmmh aaah Ayayaya aaaah
[01:51.30] Alooooooh!!
[01:52.41] Mmmh, Shiiih
[01:53.64] Awee kulanina
[01:56.00] We si unanisema vibaya kulanina
[01:59.74] Aah si unasemaga hunipendi kulanina
[02:04.12] Sa mbona ukiniona unagwaya kulanina
[02:08.07] Unang'ata unapuliza ndio kumaanisha nini
[02:12.71] Ama unataka chapati (ama unataka chapati)
[02:17.03] Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)
[02:20.92] Ama unataka kutrend (ama unataka kutrend)
[02:25.23] Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo)
[02:29.91] Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani
[02:32.24] Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh
[02:36.68] Atakutoa roho
[02:38.10] Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani
[02:41.38] Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh
[02:45.38] Atakutoa roho
[02:46.15] Nasema tena pita kule
[02:47.74] Pita pita pita pita pita Pita kule
[02:49.69] Eish Oya pita kule
[02:52.04] Pita pita pita pita pita Pita kule
[02:54.81] Nasema tena pita kule
[02:56.39] Pita pita pita pita pita Pita kule
[02:58.75] Eish Oya pita kule
[03:00.32] Pita pita pita pita pita Pita kule
[03:03.32] Ithi Jaivah, Jaivah
[03:07.84] Cula nami ithi Jaivah, Jaivah
[03:10.08] Ithi Jaivah, Jaivah
[03:11.94] Everybody say Jaivah, Jaivah
[03:15.08] Say Jaivah, Jaivah
[03:16.84] Watu wote sema Jaivah, Jaivah
[03:19.64] Jaivah, Jaivah
[03:21.19] Shiiih
[03:21.99] Yani kama utani Tena nje ndani
[03:23.05] Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh
[03:28.14] Atakutoa roho
[03:29.61] Yani kama utani Tena nje ndani
[03:31.53] Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh
[03:37.06] Atakutoa roho
[03:40.95]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings