Nyakati
๐ต 2013 characters
โฑ๏ธ 5:57 duration
๐ ID: 12103252
๐ Lyrics
Hao... hao...
Hao... hao...
Hao... hao...
Hao...
Unaona kama kila unachogusa kimeharibika
Ujasiri wa kusema tena umetoweka
Maana kila unalosema wewe kama unakosea
Umechanganyikiwa ni Mungu ajua unayopitia
Na ukisema ueleze wengi kwao ni furaha
Wewe mwombe Mungu ubaki kimya
Na mengi umevumilia, moyo umenyong'onyea
Hapo ulipo sasa ng'ang'ania tena
Na Mungu hajaruhusu jaribu kuliko uwezo wako
Imani nusu ongeza utashinda
Mungu hatoruhusu ufe kabla ya baraka zako
Imani nusu ongeza utashinda.
Si kwa nyakati za furaha
Nawe utacheka tena
Usijali Mungu yupo nawe
Si kwa nyakati za furaha
Nawe utacheka tena
Usijali Mungu yupo nawe
Moyo wako una majeraha haufaiii
Tena unasubiri kauli ya mwisho ya Mungu
Wapo wanaojua we huna mtoto
Kwa kejeli wanaulizaga ana umri gani
Tena wanaojua umefukuzwa kazi
Kwa kejeli wanaulizaga bosi wako yupo
Ila nakwambia hayatodumu ni nyakati tu
Hautobaki hapo hayo ni mapito
Jipe moyo tazama juu, mwombe Mungu Ujasiri,
Ni mapito tu jipe moyo mkuu
Japo huna nguvu yakumwomba mwishie Mungu
Ni mapito tu jipe moyo mkuu
Mungu hajaruhusu jaribu kuliko uwezo wako,
Imani nusu ongeza utashinda
Mungu hatoruhusu ufe kabla ya baraka zako,
Imani nusu ongeza utashinda
Si kwa nyakati za furaha
Nawe utacheka tena
Usijali Mungu yupo nawe
Si kwa nyakati za furaha
Nawe utacheka tena
Usijali Mungu yupo nawe
Wewewe
Hata wakizusha maneno ya uongo wakakwambia umemwasi Mungu,
Ni sawa hawajui unakopita
Wakaja na unabii wakasema umefika mwisho wako wee,
Ni sawa hawajui unakopita.
Ooh wakainuka ndugu wa karibu wakakusema hovyo hovyo hovyo hovyo,
Ni sawa hawajui unakopita.
Ikawa kila kitu ni kimya marafiki ni kimya
Ni sawa hawajui unakopita
Kama ndoa ni yako lakini ndani ni uadui
Ni sawa hawajui unakopita
Ilaaa,
Si kwa nyakati za furaha
Nawe utacheka tena
Usijali Mungu yuko nawe

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:01.98] Hao... hao...
[00:07.69] Hao... hao...
[00:13.60] Hao... hao...
[00:18.73] Hao...
[00:20.76] Unaona kama kila unachogusa kimeharibika
[00:26.46] Ujasiri wa kusema tena umetoweka
[00:31.89] Maana kila unalosema wewe kama unakosea
[00:37.02] Umechanganyikiwa ni Mungu ajua unayopitia
[00:41.58] Na ukisema ueleze wengi kwao ni furaha
[00:46.88] Wewe mwombe Mungu ubaki kimya
[00:52.06] Na mengi umevumilia, moyo umenyong'onyea
[00:58.23] Hapo ulipo sasa ng'ang'ania tena
[01:02.93] Na Mungu hajaruhusu jaribu kuliko uwezo wako
[01:08.34] Imani nusu ongeza utashinda
[01:13.98] Mungu hatoruhusu ufe kabla ya baraka zako
[01:19.25] Imani nusu ongeza utashinda.
[01:25.79] Si kwa nyakati za furaha
[01:28.68] Nawe utacheka tena
[01:30.93] Usijali Mungu yupo nawe
[01:36.26] Si kwa nyakati za furaha
[01:39.40] Nawe utacheka tena
[01:42.27] Usijali Mungu yupo nawe
[01:46.16]
[01:57.78] Moyo wako una majeraha haufaiii
[02:03.31] Tena unasubiri kauli ya mwisho ya Mungu
[02:09.07] Wapo wanaojua we huna mtoto
[02:13.90] Kwa kejeli wanaulizaga ana umri gani
[02:20.05] Tena wanaojua umefukuzwa kazi
[02:25.15] Kwa kejeli wanaulizaga bosi wako yupo
[02:30.35] Ila nakwambia hayatodumu ni nyakati tu
[02:35.97] Hautobaki hapo hayo ni mapito
[02:40.98] Jipe moyo tazama juu, mwombe Mungu Ujasiri,
[02:46.54] Ni mapito tu jipe moyo mkuu
[02:52.47] Japo huna nguvu yakumwomba mwishie Mungu
[02:57.17] Ni mapito tu jipe moyo mkuu
[03:01.78] Mungu hajaruhusu jaribu kuliko uwezo wako,
[03:07.73] Imani nusu ongeza utashinda
[03:12.43] Mungu hatoruhusu ufe kabla ya baraka zako,
[03:18.38] Imani nusu ongeza utashinda
[03:24.56] Si kwa nyakati za furaha
[03:27.12] Nawe utacheka tena
[03:29.97] Usijali Mungu yupo nawe
[03:35.22] Si kwa nyakati za furaha
[03:37.86] Nawe utacheka tena
[03:40.30] Usijali Mungu yupo nawe
[03:44.67] Wewewe
[03:56.53] Hata wakizusha maneno ya uongo wakakwambia umemwasi Mungu,
[04:02.06] Ni sawa hawajui unakopita
[04:06.96] Wakaja na unabii wakasema umefika mwisho wako wee,
[04:12.71] Ni sawa hawajui unakopita.
[04:17.69] Ooh wakainuka ndugu wa karibu wakakusema hovyo hovyo hovyo hovyo,
[04:23.64] Ni sawa hawajui unakopita.
[04:27.52] Ikawa kila kitu ni kimya marafiki ni kimya
[04:33.47] Ni sawa hawajui unakopita
[04:39.62] Kama ndoa ni yako lakini ndani ni uadui
[04:44.93] Ni sawa hawajui unakopita
[04:48.54] Ilaaa,
[04:51.13] Si kwa nyakati za furaha
[04:53.59] Nawe utacheka tena
[04:56.29] Usijali Mungu yuko nawe
[05:02.09] Si kwa nyakati za furaha
[05:04.47] Nawe utacheka tena
[05:07.16] Usijali Mungu yuko nawe
[05:12.73] Si kwa nyakati za furaha
[05:15.14] Nawe utacheka tena
[05:17.94] Usijali Mungu yuko nawe
[05:23.32] Si kwa nyakati za furaha
[05:25.67] Nawe utacheka tena
[05:28.78] Usijali Mungu yuko nawe
[05:31.40]