Mbosso - Umechelewa (Official Music Video)
๐ต 1247 characters
โฑ๏ธ 3:29 duration
๐ ID: 11944148
๐ Lyrics
Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
Ulikuwa wapi mbona umechelewa
Mbona umechelewa mbona umechelewa
Mbona umechelewa mbona umechelewa
Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi
Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi
Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa
Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha
Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha
Mbona Mbona umechelewa Mbona umechelewa
Kijiti eeeh kijiti ooh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti kimemtoboa
Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti
Kama midomo chongeo kachongeni penseli
Mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
Unataka embe dodo ya nini urushe kote
Tingisha mti kidogo chini utaziokota eeeh
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
Wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa
Kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
Uuuh mwafulani mwisho wako barazani
Mwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbani
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
Odo Odo wangu oooh Odo
Nikidondoka unibebe Odo Odoo Odo

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:12.76] Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
[00:17.62] Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
[00:22.69] Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
[00:27.83] Ulikuwa wapi mbona umechelewa
[00:33.05] Mbona umechelewa mbona umechelewa
[00:37.84] Mbona umechelewa mbona umechelewa
[00:42.88] Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi
[00:51.57]
[00:58.83] Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi
[01:04.02] Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
[01:09.64] Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa
[01:14.81] Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha
[01:20.08] Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha
[01:25.07] Mbona Mbona umechelewa Mbona umechelewa
[01:30.02] Kijiti eeeh kijiti ooh kijiti
[01:42.93]
[01:59.23] Kakishikashika kimemchoma kijiti kimemtoboa
[02:03.22] Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti
[02:08.93]
[02:11.12] Kama midomo chongeo kachongeni penseli
[02:14.89] Mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli
[02:18.81] Kijiti eeeh kijiti
[02:23.13] Kakishikashika kimemchoma kijiti
[02:27.27] Unataka embe dodo ya nini urushe kote
[02:31.25] Tingisha mti kidogo chini utaziokota eeeh
[02:35.42] Kijiti eeeh kijiti
[02:39.42] Kakishikashika kimemchoma kijiti
[02:43.69] Wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa
[02:47.89] Kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa
[02:52.00] Kijiti eeeh kijiti
[02:55.43] Kakishikashika kimemchoma kijiti
[02:59.56] Uuuh mwafulani mwisho wako barazani
[03:04.06] Mwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbani
[03:07.99] Kijiti eeeh kijiti
[03:11.82] Kakishikashika kimemchoma kijiti
[03:15.68] Odo Odo wangu oooh Odo
[03:19.58] Nikidondoka unibebe Odo Odoo Odo
[03:22.22]