Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nitadumu Nae

๐Ÿ‘ค Yammi โ€ข ๐ŸŽผ Mbosso โ€ข โฑ๏ธ 3:33
๐ŸŽต 1595 characters
โฑ๏ธ 3:33 duration
๐Ÿ†” ID: 12177128

๐Ÿ“œ Lyrics

Aah, aah, aah
Yammi, Yammi
(Ooh, taabani)
(Mafeeling Make It)
Aah-ah

Ah, ka' kasoma VETA, ye' ni fundi wa mambo
Atwanga pepeta kwa vya juu viwango
Oho, raha naserereka (selele) mahaba hayaishi bando
Chumbani hekaheka vita ya unyago na jando

Ooh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani
Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan
Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza mie hoi taabani

Magharibi natafuta sababu
Bibi namtafuta babu
Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu
Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu

Nitadumu nae kwa nguvu za manane
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani
Nitadumu nae kwa nguvu za manani
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani

(Ooh), ooh (la-la-la), la-la-la (aah), aah

So dawa za China si mizizi ya Congo (ya Congo)
Nampa mchai chai na supu ya kamongo
Oho, full stamina anibeba kwa mugongo (mugongo)
Mambo ya kwenye mtima sio kupendana kwa hongo (kwa hongo)

Ooh, yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani
Kutwa kunijaza jaza mi' Kajol yeye Sha Rukh Khan
Anipa mpaka nasaza sebuleni na chumbani
Raha zimenipumbaza mie hoi taabani

Magharibi natafuta sababu, oh
Bibi namtafuta babu
Aniita Ya Qalbi majina ya Kiarabu
Twawachoma mahasidi kwa vinyimbo vya taarabu

Nitadumu nae kwa nguvu za manani (nguvu za manani, nguvu)
Jaribuni baadae (ooh), kwa sasa hapatikani (nimemuweka ndani)
Nitadumu nae kwa nguvu za manani
(poleni miungu watu mahodari wa kutabiri)
Jaribuni baadae kwa sasa hapatikani (hatuachini katu roho zimeungana na miili)

Anatembea na roho yangu, anatembea na mwili wangu
Anatembea na pumzi zangu, mimi, mimi, mimi
Kamix Lizer

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings