Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mbosso - Sina Nyota (Official Video)

๐Ÿ‘ค Mbosso โ€ข ๐ŸŽผ Mbosso Videos โ€ข โฑ๏ธ 4:14
๐ŸŽต 1587 characters
โฑ๏ธ 4:14 duration
๐Ÿ†” ID: 11944577

๐Ÿ“œ Lyrics

Mwenyewe anaona sawa
Ila mwambie mimi ananiumiza sana
Ni zaidi ya kupagawa
Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa

Aaaaah, aaahh

Na ajue bado nipo
Ila hali yangu hohehahe sina mabadiliko
Machozi mafuriko
Fundi wa jiko langu kaacha mawe
Mpaka akalamba mwiko

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Bado ndo ndo ndo chururu
Nikijaza hakijai kibaba
Na misongo songo msururu
Sita haikai saba

Mimi kitorondo we kunguru
Mbao zangu hazimpi msaada
Makombe nishaoga dawa ka susuru
Huenda akasahau labda

Kitandani mito ipo miwili
Ubavu wewe ubavu mimi
Pakata ndiko imewekwa shubiri
Nalikwepa nalala chini

Nimefuta picha
Tulizopiga chumbani
Ila bado zanisuta suta
Zimebaki kichwani

Silali nashtuka shtuka
Unaniita kizani
Chozi la niwesha shuka
Na sina wa kunifuta nani

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

(Wasafi)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:09.37] Mwenyewe anaona sawa
[00:11.67] Ila mwambie mimi ananiumiza sana
[00:14.42] Ni zaidi ya kupagawa
[00:16.02] Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa
[00:19.05] Aaaaah, aaahh
[00:28.94] Na ajue bado nipo
[00:30.68] Ila hali yangu hohehahe sina mabadiliko
[00:35.96] Machozi mafuriko
[00:40.40] Fundi wa jiko langu kaacha mawe
[00:43.22] Mpaka akalamba mwiko
[00:48.09] Toka alivyoniacha
[00:50.03] Sina nyota wala mwezi
[00:53.78] Mwenzake nimekamatwa
[00:55.35] Na homa ya mapenzi
[00:58.03] Toka alivyoniacha
[01:00.18] Sina nyota wala mwezi
[01:02.58] Mwenzake nimekamatwa
[01:04.86] Na homa ya mapenzi
[01:07.76] Mwili wote peteka
[01:08.97] Sina afadhali mawazo yanitesa
[01:12.26] Mavodabodeka ni ka misumari
[01:14.86] Naanza dhoofika
[01:17.03] Mwili wote peteka
[01:18.99] Sina afadhali mawazo yanitesa
[01:21.83] Mavodabodeka ni ka misumari
[01:24.95] Naanza dhoofika
[01:26.45]
[01:36.25] Bado ndo ndo ndo chururu
[01:38.38] Nikijaza hakijai kibaba
[01:40.83] Na misongo songo msururu
[01:42.92] Sita haikai saba
[01:45.54] Mimi kitorondo we kunguru
[01:47.50] Mbao zangu hazimpi msaada
[01:50.38] Makombe nishaoga dawa ka susuru
[01:52.77] Huenda akasahau labda
[01:55.12] Kitandani mito ipo miwili
[01:57.84] Ubavu wewe ubavu mimi
[02:00.73] Pakata ndiko imewekwa shubiri
[02:02.91] Nalikwepa nalala chini
[02:05.50] Nimefuta picha
[02:07.61] Tulizopiga chumbani
[02:09.93] Ila bado zanisuta suta
[02:11.97] Zimebaki kichwani
[02:14.35] Silali nashtuka shtuka
[02:16.83] Unaniita kizani
[02:19.23] Chozi la niwesha shuka
[02:21.39] Na sina wa kunifuta nani
[02:24.40] Toka alivyoniacha
[02:26.41] Sina nyota wala mwezi
[02:29.13] Mwenzake nimekamatwa
[02:31.06] Na homa ya mapenzi
[02:33.96] Toka alivyoniacha
[02:35.99] Sina nyota wala mwezi
[02:38.42] Mwenzake nimekamatwa
[02:40.78] Na homa ya mapenzi
[02:43.58] Mwili wote peteka
[02:45.06] Sina afadhali mawazo yanitesa
[02:48.13] Mavodabodeka ni ka misumari
[02:51.03] Naanza dhoofika
[02:53.25] Mwili wote peteka
[02:54.88] Sina afadhali mawazo yanitesa
[02:57.56] Mavodabodeka ni ka misumari
[03:00.39] Naanza dhoofika
[03:02.38]
[03:13.28] Toka alivyoniacha
[03:14.44] Sina nyota wala mwezi
[03:17.17] Mwenzake nimekamatwa
[03:18.81] Na homa ya mapenzi
[03:22.08] Toka alivyoniacha
[03:23.69] Sina nyota wala mwezi
[03:26.81] Mwenzake nimekamatwa
[03:28.37] Na homa ya mapenzi
[03:39.20] (Wasafi)
[04:09.35]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings