Handsome
๐ต 1486 characters
โฑ๏ธ 2:56 duration
๐ ID: 11850638
๐ Lyrics
Yaah, say
Naitwa mangi
Onana eeh
Handsome, handsome oyeah
Handsome, handsome
Kwanza sina makuu
Sura inajieleza, na
Sibagui nguo vyoyote napendeza, hao
Madada duu wanatokwa udenda, mm na
Nikifika tu wanajisogeza
Na sio salio, naongwa hadi mikoko
Mamiloo midundo wanaleta shobo
Eti dadio Dubai kuna party
Njoo, sina hizo buyu nala bati joh
Madada wanajikweza
Waje ishi na mie eee
Wanajikweza ah waje ishi na mie ee
Call me
Handsome handsome handsome
Handsome handsome handsome
Handsome handsome handsome
Okey
Nasifika kwa mapenzi na mademu
Kila kona sasa wananita handsome
Nasifika kwa mapenzi na mademu
Kila kona sasa wananiita handsome
Yeah
Taarifa za mimamam nazipata, za vibinti nazipata
Sio kuhongwa nilishapelekwa dubai kula bata
Na ticketi zikakatwa kil akitu bila shaka
Sura mabaya ni kitambo wewe sasa hivi nishajipata
Puya ka nimeoga manukato
Pua yangu ikitokeza wanagongesha macho
Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho
Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyato
Fake smile unaweza sema natafuta kumbato
Pisi kali huna kibunda utakula kwa macho
Kwenye pesa kuna raha sileti minato
Pelekea sana moto wakapeane michapo
Na ndiyo sababu sina demu misala haiishi kutongozwa na mashemu
Birthday kila mwaka zawadi kemkem
Mpaka namwagika pesa kama chem chem
Dm nyingi nachanyikiwa sifa zote ni kwa Mungu nimebarikwa
Sura bango imetakata ka'naogea maziwa
Watu wengine Wanagombewa
Mimi napapatikiwa umesikia
Handsome handsome handsome
Handsome handsome handsome
Handsome handsome

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:01.17] Yaah, say
[00:03.87] Naitwa mangi
[00:05.66] Onana eeh
[00:09.82] Handsome, handsome oyeah
[00:14.81] Handsome, handsome
[00:18.75] Kwanza sina makuu
[00:20.94] Sura inajieleza, na
[00:24.48] Sibagui nguo vyoyote napendeza, hao
[00:29.15] Madada duu wanatokwa udenda, mm na
[00:34.09] Nikifika tu wanajisogeza
[00:37.22] Na sio salio, naongwa hadi mikoko
[00:40.98] Mamiloo midundo wanaleta shobo
[00:43.33] Eti dadio Dubai kuna party
[00:45.78] Njoo, sina hizo buyu nala bati joh
[00:48.15] Madada wanajikweza
[00:50.23] Waje ishi na mie eee
[00:52.67] Wanajikweza ah waje ishi na mie ee
[00:57.17] Call me
[00:58.65] Handsome handsome handsome
[01:04.56] Handsome handsome handsome
[01:11.66] Handsome handsome handsome
[01:16.96] Okey
[01:17.96] Nasifika kwa mapenzi na mademu
[01:19.72] Kila kona sasa wananita handsome
[01:22.79] Nasifika kwa mapenzi na mademu
[01:24.83] Kila kona sasa wananiita handsome
[01:26.15] Yeah
[01:27.44] Taarifa za mimamam nazipata, za vibinti nazipata
[01:29.98] Sio kuhongwa nilishapelekwa dubai kula bata
[01:32.33] Na ticketi zikakatwa kil akitu bila shaka
[01:35.02] Sura mabaya ni kitambo wewe sasa hivi nishajipata
[01:37.94] Puya ka nimeoga manukato
[01:40.30] Pua yangu ikitokeza wanagongesha macho
[01:42.48] Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho
[01:44.57] Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyato
[01:47.22] Fake smile unaweza sema natafuta kumbato
[01:49.33] Pisi kali huna kibunda utakula kwa macho
[01:52.02] Kwenye pesa kuna raha sileti minato
[01:54.71] Pelekea sana moto wakapeane michapo
[01:57.19] Na ndiyo sababu sina demu misala haiishi kutongozwa na mashemu
[02:01.21] Birthday kila mwaka zawadi kemkem
[02:03.93] Mpaka namwagika pesa kama chem chem
[02:07.07] Dm nyingi nachanyikiwa sifa zote ni kwa Mungu nimebarikwa
[02:11.05] Sura bango imetakata ka'naogea maziwa
[02:13.52] Watu wengine Wanagombewa
[02:14.92] Mimi napapatikiwa umesikia
[02:17.08] Handsome handsome handsome
[02:22.89] Handsome handsome handsome
[02:28.11] Handsome handsome
[02:36.13]