Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kosa

๐Ÿ‘ค Lody Music โ€ข ๐ŸŽผ Kosa โ€ข โฑ๏ธ 4:00
๐ŸŽต 997 characters
โฑ๏ธ 4:00 duration
๐Ÿ†” ID: 11992999

๐Ÿ“œ Lyrics

Sijapona donda ndugu limenishika
Penzi letu lilifeli
Uoooh mi si ndo umenikinai
Unasema sinogi tena
We huko tu unafurahi
Kilichoniponza wema
Nnavyofika sinai ndo maana hunitaki tena
Usitaje tu mabaya na mazuri yangu sema
Ibilisi kaingia Ibilisi kaleta dosari
Nakesha na Biblia
Kutwa naishika rozari
Unanifanya nalia mi dhoofu wa hali
Kipi nimekufanyia malipo yamekuwa
Ya shari
Kosa kosa langu kukupenda wewe
Kosa langu kukupenda wewe
Kosa langu kukupenda wewe
Kosa langu kukupenda wewe
Darubini yangu ilishinda kuona mbali
Ningejua nisingekuthamini
Maumivu yangu zaidi ya kugongwa tofali
Ungejua nilivyokuaminia
Ya Habibi niachie tunda langu
Wafaidi naumia peke yangu
Mashahidi hawako upande wangu
Na nazidi kuumiza moyo wangu
Mi si ndo umenikinai
Unasema sinogi tena
We huko tu unafurahi
Kilichoniponza wema
Nnavyofika sinai ndo maana hunitaki tena
Usitaje tu mabaya na mazuri yangu sema
Kosa kosa langu kukupenda wewe
Kosa langu kukupenda wewe
Kosa langu kukupenda wewe
Kosa langu kukupenda wewe

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings