Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Sikuachi

๐Ÿ‘ค Mac Voice โ€ข ๐ŸŽผ Sikuachi โ€ข โฑ๏ธ 3:17
๐ŸŽต 1290 characters
โฑ๏ธ 3:17 duration
๐Ÿ†” ID: 11198097

๐Ÿ“œ Lyrics

Next Level Music

Tuturu-tututuru
Tuturu-tututuru
Tuturu-tututuruuu
(Sound boy)

Napenda ivyo vidimple ohh
Na zuri lako tabasamu
Kwanza uko simple ohhh
Kuwa nawe siishi hamu

Yametimia maandiko baby
Penzi letu sio haramu
Navimba nimepata jikooo
Mwenzenu nalishwa vitamu

Unapendeza ukilala
Nzuri yako color
Sifa kwa mama alo kuzaa
Mungu anahumba eeh
Nawe umeumbika aaah

Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby

Sikuachi

Acha iwaume roho

Sikuachi

Acha iwaume roho (acha iwaume roho)
Hmm mm

Kwanza naanzaje?
Kukuacha wewe baby naanzaje?
Nambie, naanzaje?
Kuwa mbali nawe baby naanzaje?
Wewe ni tabibu n'kiwa nawe napona
Sipepesi macho naona
Baby baby naona

Nakesha ka' popo kisa kulilinda penzi langu
Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu
Najua watanuna (hmmm) na hili litawachoma (hmm)
Ila bado watatuona, honey honey honeyyyy weee

Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we

Sikuachi (no siondoki kwako mmh)
Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah)
Sikuachi (baby sikuachi mazima)
Acha iwaume roho (yiih mmmm)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:08.16] Next Level Music
[00:10.24]
[00:20.75] Tuturu-tututuru
[00:23.44] Tuturu-tututuru
[00:26.10] Tuturu-tututuruuu
[00:28.96] (Sound boy)
[00:29.71] Napenda ivyo vidimple ohh
[00:32.48] Na zuri lako tabasamu
[00:34.83] Kwanza uko simple ohhh
[00:37.88] Kuwa nawe siishi hamu
[00:39.61] Yametimia maandiko baby
[00:42.94] Penzi letu sio haramu
[00:44.62] Navimba nimepata jikooo
[00:47.71] Mwenzenu nalishwa vitamu
[00:49.86] Unapendeza ukilala
[00:51.76] Nzuri yako color
[00:53.05] Sifa kwa mama alo kuzaa
[00:55.51] Mungu anahumba eeh
[00:58.27] Nawe umeumbika aaah
[01:00.92] Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
[01:05.99] Unanifariji mama, nikiwa nauzuni
[01:10.73] Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
[01:16.42] Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby
[01:21.67] Sikuachi
[01:26.59] Acha iwaume roho
[01:28.68]
[01:31.90] Sikuachi
[01:36.71] Acha iwaume roho (acha iwaume roho)
[01:39.72] Hmm mm
[01:42.12] Kwanza naanzaje?
[01:43.90] Kukuacha wewe baby naanzaje?
[01:47.09] Nambie, naanzaje?
[01:49.16] Kuwa mbali nawe baby naanzaje?
[01:52.26] Wewe ni tabibu n'kiwa nawe napona
[01:56.14] Sipepesi macho naona
[01:58.71] Baby baby naona
[02:02.37] Nakesha ka' popo kisa kulilinda penzi langu
[02:06.81] Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu
[02:12.63] Najua watanuna (hmmm) na hili litawachoma (hmm)
[02:18.24] Ila bado watatuona, honey honey honeyyyy weee
[02:23.34] Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe
[02:28.41] Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we
[02:33.25] Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
[02:38.98] Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we
[02:44.63] Sikuachi (no siondoki kwako mmh)
[02:49.16] Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah)
[02:54.55] Sikuachi (baby sikuachi mazima)
[02:59.49] Acha iwaume roho (yiih mmmm)
[03:15.62]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings