Mbosso - Hodari ( Official Video Music )
๐ต 1487 characters
โฑ๏ธ 4:03 duration
๐ ID: 11944518
๐ Lyrics
Lalala lalala la la la
Lala la la la
Shombe shombe
Mtoto laini laini
Anawaka waka
Wanga wape vidonge
Nimebaini baini
Wana tapa tapa
Mi nawe mpaka kiama
Tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama
Na wasimame wima
Kamwe hawatopata mwanya
Habithi fitina
Wapike mabilinganya
Si tutoke dinner
Nalegea
Ukintazama yako macho
Yako macho
Nalegea
Ikigusana yangu na yako
Yangu na yako
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani, hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani, hodari
Hodari wa mapenzi
Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makirikiri
Kuniwasha ka pilipili
Fundi haswa amekithiri
Kunipa nilewe
Kwasa kwasa ndani bingiri
Za kukata saga kachiri
Nani haswa unafikiri
Kama si wewe
Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)
Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga)
Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
Nalegea
Ukintazama yako macho
Yako macho
Nalegea
Ikigusana yangu na yako
Yangu na yako
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kiueno kunengua, hodari
Hodari wa mapenzi
Bidu kujibidua, hodari
Hodari wa mapenzi
Wema Sepetu hodari
Hodari wa mapenzi
Uwoya hodari
Hodari wa mapenzi
Mama Cookie hodari
Hodari wa mapenzi
Mama Dangote, hodari
Hodari wa mapenzi
Jack Wolper, hodari
Hodari wa mapenzi
Zari Mama Tiffah, hodari
Hodari wa mapenzi
Esma Khan, hodari
Hodari wa mapenzi
Elizabeth Michael, hodari
Hodari wa mapenzi
Lala la la la
Shombe shombe
Mtoto laini laini
Anawaka waka
Wanga wape vidonge
Nimebaini baini
Wana tapa tapa
Mi nawe mpaka kiama
Tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama
Na wasimame wima
Kamwe hawatopata mwanya
Habithi fitina
Wapike mabilinganya
Si tutoke dinner
Nalegea
Ukintazama yako macho
Yako macho
Nalegea
Ikigusana yangu na yako
Yangu na yako
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani, hodari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani, hodari
Hodari wa mapenzi
Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makirikiri
Kuniwasha ka pilipili
Fundi haswa amekithiri
Kunipa nilewe
Kwasa kwasa ndani bingiri
Za kukata saga kachiri
Nani haswa unafikiri
Kama si wewe
Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)
Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga)
Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
Nalegea
Ukintazama yako macho
Yako macho
Nalegea
Ikigusana yangu na yako
Yangu na yako
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani hodari
Hodari wa mapenzi
Kiueno kunengua, hodari
Hodari wa mapenzi
Bidu kujibidua, hodari
Hodari wa mapenzi
Wema Sepetu hodari
Hodari wa mapenzi
Uwoya hodari
Hodari wa mapenzi
Mama Cookie hodari
Hodari wa mapenzi
Mama Dangote, hodari
Hodari wa mapenzi
Jack Wolper, hodari
Hodari wa mapenzi
Zari Mama Tiffah, hodari
Hodari wa mapenzi
Esma Khan, hodari
Hodari wa mapenzi
Elizabeth Michael, hodari
Hodari wa mapenzi
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:03.43] Lalala lalala la la la
[00:08.41] Lala la la la
[00:11.27] Shombe shombe
[00:12.39] Mtoto laini laini
[00:14.19] Anawaka waka
[00:19.89] Wanga wape vidonge
[00:21.82] Nimebaini baini
[00:23.73] Wana tapa tapa
[00:28.45]
[00:30.68] Mi nawe mpaka kiama
[00:33.75] Tuombe uzima
[00:36.14] Waroge kwa kuchutama
[00:37.90] Na wasimame wima
[00:40.69] Kamwe hawatopata mwanya
[00:42.82] Habithi fitina
[00:45.28] Wapike mabilinganya
[00:47.35] Si tutoke dinner
[00:50.12] Nalegea
[00:52.11] Ukintazama yako macho
[00:55.22] Yako macho
[00:59.49] Nalegea
[01:01.47] Ikigusana yangu na yako
[01:04.56] Yangu na yako
[01:08.64] Katoto hodari
[01:10.51] Hodari wa mapenzi
[01:13.25] Jamani hodari
[01:15.30] Hodari wa mapenzi
[01:17.58] Kwa michezo ya chumbani, hodari
[01:21.06] Hodari wa mapenzi
[01:22.78] Mtundu kitandani, hodari
[01:25.24] Hodari wa mapenzi
[01:27.84]
[01:37.38] Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
[01:42.52] Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
[01:47.05] Nisakata makirikiri
[01:49.56] Kuniwasha ka pilipili
[01:51.81] Fundi haswa amekithiri
[01:54.65] Kunipa nilewe
[01:56.65] Kwasa kwasa ndani bingiri
[01:58.83] Za kukata saga kachiri
[02:01.18] Nani haswa unafikiri
[02:03.44] Kama si wewe
[02:05.69] Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)
[02:09.83] Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
[02:14.84] Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga)
[02:19.58] Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
[02:24.35] Nalegea
[02:26.53] Ukintazama yako macho
[02:29.64] Yako macho
[02:33.28] Nalegea
[02:36.15] Ikigusana yangu na yako
[02:38.95] Yangu na yako
[02:42.98] Katoto hodari
[02:45.02] Hodari wa mapenzi
[02:47.51] Jamani hodari
[02:49.81] Hodari wa mapenzi
[02:51.54] Kiueno kunengua, hodari
[02:54.56] Hodari wa mapenzi
[02:56.22] Bidu kujibidua, hodari
[02:59.02] Hodari wa mapenzi
[03:01.48]
[03:10.63] Wema Sepetu hodari
[03:12.91] Hodari wa mapenzi
[03:15.47] Uwoya hodari
[03:17.82] Hodari wa mapenzi
[03:19.83] Mama Cookie hodari
[03:22.63] Hodari wa mapenzi
[03:24.68] Mama Dangote, hodari
[03:26.95] Hodari wa mapenzi
[03:29.09] Jack Wolper, hodari
[03:31.44] Hodari wa mapenzi
[03:33.79] Zari Mama Tiffah, hodari
[03:36.57] Hodari wa mapenzi
[03:39.08] Esma Khan, hodari
[03:41.68] Hodari wa mapenzi
[03:43.40] Elizabeth Michael, hodari
[03:45.83] Hodari wa mapenzi
[03:46.57]
[00:08.41] Lala la la la
[00:11.27] Shombe shombe
[00:12.39] Mtoto laini laini
[00:14.19] Anawaka waka
[00:19.89] Wanga wape vidonge
[00:21.82] Nimebaini baini
[00:23.73] Wana tapa tapa
[00:28.45]
[00:30.68] Mi nawe mpaka kiama
[00:33.75] Tuombe uzima
[00:36.14] Waroge kwa kuchutama
[00:37.90] Na wasimame wima
[00:40.69] Kamwe hawatopata mwanya
[00:42.82] Habithi fitina
[00:45.28] Wapike mabilinganya
[00:47.35] Si tutoke dinner
[00:50.12] Nalegea
[00:52.11] Ukintazama yako macho
[00:55.22] Yako macho
[00:59.49] Nalegea
[01:01.47] Ikigusana yangu na yako
[01:04.56] Yangu na yako
[01:08.64] Katoto hodari
[01:10.51] Hodari wa mapenzi
[01:13.25] Jamani hodari
[01:15.30] Hodari wa mapenzi
[01:17.58] Kwa michezo ya chumbani, hodari
[01:21.06] Hodari wa mapenzi
[01:22.78] Mtundu kitandani, hodari
[01:25.24] Hodari wa mapenzi
[01:27.84]
[01:37.38] Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
[01:42.52] Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
[01:47.05] Nisakata makirikiri
[01:49.56] Kuniwasha ka pilipili
[01:51.81] Fundi haswa amekithiri
[01:54.65] Kunipa nilewe
[01:56.65] Kwasa kwasa ndani bingiri
[01:58.83] Za kukata saga kachiri
[02:01.18] Nani haswa unafikiri
[02:03.44] Kama si wewe
[02:05.69] Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (vanga)
[02:09.83] Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)
[02:14.84] Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga)
[02:19.58] Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
[02:24.35] Nalegea
[02:26.53] Ukintazama yako macho
[02:29.64] Yako macho
[02:33.28] Nalegea
[02:36.15] Ikigusana yangu na yako
[02:38.95] Yangu na yako
[02:42.98] Katoto hodari
[02:45.02] Hodari wa mapenzi
[02:47.51] Jamani hodari
[02:49.81] Hodari wa mapenzi
[02:51.54] Kiueno kunengua, hodari
[02:54.56] Hodari wa mapenzi
[02:56.22] Bidu kujibidua, hodari
[02:59.02] Hodari wa mapenzi
[03:01.48]
[03:10.63] Wema Sepetu hodari
[03:12.91] Hodari wa mapenzi
[03:15.47] Uwoya hodari
[03:17.82] Hodari wa mapenzi
[03:19.83] Mama Cookie hodari
[03:22.63] Hodari wa mapenzi
[03:24.68] Mama Dangote, hodari
[03:26.95] Hodari wa mapenzi
[03:29.09] Jack Wolper, hodari
[03:31.44] Hodari wa mapenzi
[03:33.79] Zari Mama Tiffah, hodari
[03:36.57] Hodari wa mapenzi
[03:39.08] Esma Khan, hodari
[03:41.68] Hodari wa mapenzi
[03:43.40] Elizabeth Michael, hodari
[03:45.83] Hodari wa mapenzi
[03:46.57]