Nyashinski - Hapo Tu ft Chris Kaiga (Official Music Video)
๐ต 2045 characters
โฑ๏ธ 3:09 duration
๐ ID: 12054516
๐ Lyrics
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
(Yeah, yeah yeah yeah)
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo(Cedo)
Guardians tuko jaba
Wengine wako meeting
Zetu ni ma German
Zenu pikipiki
Leo tunaenda Canaan
Beba zigi mingi
Ka kuna ma madam
Beba CD mingi
Ni mimi hapo backleft Paparazzi
Wanaifanya ngumu kufanya usherati
Nakumbuka kabla nifuge manati
Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya Versace
Siku hizo backseat ilikuwa love seat
Smooth ya manual unafikiria ni automatic
Tint kwa window muhathara ndo hatutaki
Hapa perfection tunaifanya bila practice
Mbele naona success nafunga Hat-trick
Mi ndo the "Chieth" kwa hii choo itisha Harpic
Tangu tuingie kwa hii mchezo si ndo heartbeat
Nairobi City tunairun kama athlete
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Iseti hapo nikuhandle
Alafu kam tutoe lock ka key ya mlango
Nikuingize ndani ya box kama ballot
Ju leo siwezi kalikula tu kwa macho
Ambie Beenie Man nimepata queen wa dancehall
After leo utarudisha weave salon
After leo nawacha Arimis na ma Valon
Haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport
Kitu ka hii ni rare ichimbe ndo uipate
Mi na Nyash ni kama jet ya private
Vutia wateja ni ka amewekwa magnet
Ita touch wateja hadi waitane
Dance tu usijali, hatukujudge(sawa)
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Hii game ndo inabisha hii si 9 millimiter
Tint kwa dirisha usinimind nikipita
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika
Hii game ndo inabisha hii si 9
Tint kwa dirisha usinimind
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
Naskia ihi ihi

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:03.02] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[00:05.98] (Yeah, yeah yeah yeah)
[00:08.48] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo(Cedo)
[00:10.96] Guardians tuko jaba
[00:12.33] Wengine wako meeting
[00:13.63] Zetu ni ma German
[00:15.04] Zenu pikipiki
[00:16.37] Leo tunaenda Canaan
[00:17.75] Beba zigi mingi
[00:19.09] Ka kuna ma madam
[00:20.48] Beba CD mingi
[00:21.63] Ni mimi hapo backleft Paparazzi
[00:24.66] Wanaifanya ngumu kufanya usherati
[00:27.30] Nakumbuka kabla nifuge manati
[00:29.67] Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya Versace
[00:32.38] Siku hizo backseat ilikuwa love seat
[00:35.31] Smooth ya manual unafikiria ni automatic
[00:37.97] Tint kwa window muhathara ndo hatutaki
[00:40.30] Hapa perfection tunaifanya bila practice
[00:43.05] Mbele naona success nafunga Hat-trick
[00:45.94] Mi ndo the "Chieth" kwa hii choo itisha Harpic
[00:48.15] Tangu tuingie kwa hii mchezo si ndo heartbeat
[00:51.07] Nairobi City tunairun kama athlete
[00:53.37] Dance tu usijali, hatukujudge
[00:55.94] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[00:58.47] Usijali, hatukujudge
[01:01.57] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[01:03.88] Iseti hapo nikuhandle
[01:06.53] Alafu kam tutoe lock ka key ya mlango
[01:09.43] Nikuingize ndani ya box kama ballot
[01:12.08] Ju leo siwezi kalikula tu kwa macho
[01:14.57] Ambie Beenie Man nimepata queen wa dancehall
[01:17.33] After leo utarudisha weave salon
[01:19.97] After leo nawacha Arimis na ma Valon
[01:22.72] Haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport
[01:25.46] Kitu ka hii ni rare ichimbe ndo uipate
[01:27.90] Mi na Nyash ni kama jet ya private
[01:30.97] Vutia wateja ni ka amewekwa magnet
[01:33.13] Ita touch wateja hadi waitane
[01:35.76] Dance tu usijali, hatukujudge(sawa)
[01:38.56] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[01:41.51] Usijali, hatukujudge
[01:44.09] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[01:46.63] Dance tu usijali, hatukujudge
[01:49.32] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[01:52.27] Usijali, hatukujudge
[01:54.62] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[01:57.03] Hii game ndo inabisha hii si 9 millimiter
[01:59.54] Tint kwa dirisha usinimind nikipita
[02:02.43] Geuzeni vichwa injili imefika
[02:05.49] Na white tunaficha ni ka tunafilisika
[02:07.69] Hii game ndo inabisha hii si 9
[02:10.39] Tint kwa dirisha usinimind
[02:13.26] Geuzeni vichwa injili imefika
[02:16.26] Na white tunaficha ni ka tunafilisika
[02:18.53] Dance tu usijali, hatukujudge
[02:21.34] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[02:23.74] Usijali, hatukujudge
[02:26.63] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[02:28.97] Usijali, hatukujudge
[02:32.68] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[02:34.80] Usijali, hatukujudge
[02:37.64] Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo
[02:40.00] Naskia ihi ihi
[02:43.20]
[02:45.47] Naskia ihi ihi
[02:48.45]
[02:50.76] Naskia ihi ihi
[02:53.79]
[02:56.17] Naskia ihi ihi
[02:57.17]