Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Niokoe

๐Ÿ‘ค Obby Alpha โ€ข ๐ŸŽผ Obby Alpha Videos โ€ข โฑ๏ธ 4:40
๐ŸŽต 1557 characters
โฑ๏ธ 4:40 duration
๐Ÿ†” ID: 11311268

๐Ÿ“œ Lyrics

Aiyeah eh, aiyeah Baba
Welcome to the music surgery
Nimelia sana inatosha nimelalamika inatosha
Nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Nimelia sana inatosha nimelalamika inatosha
Nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Niokoe, niokoe, niokoe
Mungu wangu niokoe
Niokoe, niokoe, niokoe
Mungu wangu niokoe
Kama huu ni upepo wa machozi
Basi gharika la furaha yako lije
Na kama hii ni mvua ya huzuni
Basi we uwe mwamvuli wangu
Na kama hii ndio maana ya ukame
Haya machungu unajua mwenyewe
Nisaidie mwanao nipone
Msaada wangu ni wewe pekee
Ni mnyonge
Ni mnyonge (uniponye)
Ni mnyonge (baba we)
Mungu wangu nisaidie
Ni mnyonge (ni mnyonge)
Ni mnyonge
Ni mnyonge
Mungu wangu nisaidie
Nimelia sana inatosha nimelalamika inatosha
Nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Nimelia sana inatosha nimelalamika inatosha
Nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Niokoe, niokoe, niokoe
Mungu wangu niokoe
Niokoe, niokoe, niokoe
Mungu wangu niokoe
Nimeshajaribu kupapasa
Kutafuta faraja kwingine
Ila kote huko nimeshindwa
Faraja yangu ni wewe pekee
Nimeshazunguka kwa waganga
Na matibabu kote nimefika
Ila kote huko nimeshindwa
Faraja yangu ni wewe pekee
Uwe tiba (tiiba)
Uwe tiba (niokoe)
Uwe tiba
Mungu wangu niokoe
Uwe tiba (tiiba)
Uwe tiba (uwe tiba)
Uwe tiba
Mungu wangu niokoe
Nimelia sana inatosha nimelalamika inatosha
Nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Nimelia sana inatosha nimelalamika inatosha
Nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Niokoe Niokoe Niokoe
Mungu wangu Niokoe
Niokoe Niokoe Niokoe
Mungu wangu Niokoe
Aiyeah eh, aiyeah eh, aiyeah baba mm-mm

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings