Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mdananda (feat. Tunda Man & Dully Sykes)

๐Ÿ‘ค Shetta โ€ข ๐ŸŽผ Mdananda โ€ข โฑ๏ธ 3:38
๐ŸŽต 2509 characters
โฑ๏ธ 3:38 duration
๐Ÿ†” ID: 11565858

๐Ÿ“œ Lyrics

Dhahabu records (yeah iih yeah hii)
Records (ha aah haa aah)
Hiye eeh eeh eeh

Nimeamini apangalo mola
Huwezi pangua yeye ndiye anaejua
Yaani ningejua jinsi alivyokuwa
Nisinge jisumbua kumchukua

Ubaya sitaki (twende)
Dhihaki (kweli)
Si rafiki (ubaya sitaki)
Nasema sitaki (sitaki), kubaki
Mnafiki, rafiki gani mdananda

Anapenda ku-bang
Hanakazi huyu jamaa
Na mastaa kadhaa
Wenye jina ndani ya Dar

Si nikajaa mi mzawa wa Dar
Nikaachwa kwenye mataa
Nashaanga na maseke nimezidiwa mang'aa
Mashaka yalikuwa kando (ahaa)

Nilihisi mchizi bonge la mwana (haaa)
Kumbe mgambo
Vitani hawezi kushika zana
Aah! Kweli kufa kufaana

Nimeamini ya leo sio ya jana
(Kweli ya leo sio...)
Vizuri kufa na ujana
Ila life ya Dunia ni tamu sana

Hizo sekunde na dakika
Bora ningerudi nyuma
Niwe bonge la bitozi
Hata salamu ningeuchuna

Mbio zimegonga ukuta
Kusanuka kisha nuka
Na matuta nimeruka nimeanguka
Siwezi tena nyanyuka

Ata ata shabaa
Alinitonya wewe ni rafiki Bar
Nikapuuza kwa kujawa na mzaa wa kitaa
Ghetto la dastamina pia nikalikataa
Nilihisi kama nabanwa (kweli nilitoswa...)

Wewe niliyekulea ukiumia nafeel pain
Mtetezi juu yako kama jeshi la UN
Ulidaiwa sikusita kukulipia madeni
Leo iweje uniingize mkengeni

Nimeamini apangalo mola
Huwezi pangua yeye ndiye anayejua
Ningejua jinsi alivyo kuwa
Nisingejisumbua kumchukua

Ubaya sitaki (twende)
Dhihaki (wee) si rafiki
Ubaya sitaki
Nasema sitaki ubaki
Mnafiki, rafiki gani mdananda?

Nilikuwa ndani ya ghetto
Na settle mipango ya kesho
Mara ring ring, kucheki alikuwa mwana
Story ilikuwa hivi nanukuu michapo

Mwanangu sio siri unazari la mentally
Kuna binti mtaa wa pili anadai anakukubali
Anasema nyimbo zako unajua panga mistari
Tajiri hatari wacha tuchume mali

Isitoshe anafiga matata hana dosari
Leo leo ukienda atakuhonga hata gari
Kifupi sijajivunga na pozi zilikimbia
Ulofa nilionao mnyamwezi nikajitupia
Upendo kasi kama goli la First

Tuliishi kwenye bangalo
Sio nyumba za guest
Shida nilishinda hata kwa manji navimba
Kumbe nimepewa goma limepigwa sindimba
Yule dada ni muathirika nilitumika bila kinga
Na mchizi alishajua na potimba nachinjwa

Hee, hee, heee
Heee heee hee
Nimeamini apangalo mola
Hawezi pangua yeye ndiye naejua
Ningejua jinsi alivyo kuwa
Nisingejisumbua kumchukua

Ubaya sitaki (twende)
Dhihaki (heee ehe) si rafiki
Ubaya sitaki
Nasema sitaki (sitaki) ubaki
Unafiki, rafiki gani mdananda

Mamamamamma
Nisingejisumbua kabisa
Yeah eeh eeh
Demu hafai iiih

Dastamina aaeeeeh
Dastamina, dastamina
Demu hafai

Dastamina

Eeh demu hafai

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.90] Dhahabu records (yeah iih yeah hii)
[00:03.08] Records (ha aah haa aah)
[00:06.28] Hiye eeh eeh eeh
[00:08.45] Nimeamini apangalo mola
[00:10.14] Huwezi pangua yeye ndiye anaejua
[00:13.19] Yaani ningejua jinsi alivyokuwa
[00:15.14] Nisinge jisumbua kumchukua
[00:17.51] Ubaya sitaki (twende)
[00:19.49] Dhihaki (kweli)
[00:20.15] Si rafiki (ubaya sitaki)
[00:22.42] Nasema sitaki (sitaki), kubaki
[00:24.22] Mnafiki, rafiki gani mdananda
[00:27.44] Anapenda ku-bang
[00:28.18] Hanakazi huyu jamaa
[00:29.34] Na mastaa kadhaa
[00:31.08] Wenye jina ndani ya Dar
[00:31.54] Si nikajaa mi mzawa wa Dar
[00:33.94] Nikaachwa kwenye mataa
[00:35.79] Nashaanga na maseke nimezidiwa mang'aa
[00:37.29] Mashaka yalikuwa kando (ahaa)
[00:40.05] Nilihisi mchizi bonge la mwana (haaa)
[00:41.84] Kumbe mgambo
[00:43.91] Vitani hawezi kushika zana
[00:45.93] Aah! Kweli kufa kufaana
[00:48.06] Nimeamini ya leo sio ya jana
[00:50.25] (Kweli ya leo sio...)
[00:51.55] Vizuri kufa na ujana
[00:53.30] Ila life ya Dunia ni tamu sana
[00:55.16] Hizo sekunde na dakika
[00:55.70] Bora ningerudi nyuma
[00:57.59] Niwe bonge la bitozi
[00:58.46] Hata salamu ningeuchuna
[00:59.48] Mbio zimegonga ukuta
[01:00.77] Kusanuka kisha nuka
[01:01.92] Na matuta nimeruka nimeanguka
[01:03.52] Siwezi tena nyanyuka
[01:05.17] Ata ata shabaa
[01:07.26] Alinitonya wewe ni rafiki Bar
[01:08.94] Nikapuuza kwa kujawa na mzaa wa kitaa
[01:10.76] Ghetto la dastamina pia nikalikataa
[01:13.32] Nilihisi kama nabanwa (kweli nilitoswa...)
[01:15.96] Wewe niliyekulea ukiumia nafeel pain
[01:17.88] Mtetezi juu yako kama jeshi la UN
[01:20.27] Ulidaiwa sikusita kukulipia madeni
[01:22.65] Leo iweje uniingize mkengeni
[01:24.93] Nimeamini apangalo mola
[01:26.54] Huwezi pangua yeye ndiye anayejua
[01:28.90] Ningejua jinsi alivyo kuwa
[01:31.88] Nisingejisumbua kumchukua
[01:33.84] Ubaya sitaki (twende)
[01:35.99] Dhihaki (wee) si rafiki
[01:37.23] Ubaya sitaki
[01:38.68] Nasema sitaki ubaki
[01:40.71] Mnafiki, rafiki gani mdananda?
[01:43.36] Nilikuwa ndani ya ghetto
[01:45.15] Na settle mipango ya kesho
[01:46.06] Mara ring ring, kucheki alikuwa mwana
[01:48.82] Story ilikuwa hivi nanukuu michapo
[01:50.65] Mwanangu sio siri unazari la mentally
[01:53.03] Kuna binti mtaa wa pili anadai anakukubali
[01:55.32] Anasema nyimbo zako unajua panga mistari
[01:57.84] Tajiri hatari wacha tuchume mali
[02:00.40] Isitoshe anafiga matata hana dosari
[02:02.40] Leo leo ukienda atakuhonga hata gari
[02:04.11] Kifupi sijajivunga na pozi zilikimbia
[02:07.62] Ulofa nilionao mnyamwezi nikajitupia
[02:09.53] Upendo kasi kama goli la First
[02:12.19] Tuliishi kwenye bangalo
[02:13.18] Sio nyumba za guest
[02:14.57] Shida nilishinda hata kwa manji navimba
[02:16.35] Kumbe nimepewa goma limepigwa sindimba
[02:18.50] Yule dada ni muathirika nilitumika bila kinga
[02:20.63] Na mchizi alishajua na potimba nachinjwa
[02:23.04] Hee, hee, heee
[02:26.16] Heee heee hee
[02:29.59] Nimeamini apangalo mola
[02:31.48] Hawezi pangua yeye ndiye naejua
[02:33.70] Ningejua jinsi alivyo kuwa
[02:36.49] Nisingejisumbua kumchukua
[02:39.06] Ubaya sitaki (twende)
[02:40.54] Dhihaki (heee ehe) si rafiki
[02:42.40] Ubaya sitaki
[02:43.79] Nasema sitaki (sitaki) ubaki
[02:45.33] Unafiki, rafiki gani mdananda
[02:51.70] Mamamamamma
[02:55.56] Nisingejisumbua kabisa
[02:59.69] Yeah eeh eeh
[03:04.17] Demu hafai iiih
[03:09.19] Dastamina aaeeeeh
[03:11.84] Dastamina, dastamina
[03:15.80] Demu hafai
[03:20.01] Dastamina
[03:21.99]
[03:33.59] Eeh demu hafai
[03:36.51]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings