Maneno
๐ต 1496 characters
โฑ๏ธ 4:02 duration
๐ ID: 12046893
๐ Lyrics
ooh aah ooh aah aah eeeh
ooh aah ooh aah aah eeeh
ooh aah ooh aah aah eeeh
ooh aaaahh
Kila siku ninapoamka
Ninapoianza siku mpya
Namshukuru Mola kwa kunilinda
Nafasi nyingine nikapewa
Labda nikijituma
Na mi iko siku ataniletea
Na mi niwe na vyangu
niepuke ya walimwenguu
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Eeh eeh eeeh oooh
kukosa kitu leo sio tatizo
nikitafuta nitapata kesho
naamini Nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo
nikitafuta nitapasta kesho
naamini Nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia.
eeeeh eeh
hawajui kuhisi kwa upendo
ama ninafuraha Siku zote
maisha yetu ni uadui tu
hatujui dunia tunayopita tu
na kwenye maisha kuna kuanguka
ila mi sitachoka nitainuka
mpaka siku itakapofika
ndoto zangu zote kukamilika
na kwenye maisha kuna kuanguka
ila mi sitachoka nitainuka
mpaka siku itakapofika
ndoto zangu zote kukamilika
mmmh
kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Eeh eeh eeeh oooh
kukosa kitu leo sio tatizo
nikitafuta nitapata kesho
naamini nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo
nikitafuta nitapata kesho
naamini nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia
ooh aah ooh aah aah eeeh
ooh aah ooh aah aah eeeh
ooh aaaahh
Kila siku ninapoamka
Ninapoianza siku mpya
Namshukuru Mola kwa kunilinda
Nafasi nyingine nikapewa
Labda nikijituma
Na mi iko siku ataniletea
Na mi niwe na vyangu
niepuke ya walimwenguu
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Eeh eeh eeeh oooh
kukosa kitu leo sio tatizo
nikitafuta nitapata kesho
naamini Nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo
nikitafuta nitapasta kesho
naamini Nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia.
eeeeh eeh
hawajui kuhisi kwa upendo
ama ninafuraha Siku zote
maisha yetu ni uadui tu
hatujui dunia tunayopita tu
na kwenye maisha kuna kuanguka
ila mi sitachoka nitainuka
mpaka siku itakapofika
ndoto zangu zote kukamilika
na kwenye maisha kuna kuanguka
ila mi sitachoka nitainuka
mpaka siku itakapofika
ndoto zangu zote kukamilika
mmmh
kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Eeh eeh eeeh oooh
kukosa kitu leo sio tatizo
nikitafuta nitapata kesho
naamini nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo
nikitafuta nitapata kesho
naamini nami ataniletea
pamoja na magumu ninayopitia
โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:02.63] ooh aah ooh aah aah eeeh
[00:03.87] ooh aah ooh aah aah eeeh
[00:04.75] ooh aah ooh aah aah eeeh
[00:07.42] ooh aaaahh
[00:10.12] Kila siku ninapoamka
[00:12.98] Ninapoianza siku mpya
[00:14.79] Namshukuru Mola kwa kunilinda
[00:17.51] Nafasi nyingine nikapewa
[00:20.34] Labda nikijituma
[00:23.06] Na mi iko siku ataniletea
[00:25.76] Na mi niwe na vyangu
[00:27.59] niepuke ya walimwenguu
[00:29.42] Kukicha ni maneno maneno
[00:33.08] Wenzangu hamuishi kusema
[00:35.78] Na mi sijali yenu maneno
[00:38.56] Mwanadamu amezaliwa anasema
[00:41.23] Kukicha ni maneno maneno
[00:44.03] Wenzangu hamuishi kusema
[00:46.74] Na mi sijali yenu maneno
[00:49.47] Mwanadamu amezaliwa anasema
[00:53.15] Eeh eeh eeeh oooh
[00:56.89] kukosa kitu leo sio tatizo
[00:59.58] nikitafuta nitapata kesho
[01:02.23] naamini Nami ataniletea
[01:04.06] pamoja na magumu ninayopitia
[01:06.80] kukosa kitu kwangu sio tatizo
[01:09.57] nikitafuta nitapasta kesho
[01:12.29] naamini Nami ataniletea
[01:14.11] pamoja na magumu ninayopitia.
[01:17.77] eeeeh eeh
[01:18.60] hawajui kuhisi kwa upendo
[01:20.45] ama ninafuraha Siku zote
[01:23.24] maisha yetu ni uadui tu
[01:25.05] hatujui dunia tunayopita tu
[01:28.67] na kwenye maisha kuna kuanguka
[01:31.47] ila mi sitachoka nitainuka
[01:34.14] mpaka siku itakapofika
[01:35.97] ndoto zangu zote kukamilika
[01:38.77] na kwenye maisha kuna kuanguka
[01:41.48] ila mi sitachoka nitainuka
[01:44.13] mpaka siku itakapofika
[01:46.93] ndoto zangu zote kukamilika
[01:49.68] mmmh
[01:50.56] kukicha ni maneno maneno
[01:51.42] Wenzangu hamuishi kusema
[01:55.17] Na mi sijali yenu maneno
[01:56.92] Mwanadamu amezaliwa anasema
[01:59.76] Kukicha ni maneno maneno
[02:02.40] Wenzangu hamuishi kusema
[02:05.17] Na mi sijali yenu maneno
[02:07.83] Mwanadamu amezaliwa anasema
[02:12.47] Eeh eeh eeeh oooh
[02:15.16] kukosa kitu leo sio tatizo
[02:17.91] nikitafuta nitapata kesho
[02:19.79] naamini nami ataniletea
[02:22.44] pamoja na magumu ninayopitia
[02:25.12] kukosa kitu kwangu sio tatizo
[02:27.98] nikitafuta nitapata kesho
[02:30.62] naamini nami ataniletea
[02:32.43] pamoja na magumu ninayopitia
[03:59.94]
[00:03.87] ooh aah ooh aah aah eeeh
[00:04.75] ooh aah ooh aah aah eeeh
[00:07.42] ooh aaaahh
[00:10.12] Kila siku ninapoamka
[00:12.98] Ninapoianza siku mpya
[00:14.79] Namshukuru Mola kwa kunilinda
[00:17.51] Nafasi nyingine nikapewa
[00:20.34] Labda nikijituma
[00:23.06] Na mi iko siku ataniletea
[00:25.76] Na mi niwe na vyangu
[00:27.59] niepuke ya walimwenguu
[00:29.42] Kukicha ni maneno maneno
[00:33.08] Wenzangu hamuishi kusema
[00:35.78] Na mi sijali yenu maneno
[00:38.56] Mwanadamu amezaliwa anasema
[00:41.23] Kukicha ni maneno maneno
[00:44.03] Wenzangu hamuishi kusema
[00:46.74] Na mi sijali yenu maneno
[00:49.47] Mwanadamu amezaliwa anasema
[00:53.15] Eeh eeh eeeh oooh
[00:56.89] kukosa kitu leo sio tatizo
[00:59.58] nikitafuta nitapata kesho
[01:02.23] naamini Nami ataniletea
[01:04.06] pamoja na magumu ninayopitia
[01:06.80] kukosa kitu kwangu sio tatizo
[01:09.57] nikitafuta nitapasta kesho
[01:12.29] naamini Nami ataniletea
[01:14.11] pamoja na magumu ninayopitia.
[01:17.77] eeeeh eeh
[01:18.60] hawajui kuhisi kwa upendo
[01:20.45] ama ninafuraha Siku zote
[01:23.24] maisha yetu ni uadui tu
[01:25.05] hatujui dunia tunayopita tu
[01:28.67] na kwenye maisha kuna kuanguka
[01:31.47] ila mi sitachoka nitainuka
[01:34.14] mpaka siku itakapofika
[01:35.97] ndoto zangu zote kukamilika
[01:38.77] na kwenye maisha kuna kuanguka
[01:41.48] ila mi sitachoka nitainuka
[01:44.13] mpaka siku itakapofika
[01:46.93] ndoto zangu zote kukamilika
[01:49.68] mmmh
[01:50.56] kukicha ni maneno maneno
[01:51.42] Wenzangu hamuishi kusema
[01:55.17] Na mi sijali yenu maneno
[01:56.92] Mwanadamu amezaliwa anasema
[01:59.76] Kukicha ni maneno maneno
[02:02.40] Wenzangu hamuishi kusema
[02:05.17] Na mi sijali yenu maneno
[02:07.83] Mwanadamu amezaliwa anasema
[02:12.47] Eeh eeh eeeh oooh
[02:15.16] kukosa kitu leo sio tatizo
[02:17.91] nikitafuta nitapata kesho
[02:19.79] naamini nami ataniletea
[02:22.44] pamoja na magumu ninayopitia
[02:25.12] kukosa kitu kwangu sio tatizo
[02:27.98] nikitafuta nitapata kesho
[02:30.62] naamini nami ataniletea
[02:32.43] pamoja na magumu ninayopitia
[03:59.94]