Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Upendo

๐Ÿ‘ค Pillars of Faith Ministers โ€ข ๐ŸŽผ Fondogoo โ€ข โฑ๏ธ 4:51
๐ŸŽต 2067 characters
โฑ๏ธ 4:51 duration
๐Ÿ†” ID: 11474845

๐Ÿ“œ Lyrics

Mbona chuki kati ya waumini, wapi upendo upendo ule wa kwanza
Kwa nini sasa tuwe na utengano, ikiwa tumeokolewa kwa neema
Tutaketi japa moja na Mungu, aliye mtoa mwana wake wa pekee
Wapenzi ninawasihi tupendane ikiwa tu watoto wa Mungu

Upendo huvumilia haujivunii, haukosi kuwa na adabu
Hautafuti mambo yake kamwe, tena hufurahii udhalimu
Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo

Eeh Mungu wewe ni nguvu yetu ilete baraka kwetu sisi wana wako
Haki yako iwe ni nguvu yetu, uwe faraja yetu hata kwa machungu
Upendo na amani tujazie, undugu uzidi uhasama na kisasi
Mbona majirani tunapigana tufunze upendo tukakumbatiane

Ikiwa tuna upendo tu wake Mungu, wapenzi tutafte upendo wQa

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings