Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Ongeza Debe

๐Ÿ‘ค Chris Kaiga โ€ข ๐ŸŽผ Adventures of Chris Kaiga โ€ข โฑ๏ธ 2:49
๐ŸŽต 1666 characters
โฑ๏ธ 2:49 duration
๐Ÿ†” ID: 12273214

๐Ÿ“œ Lyrics

Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
(Ongeza debe wakipunguza)

Hii flow ni kali naitema ka taxin
Nikibonda streets na ma punchline ka Ali
Naroga, hadi namaliza biz ya mchawi
Nikingoja kuona witchdoctor Marsabit

Kuna masaa beat hunishow: "Samahani"
Nikianza kuimada kama dish kwa sahani
Nakam kuisanif kuwaachia mali safi
Raia wata-sample hii kejani na kwa mbali

Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
(Ongeza debe wakipunguza)

Ehem

Scar niko, mi sibadiliki
Na niko ivo na sijachapa bangi wiki
Mi niko macho, mi sibabaiki
Na mi napenda Hussle bado mi sijabury Nipsey

Aye, broski R.I.P
Hata ka ni risky, bado boss ana-insist
Saa zingine ni fiti kujifanya fala hii street
Shida yangu kubwa ni mimi, but can I see

Oh, oh, oh-oh, ongeza debe
Mi ntakam solo, we unaeza ongeza rende
Kama sio mchoro ya mkwanja eleza uende
Na sistako ananimezea, we meza wembe

Na na-live life it's like imeshajipa
Ni yule Mr. Riz Mangwai ka hujanyita
Design zimeni-nice nikiskiza zimenishika
Nime-miss East by now ni miezi sita

Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
(Ongeza debe wakipunguza)

Sawa, ongeza decibel, chunisha JBL
Hadi neighbor alete NACADA waipunguze
Songesha mwili ni kama uko under influence
Ya ki Red makali na ki Lucozade

Main man, mi si sub, but niko baze
Mambleina husaka sub wakuni-replace
Naleta action kaa CMB President
Na ma-veteran wanajua mimi ndio next

Chief connect, ukidai mali safi
Na-bring peace kwa back ni kama in the '90s
Mi na Scar ni ma-pro kwa hii kazi
So rewind the track na uongeze kiasi

Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe
Ongeza debe wakipunguza
(Ongeza debe wakipunguza)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:00.04] Ongeza debe
[00:04.61] Ongeza debe
[00:09.47] Ongeza debe
[00:14.03] Ongeza debe wakipunguza
[00:15.43] (Ongeza debe wakipunguza)
[00:18.83] Hii flow ni kali naitema ka taxin
[00:21.09] Nikibonda streets na ma punchline ka Ali
[00:23.55] Naroga, hadi namaliza biz ya mchawi
[00:25.80] Nikingoja kuona witchdoctor Marsabit
[00:28.25] Kuna masaa beat hunishow: "Samahani"
[00:30.49] Nikianza kuimada kama dish kwa sahani
[00:32.98] Nakam kuisanif kuwaachia mali safi
[00:35.09] Raia wata-sample hii kejani na kwa mbali
[00:37.69] Ongeza debe
[00:42.30] Ongeza debe
[00:47.04] Ongeza debe
[00:51.78] Ongeza debe wakipunguza
[00:53.06] (Ongeza debe wakipunguza)
[00:55.37] Ehem
[00:56.51] Scar niko, mi sibadiliki
[00:58.85] Na niko ivo na sijachapa bangi wiki
[01:01.22] Mi niko macho, mi sibabaiki
[01:03.28] Na mi napenda Hussle bado mi sijabury Nipsey
[01:06.32] Aye, broski R.I.P
[01:07.76] Hata ka ni risky, bado boss ana-insist
[01:10.19] Saa zingine ni fiti kujifanya fala hii street
[01:12.54] Shida yangu kubwa ni mimi, but can I see
[01:14.89] Oh, oh, oh-oh, ongeza debe
[01:17.55] Mi ntakam solo, we unaeza ongeza rende
[01:19.87] Kama sio mchoro ya mkwanja eleza uende
[01:22.21] Na sistako ananimezea, we meza wembe
[01:24.48] Na na-live life it's like imeshajipa
[01:26.77] Ni yule Mr. Riz Mangwai ka hujanyita
[01:29.20] Design zimeni-nice nikiskiza zimenishika
[01:31.62] Nime-miss East by now ni miezi sita
[01:34.11] Ongeza debe
[01:38.82] Ongeza debe
[01:43.59] Ongeza debe
[01:48.27] Ongeza debe wakipunguza
[01:49.52] (Ongeza debe wakipunguza)
[01:52.34] Sawa, ongeza decibel, chunisha JBL
[01:55.36] Hadi neighbor alete NACADA waipunguze
[01:57.61] Songesha mwili ni kama uko under influence
[02:00.01] Ya ki Red makali na ki Lucozade
[02:02.45] Main man, mi si sub, but niko baze
[02:04.71] Mambleina husaka sub wakuni-replace
[02:07.05] Naleta action kaa CMB President
[02:09.23] Na ma-veteran wanajua mimi ndio next
[02:11.88] Chief connect, ukidai mali safi
[02:13.72] Na-bring peace kwa back ni kama in the '90s
[02:16.63] Mi na Scar ni ma-pro kwa hii kazi
[02:18.52] So rewind the track na uongeze kiasi
[02:21.13] Ongeza debe
[02:25.91] Ongeza debe
[02:30.64] Ongeza debe
[02:35.38] Ongeza debe wakipunguza
[02:36.50] (Ongeza debe wakipunguza)
[02:37.36]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings