Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mi Nawe (feat. Marioo)

๐Ÿ‘ค Mocco Genius โ€ข ๐ŸŽผ Mi Nawe (feat. Marioo) โ€ข โฑ๏ธ 2:41
๐ŸŽต 915 characters
โฑ๏ธ 2:41 duration
๐Ÿ†” ID: 11152192

๐Ÿ“œ Lyrics

Mmmh
Maujaaah
Mocco

Aah mon bebeeeh
Aah mon bebeeeh
Nimetosheka nimeridhika na weeeh
Aah mon bebeeeh
I'm already eh
I'm already
Umeniteka umenishika I swear
Aah mon bebe
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaa
Maana mzuri sana
Tena twaendanaaa

Washa nifata mi nikawakataa
Washakufata we ukawakataa

Mmmh
Milele mi na weeeh
Mi naaaah
Milele mi na weeeh
Mi na weeeh
Forever mi na we
Mi naaaah
Milele mi na weeeh
Mi na weeeh
KOMPAAAAH

Oyeea
Leo nakemea mapepo
Ya kutamanitamani vihela vyao
Nakemea pepo
Ya kutamanitamani vishepu vyao
Mara ngapi baby
Mi nalia unanibembeleza we mwenyewe
Unalia nakubembeleza mi mwenyewe
Wao hawajui watuache
Tafadhali my wangu nipunguzie utamu
Taratibu my wangu ooh nipunguzie utamu

Washa nifata mi nikawakataa
Washakufata we ukawakataa

Milele mi na weeeh
Mi naaaah
Milele mi na weeeh
Mi na weeeh
Mpaka kufa mi na we
Mi naaaah
Oooh na weeeh
Mi na weeeh(ohh yeah)
KOMPAAAAH

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.81] Mmmh
[00:04.54] Maujaaah
[00:08.32] Mocco
[00:11.27] Aah mon bebeeeh
[00:13.71] Aah mon bebeeeh
[00:16.35] Nimetosheka nimeridhika na weeeh
[00:19.89] Aah mon bebeeeh
[00:22.03] I'm already eh
[00:24.89] I'm already
[00:27.35] Umeniteka umenishika I swear
[00:30.86] Aah mon bebe
[00:32.51] Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
[00:35.48] Nikikutazamaaa
[00:37.87] Maana mzuri sana
[00:40.79] Tena twaendanaaa
[00:43.11] Washa nifata mi nikawakataa
[00:48.10] Washakufata we ukawakataa
[00:53.12] Mmmh
[00:54.69] Milele mi na weeeh
[00:56.36] Mi naaaah
[00:57.12] Milele mi na weeeh
[00:58.93] Mi na weeeh
[00:59.85] Forever mi na we
[01:01.20] Mi naaaah
[01:02.31] Milele mi na weeeh
[01:04.14] Mi na weeeh
[01:05.20] KOMPAAAAH
[01:07.85]
[01:14.84] Oyeea
[01:16.12] Leo nakemea mapepo
[01:18.17] Ya kutamanitamani vihela vyao
[01:21.31] Nakemea pepo
[01:23.53] Ya kutamanitamani vishepu vyao
[01:27.02] Mara ngapi baby
[01:29.33] Mi nalia unanibembeleza we mwenyewe
[01:33.91] Unalia nakubembeleza mi mwenyewe
[01:39.64] Wao hawajui watuache
[01:43.38] Tafadhali my wangu nipunguzie utamu
[01:48.40] Taratibu my wangu ooh nipunguzie utamu
[01:53.58] Washa nifata mi nikawakataa
[01:59.08] Washakufata we ukawakataa
[02:04.55] Milele mi na weeeh
[02:06.44] Mi naaaah
[02:07.69] Milele mi na weeeh
[02:09.24] Mi na weeeh
[02:10.32] Mpaka kufa mi na we
[02:12.09] Mi naaaah
[02:13.15] Oooh na weeeh
[02:14.92] Mi na weeeh(ohh yeah)
[02:16.52] KOMPAAAAH
[02:16.94]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings