Muziki
๐ต 1739 characters
โฑ๏ธ 2:59 duration
๐ ID: 11918895
๐ Lyrics
Rudi utotoni, Usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite mbwana samatta
Wanaopta mapembe waongezee Mkia
Na ukinibip tu nakupigia, and let me make one thing clear
Bla Blah Blah Sitaki kusikia
Sio simba, sio chui sio mamba
Ngozi yangu inatosha kujigamba
Na sina maneno ya kwenye Kanga
Kazi juu ya kazi yani bamba to bamba
Ukizaa unaweza kuzaa kizaa zaa
Sinzia na fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za Kitanda
Si bado tuko macho mida ya wanga
Funga mkanda, kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba, pasua anga,
Tunasemaga chambua kama karanga
Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki,
Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
Safari na muziki acha maneno weka muziki
Beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.
Bambataa, shika kamata, rhumba sakata, Kaboka mchizi shadata nshadata aaah
Unataka kukimbia na hauna brake, what do you Expect
Bongo,Congo au Thabo Mbeki
Cheza Lokasa ya Bongo huwezi kumake
Waache wa self usije ukaji Confuse
Mzuka wa kuruka Raggae kwenye Blues
Una mchuzii no excuse, maisha ya ghetto kila siku kama Movie
Vitu vingine havitakagi ujuaji
Utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi
Kumwelewesha chizi utajipa kazi
Funga mkanda, kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba, pasua anga

Safari na muziki acha maneno weka muziki,

Wanatamani tupotee kwenye Map,
Tunapeleka Ghetto to the To Top
As I Told You that we don't stop,
We dont stop

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:06.03] Rudi utotoni, Usipotembea utabebwa mgongoni
[00:10.20] 255 champion boy niite mbwana samatta
[00:23.14] Wanaopta mapembe waongezee Mkia
[00:26.02] Na ukinibip tu nakupigia, and let me make one thing clear
[00:30.11] Bla Blah Blah Sitaki kusikia
[00:32.22] Sio simba, sio chui sio mamba
[00:34.25] Ngozi yangu inatosha kujigamba
[00:36.25] Na sina maneno ya kwenye Kanga
[00:38.28] Kazi juu ya kazi yani bamba to bamba
[00:42.00] Ukizaa unaweza kuzaa kizaa zaa
[00:44.01] Sinzia na fegi uchome kibanda
[00:46.09] Kalale uote ndoto zako za Kitanda
[00:48.17] Si bado tuko macho mida ya wanga
[00:51.01] Funga mkanda, kaza na kamba
[00:53.04] Ama ufate nyayo uchane msamba
[00:55.12] Pasua miamba, pasua anga,
[00:57.19] Tunasemaga chambua kama karanga
[01:00.29] Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki,
[01:05.12] Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
[01:10.01] Safari na muziki acha maneno weka muziki
[01:14.17] Beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.
[01:17.25] Bambataa, shika kamata, rhumba sakata, Kaboka mchizi shadata nshadata aaah
[01:27.13] Unataka kukimbia na hauna brake, what do you Expect
[01:32.04] Bongo,Congo au Thabo Mbeki
[01:34.08] Cheza Lokasa ya Bongo huwezi kumake
[01:36.17] Waache wa self usije ukaji Confuse
[01:38.25] Mzuka wa kuruka Raggae kwenye Blues
[01:41.04] Una mchuzii no excuse, maisha ya ghetto kila siku kama Movie
[01:45.26] Vitu vingine havitakagi ujuaji
[01:47.29] Utajikuta unatandikia watu jamvi
[01:50.08] Kusubiria embe chini ya mnazi
[01:52.17] Kumwelewesha chizi utajipa kazi
[01:54.29] Funga mkanda, kaza na kamba
[01:57.04] Ama ufate nyayo uchane msamba
[01:59.11] Pasua miamba, pasua anga
[02:01.24] Tunasemaga chambua kama karanga
[02:04.28] Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki,
[02:09.15] Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
[02:13.27] Safari na muziki acha maneno weka muziki,
[02:18.18] Beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.
[02:22.10] Wanatamani tupotee kwenye Map,
[02:24.17] Tunapeleka Ghetto to the To Top
[02:26.27] As I Told You that we don't stop,
[02:29.14] We dont stop
[02:31.17] Wanatamani tupotee kwenye Map,
[02:33.18] Tunapeleka Ghetto to the To Top
[02:35.29] As I Told You that we don't stop,
[02:38.11] We dont stop