Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Wewe Ni Zaidi

๐Ÿ‘ค Erick Smith โ€ข ๐ŸŽผ Wewe Ni Zaidi โ€ข โฑ๏ธ 5:20
๐ŸŽต 1386 characters
โฑ๏ธ 5:20 duration
๐Ÿ†” ID: 12031778

๐Ÿ“œ Lyrics

Mi nashangaa, Nikielewa
Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa
juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia,
Sauti zote, ninazosikia

Mi nashangaa, Nikielewa
Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa
juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia,
Sauti zote, ninazosikia

Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni
makuu
Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
Yale unasema baba (Tenda) Yote ni
kweli
Maana pia wayasema (ammhh) kwa
upendo

Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni
makuu
Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
Yale unasema baba (Tenda) Yote ni
kweli
Maana pia wayasema (ammhh) kwa
upendo

Nimejipata, ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru.

Nimejipata, ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru.

Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema, kwa upendo

Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo

Wewe ni Mungu mkuu,
Mfalme wa wafalme,
Muumba wa mbingu na nchi,
Heshima zote ni zako bwana,
Hakuna kama wewe

Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema, kwa upendo

Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema, kwa upendo

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.62] Mi nashangaa, Nikielewa
[00:16.64] Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa
[00:22.16] juu yako
[00:23.47] Tena sauti yako baba yanizidia,
[00:28.89] Sauti zote, ninazosikia
[00:37.78] Mi nashangaa, Nikielewa
[00:44.02] Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa
[00:49.02] juu yako
[00:50.08] Tena sauti yako baba yanizidia,
[00:56.38] Sauti zote, ninazosikia
[01:03.30] Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni
[01:07.50] makuu
[01:10.66] Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
[01:16.94] Yale unasema baba (Tenda) Yote ni
[01:21.16] kweli
[01:24.02] Maana pia wayasema (ammhh) kwa
[01:28.45] upendo
[01:31.05] Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni
[01:34.78] makuu
[01:37.87] Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
[01:41.56] Yale unasema baba (Tenda) Yote ni
[01:48.57] kweli
[01:51.76] Maana pia wayasema (ammhh) kwa
[01:55.32] upendo
[01:58.71] Nimejipata, ndani ya upendo wako,
[02:05.05] Umekua kwangu mapumziko
[02:11.84] Neema yako yanitosha,
[02:18.38] Nikiwa nawe mimi niko huru.
[02:24.85] Nimejipata, ndani ya upendo wako,
[02:32.99] Umekua kwangu mapumziko
[02:38.93] Neema yako yanitosha,
[02:42.18] Nikiwa nawe mimi niko huru.
[02:52.33] Yale umetenda baba Yote Ni makuu
[02:58.88] Maana wayatenda kwa upendo
[03:05.35] Yale unasema baba Yote ni kweli
[03:12.63] Maana pia wayasema, kwa upendo
[03:18.97] Yale umetenda baba Yote Ni makuu
[03:26.57] Maana wayatenda kwa upendo
[03:32.35] Yale unasema baba Yote ni kweli
[03:39.36] Maana pia wayasema kwa upendo
[03:48.46] Wewe ni Mungu mkuu,
[03:51.65] Mfalme wa wafalme,
[03:54.76] Muumba wa mbingu na nchi,
[03:57.82] Heshima zote ni zako bwana,
[04:03.19] Hakuna kama wewe
[04:20.03] Yale umetenda baba Yote Ni makuu
[04:26.35] Maana wayatenda kwa upendo
[04:32.84] Yale unasema baba Yote ni kweli
[04:39.68] Maana pia wayasema, kwa upendo
[04:46.23] Yale umetenda baba Yote Ni makuu
[04:53.72] Maana wayatenda kwa upendo
[04:59.75] Yale unasema baba Yote ni kweli
[05:06.50] Maana pia wayasema, kwa upendo
[05:12.38]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings