Nibusu
๐ต 1810 characters
โฑ๏ธ 3:38 duration
๐ ID: 11923548
๐ Lyrics
Uuh-uuh, uuh-uuh, uuh-uuh
(Majorkizy baby)
Ningeamuru nyota na mbalamwezi zimulike mchana
Ili watu waone vile tunapendana
Baby ajali ya mapenzi mioyo imegongana
Na sitaki nipone nife unizike mama
Mi ndege wako nitarejea niruke niende wapi
Kama kitanda kitalegea tushuke kwenye busati
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Ooh, mchuchu (hadharani)
Nimekunywea alkasusu (hadharani)
Kwako nimezama penzi nipatie mazima
Jeuri sina haki nitafia madina
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Mmh, nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
Nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu (hadharani)
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu mpenzi (hadharani)
Habibi usingizi ndo kitu nakosa mpenzi
Na nikikosa ile kitu ndo kabisa silali mpenzi
(Nazidiwa, aah)
Nusu kaputi, nusu mgonjwa najifia baby
Na sindano yako ndo yanitosha kunitibu yangu maradhi
Kama mende niko chali
Penzi kalikata na kisu kikali (mtoto)
Upepo wa bahari
Anitulizaga najikutaga mbali (kiboko)
Na ulivyo mtamu kama pipi
Sijui nikufananishe na nani
Ya kumung'unya ya kijiti
Kwa kuitaja mate mdomoni
Sweet like my hot green tea
Mama, you're looking sexy tonight
I been about her sweet ting ting
And she knows that what I touch is mine
Yammi niko hoi baby
Kwako nimezama penzi nipatie mazima (mazima)
Jeuri sina haki nitafia madina (madina)
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Nimumu hadharani
Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Ooh, mchuchu (hadharani)
Nimekunywea alkasusu (hadharani)
(Talk to me boy) ka' naota tu haniishi akilini
(Uuh, baby) kama naota sijui kwa nini
Kama naota tu huniishi akilini baby
Kama naota tu umenipa nini
(Kamix Lizer)

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:00.09] Uuh-uuh, uuh-uuh, uuh-uuh
[00:07.77] (Majorkizy baby)
[00:09.95] Ningeamuru nyota na mbalamwezi zimulike mchana
[00:15.28] Ili watu waone vile tunapendana
[00:20.05] Baby ajali ya mapenzi mioyo imegongana
[00:25.12] Na sitaki nipone nife unizike mama
[00:31.02] Mi ndege wako nitarejea niruke niende wapi
[00:36.19] Kama kitanda kitalegea tushuke kwenye busati
[00:40.68] Nibusu (hadharani)
[00:42.64] Nami nikubusu (hadharani)
[00:44.56] Ooh, mchuchu (hadharani)
[00:47.35] Nimekunywea alkasusu (hadharani)
[00:51.84] Kwako nimezama penzi nipatie mazima
[00:56.60] Jeuri sina haki nitafia madina
[01:01.86] Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
[01:06.81] Nilisema napita mwishoe nimezama
[01:11.08] Nibusu (hadharani)
[01:13.63] Nami nikubusu (hadharani)
[01:15.88] Mmh, nimumu (hadharani)
[01:18.11] Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
[01:21.24] Nimumu (hadharani)
[01:23.52] Nami nikuchumu (hadharani)
[01:26.01] Nibusu (hadharani)
[01:28.26] Nami nikubusu mpenzi (hadharani)
[01:31.36] Habibi usingizi ndo kitu nakosa mpenzi
[01:35.55] Na nikikosa ile kitu ndo kabisa silali mpenzi
[01:40.61] (Nazidiwa, aah)
[01:42.07] Nusu kaputi, nusu mgonjwa najifia baby
[01:46.82] Na sindano yako ndo yanitosha kunitibu yangu maradhi
[01:51.19] Kama mende niko chali
[01:52.53] Penzi kalikata na kisu kikali (mtoto)
[01:55.92] Upepo wa bahari
[01:57.67] Anitulizaga najikutaga mbali (kiboko)
[02:01.09] Na ulivyo mtamu kama pipi
[02:02.90] Sijui nikufananishe na nani
[02:06.11] Ya kumung'unya ya kijiti
[02:08.32] Kwa kuitaja mate mdomoni
[02:11.12] Sweet like my hot green tea
[02:13.11] Mama, you're looking sexy tonight
[02:16.39] I been about her sweet ting ting
[02:18.56] And she knows that what I touch is mine
[02:21.36] Yammi niko hoi baby
[02:23.04] Kwako nimezama penzi nipatie mazima (mazima)
[02:28.61] Jeuri sina haki nitafia madina (madina)
[02:33.77] Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
[02:38.71] Nilisema napita mwishoe nimezama
[02:43.02] Nibusu (hadharani)
[02:45.24] Nami nikubusu (hadharani)
[02:47.74] Nimumu hadharani
[02:50.31] Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
[02:52.85] Nibusu (hadharani)
[02:55.48] Nami nikubusu (hadharani)
[02:57.93] Ooh, mchuchu (hadharani)
[03:00.26] Nimekunywea alkasusu (hadharani)
[03:03.35] (Talk to me boy) ka' naota tu haniishi akilini
[03:08.79] (Uuh, baby) kama naota sijui kwa nini
[03:14.62] Kama naota tu huniishi akilini baby
[03:20.36] Kama naota tu umenipa nini
[03:32.17] (Kamix Lizer)
[03:34.15]