Siri Yangu
๐ต 1878 characters
โฑ๏ธ 5:19 duration
๐ ID: 12286261
๐ Lyrics
Nakuambia, aah siri yangu
Kwa kuwa wewe ni wangu tena mshikaji siku nyingi
Nakueleza, aah siri yangu
Inayohusu maisha yangu inayosumbua moyo wangu
Tega sikio kwa makini nikueleze
Hakuna tamu penzi kama la milele
Muda unaenda mwenzenu mi nagundua
Moyoni mwangu katu halitopungua
Nimeumizwa mara nyingi nakumbuka
Kuna hatua ilifika mi nikajuta
Lakini sasa 'na imani yupo wa kumpa
Ninachohitaji ni muda aweze tokea
Siwezi sema kuwa sitopenda tena
Kwani nitakuwa naidhulumu yangu nafsi
Moyoni najua ninalo penzi la milele
Na halitokwisha nakwambia labda wa kumpa asizaliwe

Kuna aliyeniomba nimpatie pumziko
Kwa madai kuwa alichoshwa huko atokako
Niliyempenda nilimwambia nakupenda
Nililia machozi kwa yeyote aliyenitenda
Aliyenichosha nilimwambia waweza kwenda
Kuna aliyenifanya mapenzi yakanitatiza
Niliyemkosea niliona umuhimu wake
Nasisitiza kuwa 'na penzi la milele
Moyo wanituma wan'ambia kuwa na subira
Mimi nasema sitoimba tena nalia
Iliyobaki ni kusema nimekubali
Sitokaa tena kulia mimi na mawazo

Unaweza toa pendo lako kwa furaha
Kumbe moyoni umejijazia karaha
Hutakiwi juta kwani katu hutojua
Unayempenda yeye atakuzingua
Mwisho wa yote ikawa ni matatizo
Yanayopelekea kuwa na mengi mawazo
Unachotakiwa, binti, usiusemee moyo
Kwani hutojua umpendaye naye akupenda hivyo hivyo
Niliwahi kumwimbia mpenzi wangu
"Sema unachotaka" ni wimbo uliofuatia
Lakini pendo hakuna bali ni kutendwa
Nimeamua kuwa komando Binti Machozi

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:11.68] Nakuambia, aah siri yangu
[00:14.15] Kwa kuwa wewe ni wangu tena mshikaji siku nyingi
[00:20.34] Nakueleza, aah siri yangu
[00:24.30] Inayohusu maisha yangu inayosumbua moyo wangu
[00:31.42]
[00:40.69] Tega sikio kwa makini nikueleze
[00:44.92] Hakuna tamu penzi kama la milele
[00:50.18] Muda unaenda mwenzenu mi nagundua
[00:55.25] Moyoni mwangu katu halitopungua
[01:00.42] Nimeumizwa mara nyingi nakumbuka
[01:05.02] Kuna hatua ilifika mi nikajuta
[01:10.42] Lakini sasa 'na imani yupo wa kumpa
[01:15.59] Ninachohitaji ni muda aweze tokea
[01:20.97] Siwezi sema kuwa sitopenda tena
[01:25.75] Kwani nitakuwa naidhulumu yangu nafsi
[01:30.84] Moyoni najua ninalo penzi la milele
[01:35.41] Na halitokwisha nakwambia labda wa kumpa asizaliwe
[01:43.55] Nakuambia, aah siri yangu
[01:45.50] Kwa kuwa wewe ni wangu tena mshikaji siku nyingi
[01:51.08] Nakueleza, aah siri yangu
[01:55.16] Inayohusu maisha yangu inayosumbua moyo wangu
[02:03.39]
[02:12.28] Kuna aliyeniomba nimpatie pumziko
[02:15.95] Kwa madai kuwa alichoshwa huko atokako
[02:20.98] Niliyempenda nilimwambia nakupenda
[02:25.62] Nililia machozi kwa yeyote aliyenitenda
[02:30.95] Aliyenichosha nilimwambia waweza kwenda
[02:36.06] Kuna aliyenifanya mapenzi yakanitatiza
[02:41.51] Niliyemkosea niliona umuhimu wake
[02:45.85] Nasisitiza kuwa 'na penzi la milele
[02:51.15] Moyo wanituma wan'ambia kuwa na subira
[02:57.33] Mimi nasema sitoimba tena nalia
[03:01.88] Iliyobaki ni kusema nimekubali
[03:06.64] Sitokaa tena kulia mimi na mawazo
[03:11.99] Nakuambia, aah siri yangu
[03:16.42] Kwa kuwa wewe ni wangu tena mshikaji siku nyingi
[03:21.64] Nakueleza, aah siri yangu
[03:26.68] Inayohusu maisha yangu inayosumbua moyo wangu
[03:32.16]
[03:43.05] Unaweza toa pendo lako kwa furaha
[03:46.53] Kumbe moyoni umejijazia karaha
[03:52.13] Hutakiwi juta kwani katu hutojua
[03:56.18] Unayempenda yeye atakuzingua
[04:02.25] Mwisho wa yote ikawa ni matatizo
[04:07.15] Yanayopelekea kuwa na mengi mawazo
[04:11.77] Unachotakiwa, binti, usiusemee moyo
[04:16.52] Kwani hutojua umpendaye naye akupenda hivyo hivyo
[04:22.91] Niliwahi kumwimbia mpenzi wangu
[04:27.51] "Sema unachotaka" ni wimbo uliofuatia
[04:33.04] Lakini pendo hakuna bali ni kutendwa
[04:37.76] Nimeamua kuwa komando Binti Machozi
[04:42.62] Nakuambia, aah siri yangu
[04:47.32] Kwa kuwa wewe ni wangu tena mshikaji siku nyingi
[04:53.13] Nakueleza, aah siri yangu
[04:57.31] Inayohusu maisha yangu inayosumbua moyo wangu
[05:06.37]