Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Kipofu (feat. Alikiba)

๐Ÿ‘ค Chege โ€ข ๐ŸŽผ Kipofu (feat. Alikiba) โ€ข โฑ๏ธ 3:55
๐ŸŽต 1665 characters
โฑ๏ธ 3:55 duration
๐Ÿ†” ID: 12129337

๐Ÿ“œ Lyrics

Yeah
Chege dat yoh
Ooh
(Mafeeling Make It)

Amenijia na makopa
Amesusa ananipa vya kushoto
Mlima maua Lushoto
Nauona me nasimama dede
Napendwa mpaka naogopa
Haki ya Mungu hili penzi la moto
Nabembelezwa kama mtoto
Hadi naimbaga mama nibebe
Uh-oh

Anipaga raha za Pwani
Ye' mwenyeji wa Visiwani
Nikiwaga nae mwandani
Mapenzi raha burudani

Kama naumwa Malaria
Homa yangu ni kali
Kama dawa dozi gani
Homa yangu dozi gani
Yaani wewe wa pekee
Mambo mengine we usiongezee
Mwenyewe si unaona
Joto linapanda degree

Mi sioni, oni, eh (aah)
Sioni, eh (aah)
Kipofu kabisa (aah)
Napapasa (aah)
Natapatapa (aah)
Naona raha (aah)
Sioni mwenzio (aah)
Na mniache (aah) ah-ah-ah
Ah-ah, ah-ah-ah, ah-ah-ah

Hata kama mapenzi ni ujuzi
Nafsi yangu kaondoka nayo
Nikilala nitaambulia mashuzi
Naona ka' itashindikana
Bora sasa nifanye mazoezi
Niende sawa na vijana
Nijiepushe kupatwa na uchizi
Waja wakaninyang'anya

Mbele sioni na masikio nimeziba
Nyie hamjui anachonipa kinanifaa
Kunitoa pangoni kwa sauti yake ya kupendeza
Vya kulala havilaliki mpaka tunamaliza

Kama naumwa Malaria
Homa yangu ni kali
Kama dawa dozi gani
Mama yangu dozi gani
Kwani we' ndo wa pekee
Mambo mengine we usiongezee
Mwenyewe si unaona
Joto limepanda degree

Mi sioni, oni, eh (aah)
Sioni, eh (aah)
Kipofu kabisa (aah)
Napapasa (aah)
Natapatapa (aah)
Naona raha (aah)
Sioni mwenzio (aah)
Na mniache (aah) la-la-la-la-la-la
Ah-ah, ah-ah-ah, ah-ah-ah
Uh-oh

Anipaga raha za Pwani
Ye' mwenyeji wa Visiwani
Nikiwaga nae mwandani
Mapenzi raha burudani

Anipaga raha za Pwani
Ye' mwenyeji wa Visiwani (Visiwani, wani, eh)
Nikiwaga nae mwandani (kipofu kabisa)
Mapenzi raha burudani (natapatapa)
(The Mix Killer)

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings