Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mwema

๐Ÿ‘ค Mercy Masika โ€ข ๐ŸŽผ Mwema โ€ข โฑ๏ธ 3:54
๐ŸŽต 1346 characters
โฑ๏ธ 3:54 duration
๐Ÿ†” ID: 11245172

๐Ÿ“œ Lyrics

Ohh wooih mmh
Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,

Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka,
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha,
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda,
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia,

Ilikugharimu, msalabani unifie,
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie,
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue,
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,
Acha niringe, umekuwa mwema kwangu,
Oh Yahweh, ooh kwangu,
Oh umenitendea, kwangu,

Acha niimbe siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Siwezi jizuia

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.02] Ohh wooih mmh
[00:11.26]
[00:20.02] Wako mwana ukamtuma, duniani,
[00:25.05] Kisa na maana, nipate uzima, jamani
[00:30.02] Wako mwana ukamtuma, duniani,
[00:35.06] Kisa na maana, nipate uzima, jamani
[00:41.00] Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
[00:46.09] Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
[00:52.05] Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
[00:56.08] Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
[01:01.09] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[01:07.05] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[01:11.04] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[01:17.04] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[01:23.04] Umekuwa mwema kwangu,
[01:25.70]
[01:33.04] Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka,
[01:39.08] Ukanipa tumaini, kwako nikajificha,
[01:43.04] Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda,
[01:48.01] Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia,
[01:55.07] Ilikugharimu, msalabani unifie,
[01:59.02] Hivo inanibidi, sifa nikuimbie,
[02:04.02] Wema wako niseme, ili na wengine wakujue,
[02:09.04] Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne,
[02:14.06] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[02:19.07] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[02:24.09] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[02:29.08] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[02:34.02] Umekuwa mwema kwangu,
[02:39.02] Acha niringe, umekuwa mwema kwangu,
[02:43.08] Oh Yahweh, ooh kwangu,
[02:48.08] Oh umenitendea, kwangu,
[02:53.00] Acha niimbe siwezi jizuia, kusema wako wema,
[03:01.00] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[03:06.06] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[03:11.03] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[03:16.06] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[03:21.02] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[03:26.05] Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
[03:31.05] Sio kama najigamba, umenitenda mema,
[03:37.08] Siwezi jizuia
[03:40.17]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings