Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mungu Tu

๐Ÿ‘ค Kusah โ€ข ๐ŸŽผ Mungu Tu โ€ข โฑ๏ธ 3:27
๐ŸŽต 1026 characters
โฑ๏ธ 3:27 duration
๐Ÿ†” ID: 11131144

๐Ÿ“œ Lyrics

Binadamu siwawezi
Bora nibaki na mwenyezi
Kuna jua kuna mwezi
Nakupangua hatuwezi
Ahsante baba kwa mkate na bikombe
Kilichobaki acha mimi nikuombe
Aah binadmu metuumba na unyonge
Nikikosea naomba mungu unione, tena
Na siog opi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Na siog opi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Walishapiga na story niko hoi
Siponi tena
Wakaapa sitoboi sitoboi sitoboi tena
Si walisema hayatopita
Leo mungu kawanyamazisha
Wakapanga mpaka vita
Katikati yao nikapita
Na siogopi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Nasiogopi mtu
Namuogopa mungu tu
Na sijali lolote
Namuogopa mungu tu
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
Hizi shida zangu, zinanitosha
Sitaki matatizo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.49] Binadamu siwawezi
[00:15.99] Bora nibaki na mwenyezi
[00:17.66] Kuna jua kuna mwezi
[00:19.26] Nakupangua hatuwezi
[00:20.93] Ahsante baba kwa mkate na bikombe
[00:24.14] Kilichobaki acha mimi nikuombe
[00:26.84] Aah binadmu metuumba na unyonge
[00:29.72] Nikikosea naomba mungu unione, tena
[00:33.57] Na siog opi mtu
[00:37.18] Namuogopa mungu tu
[00:39.30] Na sijali lolote
[00:41.94] Namuogopa mungu tu
[00:44.80] Na siog opi mtu
[00:47.47] Namuogopa mungu tu
[00:50.06] Na sijali lolote
[00:53.17] Namuogopa mungu tu
[00:55.47] Hizi shida zangu, zinanitosha
[01:00.13] Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
[01:06.60] Hizi shida zangu, zinanitosha
[01:12.13] Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
[01:29.50] Walishapiga na story niko hoi
[01:32.92] Siponi tena
[01:35.03] Wakaapa sitoboi sitoboi sitoboi tena
[01:40.44] Si walisema hayatopita
[01:42.94] Leo mungu kawanyamazisha
[01:46.01] Wakapanga mpaka vita
[01:48.66] Katikati yao nikapita
[01:51.48] Na siogopi mtu
[01:54.56] Namuogopa mungu tu
[01:57.39] Na sijali lolote
[02:00.17] Namuogopa mungu tu
[02:02.65] Nasiogopi mtu
[02:06.68] Namuogopa mungu tu
[02:08.65] Na sijali lolote
[02:11.12] Namuogopa mungu tu
[02:13.62] Hizi shida zangu, zinanitosha
[02:19.08] Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
[02:24.37] Hizi shida zangu, zinanitosha
[02:30.14] Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
[02:35.96] Hizi shida zangu, zinanitosha
[02:41.25] Sitaki matatizo, Sitaki matatizo
[02:47.04] Hizi shida zangu, zinanitosha
[02:52.50] Sitaki matatizo
[02:53.26]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings